Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

Shida ya Kiwanja hakina gawio mkuu. Yaani ukiweka umeweka

Ila nimeambiwa kule kwenye hisa kila mwaka kuna magawio
Kwa 3m yako gawiwo litakua ni kituko cha kuchukiza labda ununue hisa halafu uzitelekeze huku ukiendelea kununua kidogo kidogo mtaji wako ukue mbeleni uje upate gawio la kueleweka ila pia kama thaman haitakua imeshuka
 
Trump ameanzisha mfuko wa Uwekezaji kwa watoto watakaozaliwa katika awamu yake hii serikali yake itatoa kama dola 5000 kwa mtoto na mzazi ataweka anayotaka, lengo ni kuhakikisha watoto wao wanakuwa na uwekezaji miaka 18 ijayo.

Kwa nini nimesema hivi, ukinunua hisa unatakiwa ufikirie miaka 5 mbele na zaidi, na kingine miaka 5 hiyo utakuwa umekuza mtaji wako kwa kiasi gani.

Kununua nyumba, viwanja just kuwa navyo tu huwa sio investment kama hisa
 
Nenda kule songea kuna viwanja k300 nunua zako viwanja 10 tulia ndan ya miaka miwili hukosi m2 kila kiwanja maana kuna mladi wa viwanda umeanza mwez huu kwa ndan ya mwaka mmoja mbele songea hapata shikika mzee ni fursa hiyo nakupa kimya kimya
 
Njoo do
Wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Mwanzo nilikuwa nataka niende nikanunue kiwanja Chalinze lakini nimekutana na video mbalimbali mtandaoni zikionesha the way ambavyo hizo za CRDB zikipanda kuanzia 2020 kwa kweli nimevutiwa sana

Sasa najiuliza tu hivi vijisenti vyangu nikavizike kwenye kiwanja huko Chalinze au ninunue hisa za CRDB ambazo najua tu zitapanda thamani baaada ya muda
Dodoma ununue alizeti ukamue mafuta ukawauzie wanadsm
 
Shida ya Kiwanja hakina gawio mkuu. Yaani ukiweka umeweka

Ila nimeambiwa kule kwenye hisa kila mwaka kuna magawio
Kumbe, nilishawahi kununua his 3,000 za Precision Air kwa sh 475 kila hisa. Sijawahi kupata gawio la sh 1. Hata nikitaka kuuza kila hisa sh 100 hakuna soko wala mnunuzi kwa hela hiyobora ukafungua hata genge utapata lakini haya mambo ya hisa ni pasua kichwa ndugu yangu
 
Wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Mwanzo nilikuwa nataka niende nikanunue kiwanja Chalinze lakini nimekutana na video mbalimbali mtandaoni zikionesha the way ambavyo hizo za CRDB zikipanda kuanzia 2020 kwa kweli nimevutiwa sana

Sasa najiuliza tu hivi vijisenti vyangu nikavizike kwenye kiwanja huko Chalinze au ninunue hisa za CRDB ambazo najua tu zitapanda thamani baaada ya muda
Kama una akili za biashara hisa sikushauri. Hisa unatakiwa uweke hela ambazo huna issues nazo, kuliko utumie isivyopasa bora ikae huko. Pia hisa ili uone hela ya maana uweke kama 100m ndo at least.
 
Back
Top Bottom