Njoo Kibaha nikupe ardhiWakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Mwanzo nilikuwa nataka niende nikanunue kiwanja Chalinze lakini nimekutana na video mbalimbali mtandaoni zikionesha the way ambavyo hizo za CRDB zikipanda kuanzia 2020 kwa kweli nimevutiwa sana
Sasa najiuliza tu hivi vijisenti vyangu nikavizike kwenye kiwanja huko Chalinze au ninunue hisa za CRDB ambazo najua tu zitapanda thamani baaada ya muda
Nunua sasa cryptocurrencies zinaitwa XRP (moja ni TZS 2,900,) na nyingine inaitwa XLM (moja ni TZS 497.47)then mwezi wa 10/11 mwaka huu uza. Ni uhakika utakuwa umepata hela nyingi kuliko ungenunua hisa za CRDB/ardhi. Na usisahau kumshukuru sana Mungu pindi utakapokuwa umefanikiwa. Kila la kheri.Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Mwanzo nilikuwa nataka niende nikanunue kiwanja Chalinze lakini nimekutana na video mbalimbali mtandaoni zikionesha the way ambavyo hizo za CRDB zikipanda kuanzia 2020 kwa kweli nimevutiwa sana
Sasa najiuliza tu hivi vijisenti vyangu nikavizike kwenye kiwanja huko Chalinze au ninunue hisa za CRDB ambazo najua tu zitapanda thamani baaada ya muda
Acha utoto basi.Shida ya Kiwanja hakina gawio mkuu. Yaani ukiweka umeweka
Ila nimeambiwa kule kwenye hisa kila mwaka kuna magawio
😀😀😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nipe mimi hio million 3 baada ya mwaka nikupe million 10 unakua na faida ya million 7 achana na hizo 99,000 za CRDB
Tupende kujielimisha kabla ya commentsMiaka mi
Miaka mitat haifik laki 6 mkuu acha kupotosha wenzako
Tupende kujielimisha kabla ya comments
Ni kama hisa tu, baada ya miaka mitatu inaweza kuwa ime-double. Shida ya vijana wa leo tunataka faida ya chap na mafanikio ya haraka haraka. Uwekezaji wowote ukiupa muda unazaa matunda.Ukipata kiwanja sehemu sahihi ndani ya miaka 3 unaweza 2× ya pesa uliyonunulia hicho kiwanja + connection ya madeal mengine yanayohusiana na viwanja n.k
Nunua kiwanja nayo ni zaidi ya Hisa,ukinunua Leo Kwa Hela hiyo muda SI mrefu,unaweza kuuza mara2 ya hiyo uliyonunulia!Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Mwanzo nilikuwa nataka niende nikanunue kiwanja Chalinze lakini nimekutana na video mbalimbali mtandaoni zikionesha the way ambavyo hizo za CRDB zikipanda kuanzia 2020 kwa kweli nimevutiwa sana
Sasa najiuliza tu hivi vijisenti vyangu nikavizike kwenye kiwanja huko Chalinze au ninunue hisa za CRDB ambazo najua tu zitapanda thamani baaada ya muda
We unataka gawio au Hela nyingi?Shida ya Kiwanja hakina gawio mkuu. Yaani ukiweka umeweka
Ila nimeambiwa kule kwenye hisa kila mwaka kuna magawio
Upo sahihi mkuu. Na mimi hii ndio namna naifikiria hisa, kwanza inatakiwa uifikirie kwa long term, miaka mitatu, mitano au kumi na kuendelea. Pia, inatakiwa liwe zoezi endelevu. Yaani unanunua hisa kila wiki au kila mwezi. Pia uendelee kukimbizana na vyanzo vingine vya mapato kama biashara, kilimo, uchimbaji madini na ufugaji.Trump ameanzisha mfuko wa Uwekezaji kwa watoto watakaozaliwa katika awamu yake hii serikali yake itatoa kama dola 5000 kwa mtoto na mzazi ataweka anayotaka, lengo ni kuhakikisha watoto wao wanakuwa na uwekezaji miaka 18 ijayo.
Kwa nini nimesema hivi, ukinunua hisa unatakiwa ufikirie miaka 5 mbele na zaidi, na kingine miaka 5 hiyo utakuwa umekuza mtaji wako kwa kiasi gani.
Kununua nyumba, viwanja just kuwa navyo tu huwa sio investment kama hisa
We pwagu na pwaguzi kweliNimepiga hesabu mkuu likienda sana 170k
Lakini si linapanda? Kila mwaka?
Ukidouble pesa yako wewe tu inatoshaUnahitaji Odds 3 tu kudouble hiyo hela
Hisa niaka mitatu inadouble vip mkuu hebu kokotoa hapaNi kama hisa tu, baada ya miaka mitatu inaweza kuwa ime-double. Shida ya vijana wa leo tunataka faida ya chap na mafanikio ya haraka haraka. Uwekezaji wowote ukiupa muda unazaa matunda.
Biashara kichaaNimepiga hesabu mkuu likienda sana 170k
Lakini si linapanda? Kila mwaka?
Kinakuwa na ukubwa gani kwa hiyo bei?Njoo Kibaha nikupe ardhi
Afu tatuKwq milion 3 yako gawio lako kwa mwaka unategemea litakuwa kias gan?