Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

Kwa 3m yako gawiwo litakua ni kituko cha kuchukiza labda ununue hisa halafu uzitelekeze huku ukiendelea kununua kidogo kidogo mtaji wako ukue mbeleni uje upate gawio la kueleweka ila pia kama thaman haitakua imeshuka
Unaweza wekeza kwenye hisa afu share certificate ukaitumia kama collateral kukopeq sehemu ukafanya biashara
 
ok nunua ardh
ila kama ungetaka ushaur nje ya iyo ishu yako kuna biashara ningekushauri faida ni nying
bidhaa unanunua 7000 unauza 60,000 hadi 100,000
na uhitaj n mkubwa
 
ok nunua ardh
ila kama ungetaka ushaur nje ya iyo ishu yako kuna biashara ningekushauri faida ni nying
bidhaa unanunua 7000 unauza 60,000 hadi 100,000
na uhitaj n mkubwa
KWANI USIFANYE WEWE HIYO BIASHARA MKUU??
Just curious to know!
 
Shida ya Kiwanja hakina gawio mkuu. Yaani ukiweka umeweka

Ila nimeambiwa kule kwenye hisa kila mwaka kuna magawio
Hata kwenye kiwanja kuna gawio kama kipo pazuri.

Mtu anakodi kwa ajili ya shughuli yoyote anakulipa kwa makubaliano mtakayowekeana.
 
Back
Top Bottom