hisa za crdb

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Mwanzo nilikuwa nataka niende nikanunue kiwanja Chalinze lakini nimekutana na video mbalimbali mtandaoni zikionesha the way ambavyo hizo za CRDB zikipanda kuanzia 2020 kwa kweli nimevutiwa sana Sasa najiuliza tu hivi vijisenti vyangu nikavizike...
  2. JamiiForums Tanzania Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

    Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia. NB: Kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…