Mambo ni mengi, maisha yanazidi kwenda kasi sana, mfumuko wa bei, Tanzania ya viwanda vya mikopo tunazidi kusukuma gurudumu.
Niende kwenye mada, Wanaume sisi ni viumbe wenye uthubutu sana, hatupendi kushindwa kupata kile tukipendacho, tutatumia nguvu nyingi, akili na muda mwingi, ili tu kupata...