hisia

Ghizela (Hungarian: Gizellafalva) is a commune in Timiș County, Romania. It is composed of four villages: Ghizela, Hisiaș (Hosszúág), Paniova (Panyó) and Șanovița (Sziklás).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Kwa hiyo ndo kusema kuwa wanawake hatuna haki ya kuelezea hisia zetu?

    ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba? Wanaume...
  2. sky soldier

    Mwinyi alileta upinzani uliofutwa, Samia anaenda kuileta katiba mpya, Kwa hili inabidi niweke hisia zangu pembeni kwa wazanzibari

    Yes, mimi kiukweli ni mmoja wa watu ambae huu muungano sijawahi kuupenda hata kidogo hasa pale ninapoona uongozi wa bara tunachangiana na wazanzibar lakini huko kwao ni wao wenyewe wanajiongoza, huwa inaniuma mno. Ila kuna kitu nimetafakari hapa juu ya mchango wa hawa wenzetu wanaposhika...
  3. I

    Mkono kupoteza hisia baada ya ajali ya gari

    Habari za mida hii. Nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 24 ni dereva, miezi minne iliyopita alipata ajali ya gari, alipata mikwaruzo mwilini pia akavunjika mkono wa kulia (mfupa mmoja wa chini na mfupa wa juu). Akawekewa POP kwa wiki sita, ila mpaka sasa mkono huo wa kulia hawez...
  4. Surya

    Maisha ya Mwanadamu na hisia za Mwanadamu Duniani ni mfano wa Mungu (Kiungu)

    Soma kwa Makini uhusiano huu..hadi mwisho. ******************* Yohana 1:1-5 [1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. [3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. NENO Maneno yalitumika Kuumba ulimwengu...
  5. Joseverest

    HISIA ZA EDO KUMWEMBE: Simba SC itacheza na ''Wasoweto wagumu'' zaidi

    SIMBA wameileta timu nyingine kutoka Afrika Kusini ambayo ilikuwa haijawahi kugusa ardhi ya Tanzania. Mamelodi Sundowns wamewahi kugusa hapa. Manning Rangers wamewahi kugusa hapa. Santos wamewahi kugusa hapa. Zilibaki Kaizer Chiefs na Orlando Pirates tu. Timu mbili kubwa Afrika Kusini. Moja ni...
  6. matunduizi

    Hii ya kuchinja watu kiroho, imekaaje kisheria?

    Leo nilimiss kusikiliza redio baada ya zaidi ya miaka Miwili. Maana Nina vyanzo mbadala vya taarifa. 'Nikagugo' redio ya kusikiliza nikajikuta nasikiliza redio moja ya kiroho Kondoo wa Bwana walikuwa wanatoa ushuhuda jinsi yanavyomkabili adui yao ibirisi. Kilichonishtua Mwanamama mmoja jasiri...
  7. Mr Sir1

    Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

    Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake. Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti. Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi...
  8. Zero IQ

    Unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?

    Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material, Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata kidogo, kuishi naye ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana naye, na kuna mengi...
  9. S

    Kuachiwa kwa Mbowe; Nimeamini muda mwingine kuna hisia za kweli na ni ushahidi kuna mawasiliano kati ya nafsi zetu na ulimwengu wa nje

    Habari wadau, Hapa niko mahali fulani nasubiri kukamilisha jambo fulani na kwakuwa jambo husika linachukua muda, nimeamua kujilaza kwenye benchi nikisubiri kuhudumiwa. Wakati nikiwa nimejilaza kwenye benchi(nimetoka shift ya usiku), nikiwaza mambo mbalimbali, likanijia wazo la kesi ya Mbowe na...
  10. Wu-Ma

    Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa. Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
  11. Equation x

    Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

    Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea. Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie mwanamke, hata kama mwanamke ana kazi au biashara nzuri, bado ataomba apewe fedha; ukishindwa kumpatia...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje?

    Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje? Kuna wakati anashituka mwili, na kuanza kunitafuta. Kuna wakati utakuta tu anaanza kuzidisha mapenzi kwangu. Wanasanyasi hebu tujadili hii condition inamaana gani? Najua kunikamata kuwa nachepuka ndio hawezi ila...
  13. Carlos The Jackal

    Unawezaje kuepuka kukataliwa na Mwanamke umpendaye kupitia hisia zake?

    Tuachane na mambo ya Hakimu [emoji23],, Wee ni kijana Mtanashati tu unavijisent vyako vya kawaida ,au bado hujasimama kiuchumi, upo kwenu au kwako isiwe sababu ya kukataliwa na Mwanamke unayempenda..... Kua Mtanashati ili ikupe mwonekano chanya alafu , yajue haya [emoji116]...
  14. FRANCIS DA DON

    Nini husababisha baadhi ya viongozi kuongea kwa hisia kali na uchungu wanapokuwa majukwaani wakihutubia?

    Kuna baadhi ya viongozi wanapoongea huwa wanapenda kudhirisha kwamba wanamaanisha wanachokisema na sio mzaha mzaha, mfano muone huyu jamaa hapo kwenye video chini; Mfano awe anasema “ole wako nikukute unakula pesa za umma..., nakutapisha zote hadi utapike na damu kabisa!!!” Watumishi wa Umma...
  15. masara

    Napendekeza siku ya Kumbukizi ya Hayati Magufuli tuandamane na mabango hadi kaburini ili kuhiji na kuonesha hisia zetu

    Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado. Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani. Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli...
  16. R

    Jumanne Muliro aache kupaniki suala la Askofu Mwingira, badala yake asome PGO

    Nimemsikiliza Jumanne Muliro Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake. Anaonesha wazi kubeba hisia kama si za kidini basi za kujipendekeza kwa wenye mamlaka kama ilivyo kawaida...
  17. Mzee Mwanakijiji

    Hoja Fyatu: Hisia ya Uduni (inferiority complex) miaka 60 baadaye...

    Tunaona fahari kufikisha miaka 60 ya uhuru... Tunajivunia mafanikio mengi.. Tunajitahidi kufanya mengi.. Lakini kama taifa bado tunajitazama kama duni..hatujiamini, hatuamini uwezo wetu..tunajitilia mashaka.. Hadi wazungu watupongeze Hadi wazungu watukosoe Hadi wazungu watusikilize Hadi wazungu...
  18. I am Groot

    Kwanini unamuumiza mtu unaempenda (mpenzi) au yeyote yule mwenye kushare hisia na wewe?

    Kwa nini unamuumiza mtu unaempenda? Ni kawaida kujisikia vibaya unapo muumiza mtu mnayependana hasa kama alikuamini sana. Kuna sababu mbalimbali nyuma ya maumivu kwenye mahusiano yako. Lakini matendo yako pia yanaweza kumhathiri mtu unaempenda kwa kiasi kikubwa. -Kuna muda, kumlinda mtu...
  19. Kasomi

    Meta imetengeneza Haptic Gloves zenye hisia na uwezo wa kugusa vitu katika ulimwengu wa kidigitali

    Kabla ya Facebook kujiita Meta, imewekeza kwa ukubwa katika majaribio ya vifaa vya VR na kuanzisha Meta Reality Labs ambayo inafanya utafiti na kutengeneza viungo bandia, vifaa vya VR vya kuvaa, mifumo ya AR/VR na teknolojia ya kutafsiri hisia za mwili na kuunganisha na vifaa vya kiteknolojia...
  20. sky soldier

    Kichaa ana hisia za kupenda? Je, anaweza kuafanya mapenzi?

    Leo nimekaa sehemu, ghafla akapita kichaa mara acheke cheke, aokote vipande vya mkaa na kuchora visivyoeleweka kwenye ukuta, n.k kiufupi akili haijakaa sawa, sasa nikawa najiuliza haya maswali. a) Je, wana hisia za kuweza kumpenda mtu kimapenzii? b) Je, wana uwezo wa kushiriki kufanya...
Back
Top Bottom