Madereka anakwambia ukifatilia hii nchi masaa 12 kinachofata unaweza kuwa kichaa au mungu kukusaidia tu.
Tunaelewa kwamba madini ya uranium yapo.Je unayekwenda kumuomba kuwa mtu wako wa karibu unajua historia yake.
Ukiangalia historia ya urusi pale Afghanistan alichokifanya,sudani na sehemu...
History inatufundisha Mambo mengi Sena. History ya Russia na Soviet imejaa Mambo mengi ktk uso wa dunia. Watu wengi wa kizazi hiki wanamfuatilia Sana raisi Putin wa urusi na aina ya uongozi wake.
Wengi humtukuza kwamba ni kiongozi shupavu sana kutokana na aina ya uongozi wake
Watu hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.