Sijui kama Rais Samia anajua madhara uranium anayotamba nayo na Historia ya Urusi

Sijui kama Rais Samia anajua madhara uranium anayotamba nayo na Historia ya Urusi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Madereka anakwambia ukifatilia hii nchi masaa 12 kinachofata unaweza kuwa kichaa au mungu kukusaidia tu.

Tunaelewa kwamba madini ya uranium yapo.Je unayekwenda kumuomba kuwa mtu wako wa karibu unajua historia yake.

Ukiangalia historia ya urusi pale Afghanistan alichokifanya,sudani na sehemu nyengine mtakuwa na majibu upande wa madini.

Wakati wa kipindi cha kisonvient karibia na ukrain wakati wajatengana na kuna eneo lengine linafichwa kulitokea kupasuka kwa kinu cha nyuklia na kuleta madhara mpaka mkoa wote watu wakaamishwa.

Kumbuka Urusi ina maeneo makubwa na uranium iwezi kumiliki kampuni binafsi lazima ni serikali.

Kwa vile mnapenda vilaza wenu wa CCM.Miradi mingi imekufa na kuleta majanga.

Haya mkaachiwa uchimbaji au kuendesha tu mradi.
 
... ajali za vinu vya nyuklia ninavyokumbuka ni kile Cha Urrusi na kingine Cha Japan, kwahiyo hilo halijatokea kwa Urrusi pekee!
AJALI PIA, PAMOJA NA MADHARA YAKE, HUMUONGEZEA MTU UZOEFU NA KUEPUSHA AJALI ZINGINE HUKO MBELENI!
 
Ofisi yenu kwa kukurupuka rudi tena kuhusu urusi
 
na kuna eneo lengine linafichwa kulitokea kupasuka kwa kinu cha nyuklia na kuleta madhara mpaka mkoa wote watu wakaamishwa.
Chernobyl Nuclear Disaster, kuna Series ya HBO imeonyesha kila kitu kilivyokua wakati huo
 
Uislamu ni dini ya masikini jeuri

Uliundwa hivyo kwa sababu maaluum

Kuwapa masikini amani ya kusimuliwa wakajiona yao
 
Huyo hajui chochote yeye bora liende tu anacontrol hapo ni mzee wa msoga
 
Back
Top Bottom