historia ya yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe asema Historia ya Yanga kushiriki maendeleo ya Taifa si jambo jipya, imeanza tangu enzi za ukombozi

    Historia ya Klabu ya Yanga SC kwenye ushiriki wake katika kuleta maendeleo ya Taifa la Tanzania, Kiuchumi, Kisiasa na Kimichezo haijaanza Leo wala jana .. Ni Klabu hii ya Wananchi iliyobeba sehemu ya Ukombozi wa Taifa hili.. Tumebeba Nembo ya Umoja, Amani, Upendo, Mshikamano na ukarimu wa Raia...
  2. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Yanga imeanzishwa na jamii masikini wabeba mizigo wa kariakoo na wavuvi wa Samaki na sio wanaharakati waliosaka uhuru wa nchi

    Hapo vip!! Kwanza kuna dhana potofu,dhaifu na ya kipumbavu yakwamba yanga imepigania uhuru wa nchi. Ipo hivi kabla ya 1961 kulikuwa hakuna timu inayoitwa yanga bali kulikuwa na timu zilizo azinshwa na wakoloni ili kuwa furahisha wakoloni wenyewe. Yanga imeanzishwa na jamii masikini wasiokuwa...
Back
Top Bottom