Ali Kamwe asema Historia ya Yanga kushiriki maendeleo ya Taifa si jambo jipya, imeanza tangu enzi za ukombozi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Historia ya Klabu ya Yanga SC kwenye ushiriki wake katika kuleta maendeleo ya Taifa la Tanzania, Kiuchumi, Kisiasa na Kimichezo haijaanza Leo wala jana ..

Ni Klabu hii ya Wananchi iliyobeba sehemu ya Ukombozi wa Taifa hili.. Tumebeba Nembo ya Umoja, Amani, Upendo, Mshikamano na ukarimu wa Raia wa Tanzania

Sio kwa Bahati mbaya Tukawa TIMU YA WANANCHI.

Tuko kwenye Mikono salama WANANCHI wenzangu na Tunapaswa kujipongeza kwa kuibeba Taswira ya Tanzania kwenye MICHEZO.

Viongozi wetu wote waliopita, waliopo na watakaokuja Baadae In Shaa Allah, Jukumu lao kubwa ni kuilinda Klabu hii kama ilivyoasisiwa na wakubwa

Matimu ambayo kiasili yalianzishwa kwa ajili ya MIGOGORO na CHOKOCHOKO hawawezi kuelewa Hii Falsafa yetu Young Africans Sports Club.

Screenshot 2025-08-13 150308.png
 
Hana ajualo kuhusu sheria za soka
 
Mwambieni aache upumbavu na Bora akae kimya. Kuchangia CCM Kwa jina la klabu kunaletaje maendeleo ya Nchi?
 
Historia ya Klabu ya Yanga SC kwenye ushiriki wake katika kuleta maendeleo ya Taifa la Tanzania, Kiuchumi, Kisiasa na Kimichezo haijaanza Leo wala jana ..

Ni Klabu hii ya Wananchi iliyobeba sehemu ya Ukombozi wa Taifa hili.. Tumebeba Nembo ya Umoja, Amani, Upendo, Mshikamano na ukarimu wa Raia wa Tanzania

Sio kwa Bahati mbaya Tukawa TIMU YA WANANCHI.

Tuko kwenye Mikono salama WANANCHI wenzangu na Tunapaswa kujipongeza kwa kuibeba Taswira ya Tanzania kwenye MICHEZO.

Viongozi wetu wote waliopita, waliopo na watakaokuja Baadae In Shaa Allah, Jukumu lao kubwa ni kuilinda Klabu hii kama ilivyoasisiwa na wakubwa

Matimu ambayo kiasili yalianzishwa kwa ajili ya MIGOGORO na CHOKOCHOKO hawawezi kuelewa Hii Falsafa yetu Young Africans Sports Club.

Huyu kijana ana kiwango kidogo sana cha IQ, lakini cha kusikitisha, ukiwa mzungumzaji mzuri hapa Tanzania mara nyingi huonekana kana kwamba una akili.
 
Wakati mwingine kama umekosea, ni bora ukajinyamazia tu kimya ili kuficha aibu.
 
Unaleta story za enzi za chama kimoja mwaka 2025!!

Wananchi kwa sasa hawako CCM pekee kama ilivyokuwa hiyo 1974.
 
Ajifunze kwa Ahmed Ally
Mwemzie akiona kuna boko wametoa huwa anapiga kimya kwanza.
Kiukweli hata mimi ni shabiki wa Yanga, jamaa wamezingua aache kulera historia hapa.
 
Back
Top Bottom