Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).
Habari za usiku huu wana nzengo, kutokana na research niliyofanya kupitia sample (x) nimegundua ya kwamba Oktoba 2025 historia inaenda kuandikwa hapa Tanzania.
Mama huenda ndiyo akawa raisi pekee wa Tanzania kukaa madarakan kwa muda mfupi (5years).
Majority ya Watanzania wamekuwa...
Leo nimesikiliza wasifu wa Edward Lowassa, ni wazi kabisa wameruka historia ya yeye kujiunga Chadema na kugombea urais.
Vilevile imewai kutokea kwa Bernard Membe ambapo baada ya yeye kuamia ACT Wazalendo kwa nia ya kugombea urais, lakini siku ya msiba hawakusoma historia ya yeye kujiunga na...
Mtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema.
Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani ni Kwa maslahi ya Nani kuna kundi la wahuni hawakuandika chapter muhimu ya historia ya Mzee Lowasa...
Hii ni siku inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo Februari 14. Imetokana na Mtakatifu, Askofu wa Kanisa Katoliki wa miaka ya 496 baada ya Kristo aliyeitwa Valentino.
Siku hii watu wengi huiadhimisha kwa kupeana zawadi mbalimbali kama kadi, maua na nyingine nyingi zenye ishara ya upendo.
Fahamu...
Uchaguzi ni wakati muhimu sana katika mchakato wa kidemokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi na chama ambacho wanaamini kitatekeleza sera na ahadi zilizowekwa. Katika kufanya uamuzi huu muhimu, ni muhimu kuchunguza historia ya mgombea anavyotekeleza ahadi zao za kampeni...
Naweka hapo chini makala za historia ya Kilwa nilizopata kuandika katika nyakati tofauti katika kupigania uhuru wa Tanganyika:
ABDULKARIM HAJJ MUSSA, MWINYI MCHENI OMARI NA JULIUS NYERERE KATIKA KUIJENGA TANU KILWA
Abdulkarim Hajj Mussa Jamadar akifahamiana vyema na Julius Nyerere.
Abdulkarim...
Candidate
Running mate
Party
Anna Elisha Mghwira[42]
Hamad Mussa Yussuf
Alliance for Change and Transparency (ACT)
Edward Lowassa[42]
Juma Duni Haji
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Fahmi Nassoro Dovutwa[42]
Hamadi Mohammed Ibrahimu
United People's Democratic Party (UPDP)...
Kwa mfano anatoka Makamu Mwenyekiti wa (Chanzo Cha Matatizo) CCM kwenea Ntwara, akifika huko anasimikwa uchifu, akija mwenyekiti wa hicho kijiwe naye anasimikwa uchifu.
Mara utasikia wazee na machifu wa Songwe wamemsimika uchifu mkuu wa mafisadi huku wakimpa sifa kem kem.
Numejiuliza, taratibu...
Takwimu za Human Rights Watch zinaonesha kuwa, nchi 23 katika bara la Afrika zimehalalisha ushoga. Baadhi kati ya hizo, ushoga haukuwahi kuwa kosa la jinai tokea mwanzo.
Mwaka 1998, South Africa ndiyo iliyokuwa nchi ya kwanza kuhalalisha ushoga barani Afrika kupitia Kesi ya Kikatiba Nambari 8...
UTANGULIZI
Nimeweka historia nne za kuasisiwa kwa chama cha TANU.
Kuna historia ya TANU inayoanza na Mwalimu Julius Nyerere akiunda TANU ndani ya Misheni ya Kanisa Katoliki Tosamaganga, Iringa.
Kuna historia ya TANU ya Mwalimu Nyerere kufuatwa Francis College Pugu alipokuwa akifundisha aje...
MATATIZO KATIKA USAHIHI WA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Mwananyamala nje ya nyumba ya Mzee Mwinjuma Mwinyikambi kumewekwa kibao kinachosema kuwa TANU iliasisiwa ndani ya nyumba hiyo tarehe 7 Julai 1954.
Juu ya kibao pameandikwa: ''Kumbukumbu'' na chini yake ndiyo yako maneno hayo kuwa ndani...
https://youtu.be/t4HhcYoQmeI
Mtu anapozungumza asichokijua.
Anamtaja Abdul kuwa alikuwa mzee.
Anasema Abdul Sykes hakusoma.
Abdul Sykes alikuwa na miaka 28 Julius Nyerere miaka 30.
Nyerere mkubwa kwa Abdul Sykes.
Nyerere hakuitwa na yeyote alipelekwa kwa Abdul Sykes na Kasella Bantu 1952...
HISTORIA MPYA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA
Hii makala niliiweka FB siku kama ya leo mwaka jana (2019) baada ya kuangalia video ya kiongozi mmoja wa kanisa akieleza historia ya TANU ambayo kwangu niliona imejaa upotoshwaji mkubwa.
Utangulizi
Nami nasubiri patulie In Shaa Allah nataka...
Kulingana na data kutoka Shirika ya Hali ya Hewa ya Copernicus, wastani wa joto la Dunia mwaka jana 2023 lilikuwa nyuzi 1.48 Celsius joto zaidi kuliko miaka iliyotangulia.
Wataalam watahadharisha mataifa kufanya mabadiliko ya haraka kutoka kwenye nishati chafu la sivyo joto litakuwa kali zaidi...
Udanganyifu kwenye mitihani una historia yake
Moja ya habari kubwa kila yanapotangazwa matokeo ya mitihani ya kitaifa huwa udanganyifu unaofanywa na watahiniwa, hii ni kwa darasa la nne na Saba, kwa elimu ya msingi, kidato cha pili, nne na sita kwa elimu ya sekondari na hata kwenye vyuo vya...
Moja ya habari kubwa kila yanapotangazwa matokeo ya mitihani ya kitaifa huwa udanganyifu unaofanywa na watahiniwa, hii ni kwa darasa la nne na Saba, kwa elimu ya msingi, kidato cha pili, nne na sita kwa elimu ya sekondari na hata kwenye vyuo vya taaluma mbali mbali.
Ni takribani siku kumi...
Habari potofu au habari za kupotosha zimekuwepo kwa muda mrefu kabla ya kuibuka kwa mitandao ya kijamii. Hata kabla ya enzi za teknolojia ya digitali, watu walikuwa wakitumia njia mbalimbali kusambaza habari potofu kwa lengo la kufikia malengo yao, iwe ni kisiasa, kiuchumi, au kijamii.
Hapo...
Mahmoud El-Gohary na Stephen Keshi ndio watu pekee ambao waliwahi kutwaa ubingwa wa AFCON wakiwa kama Wachezaji, pia kwakuwa kama Makocha.
Mahmoud El-Gohary yeye alitwaa ubingwa kama mchezaji mwaka 1959, pia akatwaa kama kocha mwaka 1998, Mara zote mbili akiwa na timu ya taifa ya Misri...
Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.
Basi tunapomaliza mahojiano huwa wananiuliza maswali mengi sana kiasi husema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.