historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Watu wa kawaida pia wanaweza kuweka historia, hata kusafiri anga za juu

    Aprili 16, wanaanga watatu wa China waliokwenda anga ya juu kwa Chombo cha Shenzhou No. 13 walirejea nyumbani salama wakiwa na hali nzuri kiafya. Katika kipindi cha miezi sita iliyopita, wanaanga hawa waliweka historia mbalimbali mpya katika sekta ya safari za anga ya juu ya China. Wanaanga hawa...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mjue LINA MADINA mzazi mdogo kabisa kwenye historia ya dunia. Alijifungua akiwa na miaka mitano na miezi saba

    Lina Medina mtoto wa miaka mitano (5)....wa Ticrapo nchini Peru mwaka 1939 alizaa mtoto wa kiume na akaitwa Gerardo.Wazazi wake walidhani ana uvimbe tumboni alipopelekwa hospitali kupimwa akakutwa na ujauzito wa miezi saba. Lina alikuwa mtoto wa kawaida kama watoto wengine tu lakini kwa mujibu...
  3. Mohamed Said

    Matatizo yanayoendelea katika historia ya TANU

    Wakati wa Uhai wake, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kuishi katika nyumba hii ikiwa ni baada ya kurejea nchini akitokea masomoni nchin Uingereza. Huko alihitimu masomo yake na kutunukiwa shahada ya uzamili katika masomo ya uchumi na historia kwenye Chuo Kikuu Cha Edinburgh, akiwa ni...
  4. B

    ASP, TANU,CCM Ni Vyama vya watu wa Pwani. Bara mlikaribishwa. Jifunzeni historia na Kuheshimu waanzilishi

    Asalam, Nimeona maongezi kadhaa kwenye media, mengine ya kupongeza, mengine ya kuponda, mengine yasiyoyojua historia, mengine matusi, mengine ya udini na ukabila. Hayo yote ni kufuatia Mabadiliko na harakati za CCM kujitengeneza UPYA baada ya kupitia kipindi kigumu sana kati ya 2015 hadi...
  5. Kididimo

    "Fix" nyingi za Viongozi wetu mbeleni zinaenda kuua Taifa. Tuwafundishe Historia ya kweli vijana wetu

    1. Madarasa, madawati, hospitali, maji ya Samia. Vya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli havisemwi, kana kwamba hawakufanya lolote. 2. Viongozi wengi Uchaguzi 2020 walipitishwa tuu kwa nguvu nguvu, uwongo unatamalaki, vijana wetu wanaona, kesho na wao watadanganya vivyo hivyo. 3...
  6. Hismastersvoice

    Katiba Mpya tumekwama tena tumeanzia kwenye tope

    Kitendo cha Rwekaza Mukandara kuwa mwenyekiti wa mchakato wa Katiba Mpya ni mkakati wa kuikwamisha tena, Mukandara hana historia nzuri kwenye siasa za vyama vingi kwani ni kada mwaminifu wa CCM, tumekwama tena kwenye tope na Mhe. Zitto analijua wazi hilo.
  7. M

    Naomba mwenye Nakala za Vitabu Cha Historia alivyo andaa Magufuli na Ndalichako!

    Waungwana niwatakie jumapiki njema! Mimi ni mojawapo ya waliokuwa wanasubiri Kwa shaukukubwa Vitabu vioya vya Historian alivyoekeza Mh.MAgufuli viandikwe...! Najua vilikuwa kwenye hatua ya mwishi! Naomba mwenye nacho hata kimoja yuone hiyo Historia moya ilikuwaje!
  8. Mohamed Said

    Ingekuwaje kama Mandela asingeandika historia ya maisha yake?

    INGEKUWAJE KAMA MANDELA ASINGEANDIKA TAWASIFU YAKE "LONG WALK TO FREEDOM? Mimi ni mpenzi mkubwa wa vitabu vya tawasifu na wasifu hasa za watu maarufu awe mwanasiasa kama Nelson Mandeala au mwanamuziki kama Harry Belafonte (My Song) na wengine ambao hwafahamiki sana kama Maulid Mshangama (Sowing...
  9. B

    Mwaka mmoja wa Rais Samia: Mafanikio na mapinduzi makubwa sana yaliyopatikana kwenye Sekta ya Madini

    Na Bwanku M Bwanku. Leo Alhamisi Machi 17, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua mafanikio na mapinduzi makubwa sana yaliyopatikana kwenye Sekta ya Madini katika kipindi hiki kifupi cha Mwaka Mmoja wa Mhe. Samia Suluhu Hassan kama Rais wa Taifa letu. Mwaka Mmoja wa Rais...
  10. REJESHO HURU

    Kutunza historia kwanini siku za vifo vya Marais wetu zisiwe holiday?

    Nyerere kafariki miaka zaidi ya 20 iliyopita ila kutokana na Nyerere day kuwa ni siku ya mapumziko Leo hii mwanafunzi wa darasa la tatu anajua Nyerere alikuwa nani, hii ni kutokana na Nyerere day tu kuwa siku ya mapumziko Kwanini isiwe hivyo kwa Mkapa, ikawa hivyo kwa Magufuli lengo kutunza...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    SI KWELI: Serikali haijasitisha somo la Historia ya Tanzania

    Posti ya Twitter inayodai serikali imesitisha somo la Historia ya Tanzania ya kumtukuza hayati rais John Magufuli SI KWELI. Posti inakiunganishi kwenda katika tovuti inayoeleza kwa undani juu ya taarifa hizi. Tovuti inaeleza kuwa vitabu vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa...
  12. Influenza

    Historia: Jumatano ya Majivu, Mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima cha Siku 40

    Kwaresima ni kipindi cha siku arobaini za kufunga, kusali, kutafakari Neno la Mungu na kufanya matendo ya huruma. Ni kipindi kinachotualika kumwilisha ndani mwetu utamaduni wa upendo, kwa kufunga na kutenda matendo ya huruma, kama vile kuwasaidia wahitaji hasa maskini, kuwatembelea wagonjwa na...
  13. Mohamed Said

    Mohamed Shebe camera yake ndiyo iliyohifadhi historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika

    MOHAMED SHEBE CAMERA YAKE NDIYO ILIYOTUHIFADHIA HISTORIA YA TANU, MWALIMU NYERERE NA UHURU WA TANGANYIKA Picha hiyo hapo chini inamuonyesha Mohamed Shebe kushoto na anaefuatia ni John Rupia na kulia mwisho ni Julius Kambarage Nyerere. Mohamed Shebe kaishi na viongozi hawa toka siku ya kwanza...
  14. Kichwamoto

    Historia yangu ya kupenda na kupendwa na Mabinti Waislam

    Hello JF members Mugona Vihi? Niende kwenye story, Mimi ni Mkristo, ila katika maisha yangu na safari ya mahusiano, macho yangu na nafsi yangu imetokea nawapenda na navutiwa sana na wadada na mabinti waislam na wao pia huvutiwa na mimi na huwa nadumu nao kwenye mahusiano. Tofauti na hawa...
  15. Mohamed Said

    Majina ya Mitaa na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MAJINA YA MITAA YAHIFADHI HISTORIA Ndugu zanguni hivi sasa kuna mradi wa Anuani za Makazi (Post Code). Naamini sote tunashausikia kwa kuwa serikali imeutangaza. Mradi huu ulitakiwa uchukue miaka 5 lakini Rais Mama Samia ameamua huu mradi uwe "Operation Anuani za Makazi" na ukamilike kwa miezi...
  16. Pascal Mayalla

    The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

    Wanabodi, Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!. Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali, Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo...
  17. John Haramba

    Asilimia 97 ya historia ya binadamu haijulikani, hii iliyopo sasa ni 3% tu

    Maisha ya binadamu ya sasa hivi tuliopo inaelezwa kuwa historia yetu ilianza miaka 200,000 iliyopita, lakini hakukuwa na rekodi halisi zilizowekwa kwa kuwa rekodi za nini kilifanyika na kwa kiwango gani zimeanzia miaka 6,000 iliyopita. Hivyo kwa mujibu wa baadhi ya wanahistoria ni kuwa hiyo...
Back
Top Bottom