historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Si zaidi katika historia ya muungano bali ni katika wimbo huu wa Western Jazz Band

    SI ZAIDI KATIKA HISTORIA YA MUUNGANO BALI NI KATIKA WIMBO HUU WA WESTERN JAZZ BAND 1964 Ilikuwa nawasha gari langu usiku nikaliegeshe kwa walinzi mtaa wa pili. Gari limewaka na radio inasema. Nimeshtuka naisikia sauti ya rafiki yangu Juma Mnonji anahojiwa kuhusu maisha ya Ahmed Kipande...
  2. Championship

    Carlo Ancelotti ndio kocha bora katika historia ya mpira wa miguu

    Apewe sasa heshima yake. UCL ya nne hiyo hapo. Kachukua msimu huu akiwa na kikosi cha kawaida sana (Real Madrid). Soma > FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France
  3. sampuli nyingi

    Natamani kujua historia ya CNN na Aljazeera

    Habari ndugu wanajukwaa wezangu. Poleni na hongereni kwa kazi Samahan Sana wanaJf nimekua inspired Sana na hivi vyombo vya habari na kutaka Kujua historia zake Asanten sana naomba kupewa japo kwa sehemu tu Asante ndugu zangu
  4. Nyankurungu2020

    Royal Tour pamoja na kutumia mabilioni ya pesa haikumulika utalii wa mali kale na historia

    Nchi kama misri na Southa Afrivca zina pata pesa nyingi kupitia utalii wa mali kale historia. Angalia senema ya Royal tour haijakuwa na nia tjabiti kupromote utalii bali usanii wa kutafuna pesa za wananchi. Inaonyesha viongozi wanavua samaki na wachimba migodi wanazama mgodini for what...
  5. S

    Wanaobahatika kuwa Marais wa nchi hii wanapoteza fursa ya kuingia katika historia ya kudumu kwa kushindwa tu kuwapa Watanzania Katiba Mpya

    Huu ndio ukweli mchungu kwa wote waliowahi kuwa Maraisi wa nchi hii baada ya Mwalimu Nyerere kuondoka madarakani.Raisi Mstaafu Kikwete alikaribia sana kupata nafasi hii ya kihistoria ila inawezekana alipotoshwa na wenzake ndani ya chama na huenda hili ni jambo analolijutia katika maisha yake na...
  6. Mohamed Said

    Historia ya Ali Msham, mwalimu na mama Maria Nyerere Magomeni Mapipa 1954

    Katika historia za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika lakini wamesahaulika historia ya Ali Msham ina sehemu ya pekee moyoni kwangu. Tafadhali isikilize historia yake:
  7. Codeboy Breezy

    Historia ya Adolf Hitler, tangu kuzaliwa kwake mpaka kifo chake

    Adolf Hitler (Braunau, Austria, 20 Aprili 1889; Berlin, Ujerumani, 30 Aprili 1945) alikuwa dikteta wa Ujerumani kuanzia mwaka 1933 hadi kifo chake. Adolf Hitler akiwa mtoto mchanga Alizaliwa nchini Austria mwaka 1889, akaingia shule ya sekondari mwaka 1900 lakini hakufaulu, hivyo alishindwa...
  8. Mohamed Said

    Hapo zamani za kale: Historia ya Mwalimu Thomas Staudtz Plantan na Clement Mohamed Mtamila

    HAPO ZAMANI ZA KALE: HISTORIA YA MWALIMU THOMAS SAUDTZ PLANTAN NA CLEMENT MOHAMED MTAMILA Ulikuwa ukiingia nyumbani kwa Mwalimu Thomas Plantan Mtaa wa Masasi kitu kimoja ambacho kitakushangaza ni "trophy," vichwa vya wanyama vilivyotundikwa katika ukumbi mzima wa nyumba yake. Nyumba ya Thomas...
  9. Manyanza

    Mwenye Historia ya Umishenari Songea

    Habari zenu Wadau wa Jamii forums? Hasa katika jukwaa hili la Historia ninawaomba sana mnisaidie kupata Historia ya umishenari Songea na vile vile Historia ya Vita vya Majimaji. Nitafurahi sana Kama nitapata kwa lugha ya Kiswahili au hata kwa lugha ya Kiingereza. Ninaomba kupata historia kamili...
  10. Ushimen

    Historia iliyofichwa kuhusu gereza la Alcatraz, lilikua gereza la Marekani lenye sifa mbaya zaidi.

    Wanasayansi wanafichua historia iliyofichwa iliyokuwa chini ya gereza la Alcatraz. Lilikua gereza la Marekani lenye sifa mbaya zaidi. Lili jengwa kwenye eneo lenye mawe katikati ya Ghuba ya San Francisco, kuanzia miaka ya 1930 hadi 1960, Gereza la Shirikisho la Alcatraz lilihifadhiwa kwa ajili...
  11. Lycaon pictus

    Kutangaza utalii kuendane na kujenga miji ya kitalii. Watalii hawapendi miji michafu.

    Siku hizi watalii wanataka sehemu za kupiga picha na kupost intagram, facebook, whatsapp nk nk. Ndiyo maana miji mizuri ndiyo inaongoza kwa kupokea watalii. Mtu hataki kuja kutalii halafu anakutana na takataka, open sewers, makopo ya maji, barabara za vumbi nk nk Tungerekebisha miji yetu ya...
  12. E

    Historia ya utumwa ifutwe msingi na sekondari

    Ukienda katika jamii zetu hata watoto wadogo ambao hawajui maisha yanaendaje wanaamini mzungu ni mtu bora kuliko mtu mweusi. Nimejiuliza sana dhana hizi zinatokana na nini lakini nimekuja kubaini kuwa dhana hizi walitujengea wakoloni enzi za ukoloni. waafrika walichukuliwa kama tabaka la chini...
  13. britanicca

    Usiku huu warusi wakusanyika kupinga Victory say kuhusishwa na uvamizi wa Putin Ukraine, wasema amepotosha historia yao

    Kila May 9 uwa ni siku ya ushindi wa Urusi ambao unahusisha Ukraine, Russia, Macedonia, Hungary (Kosovo) Lithuania , Estonia na jumuiya yoote ilokuwa ya USSR, ushindi huo uwa siyo wa Urusi bali wa Jumuiya yote kusherekea kumbu kumbu maalumu ya WW2. Wamejitokeza wanawake ambao wamesema kwamba...
  14. M

    Jamani Ile Historia yetu nzuri sana bado ipo?

    Kwamba mtu wa kale zaidi kuishi hapa duniani alitoka Tanzania, katika mapango ya Olduvai Gorge!! Tuliisoma sana primary enzi hizo.
  15. FRANCIS DA DON

    Napendekeza kufutwa kwa somo la ‘Slavery’ kwenye mitaala ya ufundishaji historia nchini

    Pendekezo hilo nalitoa kwa sababu kuu tatu. 1.) Kitendo tu cha mimi kujua kwamba mzungu aliweza kuwakamata mababu zangu na kuwauza kama mbuzi kilinifanya nijione binadamu wa daraja la pili hapa duniani, inauma sana ila ukweli ndio huo; kwamba mzungu ni daraja la kwanza, ila sisi daraja la pili...
  16. Lexus SUV

    Movie za Kichina na Kikorea zenye kuonesha historia (hasa za kivita) ni nzuri sana

    Wakuu, nimetoka. Kuangalia movie za nchi tajwa hapo juu za kihistoria ambazo zina akisi yaliyotokea. Into fiction movie , movie hizo ni: 1. SACRIFICE. 2. The BRIGDE AT toko -Ri 3. The steel helmet 4. My way Zote hizo hapo juu zina potray. Historical true war periods that happened...
  17. Mohamed Said

    Historia ya TANU baada ya uhuru 1961

  18. MamaSamia2025

    Kuendelea kujipa matumaini kwa historia kwamba tuna akili kuliko wazungu ni kupoteza muda.

    Pichani ni Eiffel Tower huko Paris, Ufaransa kwa picha ya mwaka 1900 na 2017. Picha inajieleza jinsi gani wazungu walikuwa mbele sana kimaendeleo. Kama unabisha tafuta picha ya Dar es Salaam ya mwaka 1900. Mimi nadhani tuachane na historia za kusema tuna akili kuwazidi wazungu. Huko ni...
  19. C

    Uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Muungano

    Leo Serikali ya JMT imezindua kitabu chenye historia mpya ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kitabu hicho pia kimeeleza chimbuko la vuguvugu la kudai Uhuru wa nchi hizo tangu miaka ya 1920s Bila shaka Mzee wetu Mohamed Said ameshiriki ipasavyo. Hatutegemei kusikia malalamiko ya kupindishwa...
  20. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Kwa mara ya kwanza katika historia: Sherehe za muungano zafanyika Rais akiwa nje ya nchi

    Kwa mara yakwanza katika historia, tarehe 26/04/2022 Tanzania ina adhimisha miaka 58 ya muungano huku mkuu wa nchi akiwa nchini Marekani. Haijawahi kutokea kabla, mama anaandika historia nyingine. Uzi huu hauhusiani na nyuzi nyingine, huu ni uzi wa kumbukumbu ya kihistoria.
Back
Top Bottom