historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. Mwalimu wa Historia alituongopea?

    Miaka mingi imeshapita lakini ningali nikikumbuka bara bara! Tulipokuwa "High School", kwenye moja ya somo la Historia, Mwalimu wetu alituambia kuwa waliokijenga Chuo Kikuu cha Makerere ni Wamarekani. Miaka hiyo, Marekani ilianza utaratibu wa kuwapeleka Marekani baadhi ya Waafrika kutoka...
  2. Mwenezi Makonda amwambia waziri wa Maji ndani ya wiki 3 tatizo la Maji katoro liwe Historia

    📌📌 WAZIRI WA MAJI MHE. AWESU AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA NDANI YA WIKI 3 MAJI KUPATIKANA KATORO - GEITA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na kumtaka kutolea ufafanuzi kero ya upatikanaji wa Maji...
  3. K

    Ushauri: Somo la Historia ya Tanzania na Maadili liwekewe sura maalumu kwenye katiba ili kulipa msisitizo wa kisheria

    Wasalaam, Taifa likiwa katika mchakato wa kuandaa sera ya mtaala mpya ya Elimu na mtaala huo kupendekeza kuwepo kwa Somo la Historia ya Tanzania na Maadili ni jambo jema kwa kizazi Cha Sasa na kijacho kulilinda Taifa dhidi ya mmomonyoko wa maadili. Huu ni mtazamo wangu juu ya uwepo wa Somo...
  4. K

    Je, kuna uongo juu ya historia ya vita vya Majimaji?

    Kuna haja ya kurudi pale kwenye kaburi la Shujaa Nduna Songea Mbano na kumuomba wapi alipo ficha siri ya vijana wake kukaa miaka miwili wakiwa wanapigana kwa kutumia silaha za jadi wakipambana na wajeruman waliokua wanatumia silaha za moto. Au kuna uongo wa mtu mmoja akaona amzalilishe mzee...
  5. NOTORIOUS B.I.G historia kwa ufupi.

    Christopher Lattore Wallace, A.K.A The Notorious B.I.G. au Biggie Smalls, alikuwa rapper na mtunzi wa nyimbo kutoka Marekani. Anachukuliwa kuwa mmoja wa rappers wakubwa na wenye ushawishi zaidi wakati wote. Alizaliwa Mei 21, 1972, alipata mafanikio makubwa katika miaka ya 1990 kwa mtindo...
  6. M

    John Boko anaenda Kuandika Historia Mpya Leo!

    Salamu, Leo Novemb 5 2023 Mshambuliaji wa Taifa Captain wa Simba ,John R.Boko.anaenda Kuandika Historia Mpya katika maisha yake ya Soka! Tukutane saa moja jioni! Nakala: Gentamycin...Aione kwenye Faili.
  7. Napata shaka na historia ya Israel ndani ya Palestina

    Wanajamvi! Ujue katika biology kuna topic form 3 nakumbuka inaitwa classification unapoichukua hii topic na kuapply kwenye nchi ya Palestina na Israel unagundua hawa jamaa wa Israel wamepandikizwa katika nchi za kiarabu kuleta chokochoko na hata tukisema wayahud ni Israel hawafanani kabisa kwa...
  8. Chimbuko halisi la migogoro shule ya sekondari Nyiendo

    Kuanzia Mkuu wa shule aliyeifungua Issa Izengo mpaka Mkuu wa shule aliyepokea kijiti chake Erasto Arende, Shule ya Sekondari Nyiendo haikuwahi kuwa kwenye vuguvugu la migogoro mpaka alipoingia mkuu wa shule aliyepo sasa! 1. Philosophy ya kwanza ya mkuu wa shule ni kutopenda kukosolewa na...
  9. K

    Ipi ni historia ya kweli kuhusu Israel na wayahudi wa leo?

    Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusu ukweli kuhusu Israel. Wengi wakidai waisrael wa leo siyo OG ni kikundi cha watu tu waliamua kuja kufanya makazi kwenye ardhi ya wa-Palestine kwa lazima. Mwenye uelewa anieleweshe wa-Israel wa kwl ni wapi na ipi historia yao kabla ya mwaka 1947.
  10. Historia ya ubashiri duniani

    Je, huwa unafanya ubashiri? Ubashiri ni mfumo wa utabiri wa tukio fulani kuchukua nafasi katika wakati ujao. Historia ya kufanya ubashiri ni ndefu zaidi kuliko inavyofikiriwa na wengi. Ubashiri umefanywa kwa muda mrefu katika historia ya zamani kwa kutumia njia nyingi tofauti. Katika dini...
  11. U

    Historia ya Zelothe inaonesha alikuwa RPC akiwa na Miaka 66. Je, ndivyo ilivyo?

    Kila mtu Kila mtaani anajua Umri wa kustaafu Kwa mtumishi wa Umma ni miaka 60, Tena Kwa majeshi Huwa ni kidogo zaidi. Napenda kujifunza , kifo Cha mwenyekiti wa CCM Arusha ambaye alishatumikia jeshi la polisi ngazi za uandamizi kimenofanya nijiulize mambo mawili matatu, wakati wa usomwaji wa...
  12. Zama zimebadilika, demokrasia nayo ichukue maana halisi kulingana na historia yake

    Tunakumbushwa madarasani pia hata mitandaoni kuwa demokrasia ilianza katika mji ATHENS - Ugiriki ambapo watu wachache wenye busara zao walifanya maamuzi juu ya mustakabali ya mji wao ndiyo maana wengi tunaelezea demokrasia kama ni watu (wachache) wanaongoza walio wengi ila tumewaondoa wanawake...
  13. Hawa watu wakirudishwa chamani historia ya nchi itabadilika ghafla

    Kikosi kazi 1. Makonda 2. Polepole 3. Ally Hapi 4. Sabaya Ili kikosi kicheze vizuri tunahitaji hawa: 1. Bashiru 2. Kabudi 3. Chalamila 4. Gambo 5. Majaliwa 6. Ndugai
  14. Je katika historia za Dunia kuna falme yoyote iliyoongozwa na mwanamke iliwahi kusimama imara bila kuanguka?

    Tafadhari sana naomba tushirikiane kwenye mjadala kwa kuangalia nafasi ya mwanamke katika kupewa uongozi wa juu katika jamii zenye ufalme. Je mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka?. Na ilikuwa ni falme ipi? Karibu kwenye comments natarajia...
  15. Historia ya familia ina umuhimu unapotaka kuchagua wa ubani?

    Kuchagua partner au wa kufanana na wewe ni uamuzi wa kibinafsi na inategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na mazingira ya familia. Ingawa kwa uwelewa wangu historia ya familia inaweza kuwa na umuhimu kwa baadhi ya watu, si lazima iwe kigezo pekee. Mambo mengine kama vile tabia, maadili...
  16. Wanasema kwa kejeli ati najitia kuijua historia ya Uhuru wa Tanganyika

    WANASEMA KWA KEJELI ATI NAJITIA KUJUA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Vitabu hivi vingekeuwa vimeandikwa miaka mingi sana na waandishi na kuwa sehemu ya historia ya uhuru wa Tanganyika. Kwa nini haikuwa hivyo ni historia inayoanza mwaka wa 1962 mara tu baada ya kupatikana uhuru pale TANU...
  17. M

    Historia ya Israel kupiga hospitali, shule na makazi ya watu na kukanusha kisha ukweli kudhihirika

    Israel imefanya mauaji ya kutisha huko Gaza kwa kulipua hospitali ya kanisa inayotoa msaada kwa wapalestina huko Gaza. Mwanzoni aliyewahi kuwa msaidizi wa Netanyahu katika mambo ya Media akatweet kulipongeza jeshi la Israel kwa kupiga hiyo hospitali na kuua watu ambao yeye anasema ni maadui wa...
  18. Historia ya Sheikh Suleiman Takadir kama nilivyoipokea kutoka kwa Sheikh Haidar Mwinyimvua

    HISTORIA YA SHEIKH SULEIMAN TAKADIR KAMA NILIVYOIPOKEA KUTOKA KWA SHEIKH HAIDAR MWIMYIMVUA Baada ya zaidi ya miaka 60 leo Sheikh Suleiman Takadir anatajwa. Lakini imekuwaje atajwe ilhali Sheikh Suleiman Takadir alifutwa katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika? Katajwa lakini...
  19. W

    Hivi kunyonyana sehemu za siri kumetokeaje tokeaje? Kuna historia gani?

    Wenye ujuzi mnisaidie kuelewa hii kitu jamani. Ni nini historia yake? Ilikuaje yaani? Mbona imekuwa shida hivi? Na joto lote hili watu wananyonyana tu. Kuna maumbile tofauti tofauti yenye tabia tofauti; watu wanamung'unya chumvi tu. Pamoja na madaktari kusema kuwa maumbile ya kike yana kawaida...
  20. Historia kamili ya Israel-Palestine war toka enzi za Ibrahim mpaka sasa

    Kwamjibu wa taarifa za ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu kwa Wakristo na Wayahudi), kitabu cha kwanza cha nabii Musa kiitwacho Mwanzo sura ya 12 inaonesha jinsi Ibrahim anavyoitwa na mwenyezi Mungu ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…