historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Uongozi wa Simba SC na Mwekezaji Mo Dewji mambo madogo madogo yanayotuaibisha kama haya yawe Historia Klabuni Kwetu

    Nimekwazika sana tu kusikia ( tena kutoka kwa Msemaji Ahmed Ally akikiri hivi punde EFM Sports Headquarters na kusema zimechelewa tu kidogo kutokana na Masuala ya Fedha ) kuwa Wachezaji wa Simba SC wana manung'unuko ya Moyoni baada ya kutopewa / kutolipwa Posho zao kwa wakati ambazo Sisi...
  2. Wakati wa kufurahi tufurahi pamoja; Kundi la Ghetto Kids la Uganda laweka HISTORIA na Golden Buzzer kwenye British's Got Talent

    Kundi la Ghetto Kids la Uganda laweka HISTORIA na Golden Buzzer kwenye British's Got Talent: Britain’s Got Talent ilirejea kwa msimu wake wa 16 siku ya Jumamosi ambapo kundi la densi la Uganda - GhettoKids - lilipata tuzo ya Golden Buzzer. BritainsGotTalent ni shindano la vipaji...
  3. Kabudi: Tanzania imeweka historia, ndio nchi ya kwanza Afrika kusaini mkataba wa hisa isiyofifishwa

    Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  4. Mzee Kissinger: Mwalimu Wangu wa Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MWALIMU WANGU MZEE KISSINGER MZEE KISSINGER WA MTAA WA CONGO CHUO KIKUU CHA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Mzee Kissinger huniambia, ''Wewe Mohamed mimi nimekusomesha wapi?'' Mimi huwa simjibu kitu nashukuru na kama nimefuata kujua kitu kutoka kwake nitamuuliza na pale pale mwalimu wangu...
  5. Historia ya TANU siku zote imeandikwa na makosa

    ''Mwalimu Nyerere na Historia'' (1980) Kitabu cha Prof. G.A. Mhina Kitabu hiki nimekuwancho kwa miaka mingi sana. Lakini kwa kuwa ni kitabu cha picha nilikisoma mara moja tu katika miaka ya 1980 na kikabakia Maktaba. Sikukigusa tena. Jana nimeona picha za TANU katika mtandao na haraka...
  6. Historia ndefu ya Afrika kwa ufupi

    MAARIFA NI NGUVU!!!!!! ✊🏽 ~ MUDA WA HISTORIA YA AFRIKA (SIMULIZI ZETU ZA UKWELI) - 100,000 BC - Wanadamu wanahama kutoka Afrika kwenda sehemu zingine za ulimwengu. - 3,118 KK - Mfalme Menes anaunganisha falme za Kemet ya Juu na ya Chini. - 2,600 BC - Piramidi ya kwanza imejengwa huko...
  7. Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mbunge huyo alianza kujulikana kwa jina la Bonnah Kalua, kabla ya baadae kubadili jina na kuitwa Bonna Kamoli aliwahi wakati mmoja kusema kupitia mahojiano na chombo cha habari kuwa atakuja kugombea Urais baada ya Magufuli Mzaliwa wa Geita na mtaalamu wa masuala ya IT na mahusiano ya kimataifa...
  8. Historia yawekwa: Mashabiki wa Yanga wakesha usiku mzima wakiangalia mechi ya kirafiki ya Simba

    Mechi ya marudiano ya Simba vs Raja AC iliyochezwa jana mjini Casablanca ilitegemewa kuwa ni mechi yenye ushindani mkubwa pamoja na kwamba ilikuwa ni mechi ya kirafiki ya kukamilisha ratiba. Pamoja na kwamba timu zote mbili zilicheza kwa tahadhari na kujaribu kutafuta ushindi lakini ile hali ya...
  9. Msaada wa historia ya maisha na kifo cha "Mbena Malumbi" kama sijakosea jina lake

    Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo. Kwa kipindi nilichokaa Morogoro nilipata kusikia kwa kifupi taarifa kuhusu Mbena Malumbi na pia kuoneshwa baadhi ya zilizokua mali zake. Hivyo, nimekuja kwenu kuwaomba mnijuze kwa mawanda mapana kuhusu bwana huyo.
  10. Machache kuhusu Zanzibar na historia ya biashara ya utumwa

    UKITAJA BIASHARA YA UTUMWA Duniani unaitaja Zanzibar #Unguja ambayo ndicho kilikuwa kitovu na soko kuu la Biashara hiyo ambapo watumwa walikusanywa kutoka pande mbalimbali Afrika (Kongo, Burundi, Rwanda, Tabora, nk.) kupitia Bagamoyo na kuletwa hapa kwaajili ya kuuzwa kwenda kutumikishwa. PICHA...
  11. Historia itakukumbuka Mbowe kwa kuyasaliti Mageuzi

    Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo...
  12. Historia ya Taarabu nchini Tanzania

    Taarab ina historia ndefu katika muziki wa Tanzania kama ulivyokuwa muziki wa dansi. Wapenzi wa taarbu wa zamani waliiweka taarabu katika vyanzo kama Taarab ya Tanga, Taarab ya Dar es Salaam,Taarab ya Zanzibar na Taarab ya Mombasa. Taarab ya Zanzibar wakati huo ilikuwa ni ile yenye kundi kubwa...
  13. Historia ya TANU Katika Picha Mbili 1955 na 1993

    HISTORIA KATIKA PICHA MBILI 1955 NA 1993 Picha hizo mbili hapo chini zimepishana miaka 38 kwa mkato na kifupi unaweza kusema zimepishana miongo minne yaani miaka 40. Picha ya kwanza ni mkutano kwa kwanza wa mwaka wa TANU Ukumbi wa Ghandhi, Hindu Mandal Dar es Salaam na picha ya pili ni kumbi...
  14. Tufanye nini na hizi clip zinazopotosha Historia ya Tanzania?

    Kuna clip inazunguka mitandaoni ikieleza mengi kuhusu Tanganyika. Kubwa linaloshtua watu wengi ni kusema imani kuu nchini ni Ukristo. Nimeandika makala hiyo hapo chini kutanabaisha kuhusu historia ya Tanganyika nikijaribu kueleza imekuwaje tumefikia hali hii: MEETING OF THE MINDS Alikuwa Dr...
  15. Historia ya Kadi ya TANU 1954

    HISTORIA YA KADI YA TANU 1954 Ndugu yangu mmoja kanirushia kadi ya TANU nami kwa kuonyesha shukurani yangu kwake namuwekea hapo chini historia ya kadi ya TANU kama nilivyoeleza katika kitabu cha Abdul Sykes: ''Ally Sykes ndiye aliyechora kadi ya TANU na kuchagua rangi na nembo yake. Rangi...
  16. Itambue historia ya TMK wanaume Family

    KIUMENI, MAANDISHI MATATU TMK WANAUME FAMILY Pengine ni sahihi kama tukianza kuizungumzia Temeke kwa kuutaja uwakilishi wa mwanzo kabisa wa kundi lililofahamika kama Gangstaz With Matatizo ama kwa kifupi GWM. Humo aliyesikika zaidi alikuwa Kaka Rashid Ziada (KR MULLAH CD 700 MUZIKI MKUBWA...
  17. Mchengerwa, ingia katika historia kwa kuongeza idadi ya visiwa vitakavyokuwa chini ya hifadhi ya taifa ya Saanane, ndani ya ziwa Victoria

    Namshauri ndugu Mchengerwa moja kati ya majukumu atakayofanya ni kuongeza idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini ya hifadhi ya SAANANE. Kisiwa Cha saanane ni hifadhi ya taifa, na kwa kuangalia mbele, nashauri iongeze idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini yake, hii itakuwa ni kwa kuangalia...
  18. Neno ‘KONGOLE’, hivi lilikuwepo kweli? Historia yake na nani amelitunga ?

    Ukitaka kuandika hongera baadhi ya keyboard zinakupakazia eti kongole! Kongole wich, who are you kongole? are you normal?🤷‍♂️ Je ni kutohoa congratulations au ni nini? Kwani kiswahili lini kilikosa, au kilikuwa na upungufu wa misamiati ya kupongeza? Hongera ilikuwa wapi. Tuna upungufu wa...
  19. N

    Rais Samia aweka historia nyingine katika uchumi

    Mapitio na maboresho ya sera za biashara pamoja na misingi bora ilioimarishwa kati ya serikali na taasisi binafsi nchini imechochea kuwekwa kwa rekodi ya faida ilitengenezwa na taasisi za kibenki nchini. Kwa mara ya kwanza katika historia, benki za Tanzania zilipata faida ya jumla ya Sh...
  20. J

    Kama Wafu wasingesemwa, tusingekuwa na somo la Historia

    Nimeona watu wanatema mapovu mtandaoni kuwa ni vibaya kuwasema watu waliokufa, hata kama walifanya mabaya kiasi gani Kama watu waliokufa hawasemwi, basi tusingekuwa na somo la historia Historia ambalo ni somo muhimu zaidi kwenye siasa, msingi wake ni kuyasema mambo yaliyofanywa na wafu, mabaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…