historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. Sir robby

    Tril. 360 kuwa Kanyaboya na Plea Bargaining kuwa historia katika nchi hii

    Hakika matukio haya mawili yaliyofanywa na utawala wa awamu ya 5 chini ya aliyejiita mzalendo na rais wa wanyonge itabidi yaingie kwenye historia ya wizi na uongo kupata kutokana hapa nchini. Tuliambiwa kuwa kampuni ya barrick tunaidai tril. 360 kwa kukiuka ulipaji kodi fedha ambazo ni nyingi...
  2. vincentmwakisyala

    Historia ya wimbo "Usinipite Mwokozi" tenzi namba 10

    Na Vincent Mwakisyala Wimbo huu wa usinipite ni moja kati ya nyimbo za kikristo maarufu sana Duniani. Na wimbo huu unaimbwa Na madhehebu karibu yote. Ni wimbo wa maombi, una ujumbe uliotulia, Na una tafakari itakayokuvuta kwa Mungu moja kwa moja. Nikitafakari wimbo huu namkumbuka yule mgonjwa...
  3. Mohamed Said

    Omari Mwariko na Historia ya Kifimbo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

  4. GENTAMYCINE

    Historia kuwekwa Tanzania 2025, huenda Waziri Mkuu (Premier) ajaye akawa ni Mwanamke

    Ombi langu Kubwa kwenu kama GENTAMYCINE kwa mnaomuandaa huyo Waziri Mkuu Mwanamke (Mwanamama) ajaye wa mwaka 2025 (ambaye tayari Jina lake nimeshapenyezewa ila kamwe sitothubutu Kulitaja) ni kwamba mlindeni mno ili yale ya Deo na Chopper ya mwaka 2015 yasijirejee tena. Na nasikia huenda hata na...
  5. Mohamed Said

    Kwa Sykes Wanarejewa na Kurejewa Katika Historia ya Uhuru wa Tanganyika?

    MUULIZAJI KAULIZA KWA NINI SYKES WANAREJEWA NA KUREJEWA? ''Nauliza hakuna familia nyengine ila ya akina sykes ilo shiriki? Kugomboa tanganyika naona kila mara tunawarejea hao hao?'' Namjibu: NYARAKA ZA SYKES KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA Siku nilipofunguliwa sefu iliyokuwa na nyaraka za Sykes...
  6. sinza pazuri

    Diamond aweka historia ya kuwa mtanzania wa kwanza kulipwa pesa nyingi kwenye usiku mmoja hapa Tanzania

    Usiku wa tarehe 31 December, 2022 history inaenda kuandikwa. Kijana kutoka mitaa ya Tandale, Diamond Platnumz aka Simba anaenda kuandika rekodi mpya kwenye ardhi ya Tanzania. Kwa mkataba wa kufanya show ya saa nne juu ya stage pale Ramada. Diamond atalipwa Tshs Million 300. Hajawai tokea...
  7. chamilo nicolous

    Historia siyo duara

    Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amepewa Tuzo leo kwa ajili ya nini na kazi ipi aliyofanya inayohusiana na bwawa la JNHPP? Mradi wa JNHPP, SGR, Ikulu ya Chamwino n.k yote yalikuwa maono ya Mwalimu Nyerere. Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amekaa Ikulu ya Dar es Salaam miaka 10, hakupoteza...
  8. emmarki

    Nani anajua historia ya nini chanzo cha kuwepo kwa mti wa Xmas?

    Wakati tukielekea kwenye sherehe kubwa inayoadhimishwa na waumini wa dini ya kikiristo ulimwenguni kote Christmas. Nimekuwa nikiona watu wanapamba nyumba zao na mti almaarufu Christmas tree. Naomba kujuzwa historia ya matumizi ya xmass tree, kuna uhusiano gani wa tukio lenyewe na mti huo.
  9. N

    Tanzania kuandika historia siku ya leo kwenye bwawa la umeme la Nyerere

    Leo December 22 Rais Samia Suluhu atazindua hatua ya kwanza ya kuanza ujazaji maji katika bwawa la Nyerere (JNHPP) Ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 78.68. Tanzania tunaandika historia ya kuwa na bwawa kubwa zaidi lenye uwezo wa kujaza maji lita Bilioni 32 na bwawa hili ni kubwa kuliko...
  10. Msanii

    Mwenye historia ya Prophet Seguye atuwekee

    Prophet Seguye wa Kivule kituo cha Matembele ya Pili ni mkuu wa huduma ya Kisima cha Mpenyo. Amekuwa maarufu hivi karibuni kwa kutoa maelekeo ya wanaoenda kuombewa kwake waende na nywele zao ndani ya vitambaa. Naomba mwenye historia yake ama waliphudumiwa naye tuweze kumfahamu zaidi
  11. NASIRIYA

    Historia ya Morocco

    Historia Makala: Historia ya Moroko Moroko ya Kale Habari za kimaandishi za kwanza ni kutoka karne za kwanza KK. Wafinisia walijenga miji yao pwani lakini eneo la ndani lilibaki nchi ya Waberber waliounda ufalme wa Mauretania ya Kale (usiuchanganye na nchi ya kisasa Mauretania) uliounganisha...
  12. Kifimbo Cheza

    Mwenye historia ya huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa atuwekee hapa

    Tafadhali jamani mwenye historia ya maisha ya Huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa naomba atuwekee hapa, maana anazidi kuwapiku wenzake wakina Lusekelo, Malisa, Kakobe, Mwingira wengine wa type hiyo hapo Tanzania.
  13. Mohamed Said

    Historia ya Bi. Titi Katika Kitabu cha Abdul Sykes

    HISTORIA YA BI. TITI KATIKA KITABU CHA ABDUL SYKES 1955 Mikutano ya TANU ya siku za mwanzo ilikuwa ikifanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja mbele ya Princess Hotel. Kwenye jukwaa lililojengwa kwa miti walikuwa wakikaa wale viongozi wa mstari wa mbele ndani ya TANU - Nyerere rais wa TANU...
  14. AbuuMaryam

    Ninaamini bila shaka historia ya nchi imeharibiwa makusudi kisiasa, sehemu kubwa ni uongo

    Ni kweli... Jinsi tulivyofundishwa shuleni namna ambavyo WAKOLONI WAZUNGU HASA WAINGEREZA WALIKUWA NI WATU MAKATILI, WANYANYASAJI, WABAGUZI WASIOJALI... nikajiuliza maswali... Ukiangalia viongozi wengi waliokuwa rika la MWALIM NYERERE na wenzake na wazee wengine... Wanatueleza historia za...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    World Soccer Photo Album

    Ronaldinho Gaucho. Aliletwa duniani kuiburudisha dunia kupitia miguu yake iliyosheheni ujuzi wa kipekee.
  16. Mohamed Said

    Yericko Nyerere na historia ya African Association

    Kumekuwa na shinikizo kubwa sana kwangu kutoka kwa ndugu na jamaa kuwa nijibu maneno ya Yericko Nyerere kuhusu historia ya African Association (AA). Wengi waliomsikiliza Yericko katika kipindi cha TV ya Star Times hawakupendezewa na jinsi Yericko Nyerere alivyoeleza historia hiyo na kuiita AA...
  17. mahindi hayaoti mjini

    Historia itajirudia Qatar, Croatia itabeba ndoo

    Wengi hawajui ila historia ina nafasi kubwa maishani. Wanaoitunza hufahamu mengi hata kabla ya tukio hivyo kupelekea kupatia kiasi kwenye jambo husika Nisiwachoshe iko hivi; 1986 fainali Argentina na Ujerumani, Argentina akabeba ndoo Miaka minne baadae 1990 fainali Argentina na Ujerumani...
  18. Mohamed Said

    Morning Trumpet Azam tv 9 December: Mohamed Said na historia ya Uhuru wa Tanganyika - 1

  19. B

    Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

    JF, Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia. Nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta...
  20. Mohamed Said

    Morning Trumpet Azam TV 9 December: Mohamed Said na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MORNING TRUMPET AZAM TV KESHO 9 DECEMBER: MOHAMED SAID NA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Kesho In Shaa Allah asubuhi saa moja na nusu nimelikwa kuzungumza kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika. Picha hiyo ni kipindi changu cha kwanza nilichofanya katika Morning Trumpet mwaka wa 2015.
Back
Top Bottom