Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amepewa Tuzo leo kwa ajili ya nini na kazi ipi aliyofanya inayohusiana na bwawa la JNHPP?
Mradi wa JNHPP, SGR, Ikulu ya Chamwino n.k yote yalikuwa maono ya Mwalimu Nyerere. Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amekaa Ikulu ya Dar es Salaam miaka 10, hakupoteza...