historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. Historia ya Sheikh Hassan bin Ameir Mufti wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZY0ozVzGzXo?si=7u9N3U8Ky8qlgefs
  2. Historia ya Omari Suleiman Nyumba Yake Ndiyo Akifikia na Kulala Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru

    HISTORIA YA FUNDI CHEREHANI OMARI SULEIMAN RAFIKI KIPENZI WA JULIUS NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Mwaka 1955 wakati wimbi la utaifa wa Tanganyika lilipokuwa limepanda sana nchini Tanganyika Omari Suleiman alikuwa na umri wa miaka 43. Omari Suleiman alikuwa fundi cherahani...
  3. Mbowe ametoa masterclass (darasa kuu) ya siasa za upinzani Tanzania leo. Historia itamsema vizuri

    Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na maswali ya waandishi wa habari aliyoyajibu leo ni masterclass ya siasa za upinzani katika nchi yetu. Kuongoza upinzani sio oya oya kama wengi wanavyodhani, kunahitaji utulivu akili, uvumilivu, maturity na busara kubwa sana. Baada ya...
  4. Zijue Mashine Aina ya Terez: Historia, Matoleo, Injini Zake, Faida na Hasara zake.

    Zijue Mashine Aina ya Terez: Historia, Matoleo, Injini Zake, Faida na Hasara zake. Mashine za Terez ni mashine madhubuti zilizoundwa kwa ajili ya kufanya KAZI mbalimbali ngumu kama ujenzi, na usafirishaji wa mizigo. Mashine hizi zimepitia mabadiliko makubwa tangu zianze kutengenezwa, na...
  5. Wasafi FM: Historia ya Bibi Titi...Inaendelea

    https://youtu.be/cc4rPXasbDM?si=xe6F8oUNMEwxRjjc
  6. Bibi Titi Alihifadhi Historia ya Maisha Katika Uhai Wake

    BIBI TITI ALIHIFADHI HISTORIA YA MAISHA YAKE KATIKA UHAI WAKE 13.559 Aufrufe · 18 Reaktionen #WasafiDigital #WNews | Wasafi FM
  7. A

    Chama cha Mapinduzi (CCM ) na kushindwa kuhifadhi Historia kwa ufasaha

    Kwa hivi karibuni kila Mtanganyika na Mzanzibari ameshuhudia Serikali inayoongozwa na CCM ikiwa ni kinara wa kuendelea kuwasahaulisha kizazi hichi kipya historia mama ya Nchi yao Iliyo ni tunda la Muungano yaani Tanzania. Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zimekuwa kama ni hisani, hazipewi kabisa...
  8. Historia ya Marafiki Ndugu Wawili Waasisi wa TANU

    https://youtu.be/djuL8PYQHMA?si=1e_2imiIOpk3qtC2
  9. T

    Historia ya vyama vingi vya kisiasa Tanzania ni giza nene sana

    Uwanzishwaji na uwendeshaji wa vyama vya siasa vya Tz nigiza nene kiasi ukiingia nikama umenasa kwenye ulimbo usijuwe palitokea. Hakuna mtu atakaye nielewa kama hukuwahi kugoma kwenye vyuo huwezi nielewa ila nataka kusema nibora hata visingekuwepo maana huu ni mtego wa panya na hakuna...
  10. Wayahudi wamechinjwa sana kwenye historia na bado wapo tu, hata mtume Mohammad aliwahi kujaribu kuwamaliza

    Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
  11. Historia ya kuanzisha kizazi cha taifa la watu weupe ( wazungu)

    Hadithi ya YACUB ni simulizi linalotokana na mafundisho ya Nation of Islam (NOI), harakati ya kidini na kisiasa iliyoanzishwa nchini Marekani katika miaka ya 1930. Hadithi hii inachukuliwa kama mithali au simulizi ya mfano na siyo rekodi ya kihistoria au kisayansi. Hapa kuna muhtasari wa hadithi...
  12. Historia ya Sheikh Mohamed Ramiyya wa Bagamoyo

    https://youtu.be/v4f9Y3QKpak?si=ZVDx2ZELIucxRASJ
  13. Watawala wasingekosea kama wangekuwa wanafunzi makini wa Historia!

    Daniel Arap Moi "alijiapiza" kuwa KANU ingetawala Kenya miaka mia moja! Iko wapi kwa sasa? Haikufikisha hata miaka hamsini. Iliondolewa madarakani na waliowahi kuwa wana KANU waandamizi. Adolf Hitler alikuwa na nia ya kuwaangamiza Wayahudi wote. Japo aliwaua wengi lakini lengo lake halikutimia...
  14. Njoo utembelee na ujue historia ya Serengeti and Ngorongoro crater safari ya kutwa.

    Hello wana jamii forum! Karibuni sana kwenye majadiliano yetu leo! Leo ningependa kuzungumzia hifadhi mbili maarufu sana hapa Tanzania, ambazo ni Serengeti National Park na Ngorongoro Conservation Area. Serengeti National Park ni moja ya vivutio vikuu vya utalii hapa Tanzania na kimataifa pia...
  15. Historia ya mlima Kilimanjaro

    Mlima Kilimanjaro Kilimanjaro ni jina la mlima mrefu kuliko yote barani Afrika. Mlima huo uko nchini Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro. Una urefu wa mita 5,895 (futi 19,340). Hali halisi Kilimanjaro ni zaidi ya mlima tu, ni kama safu ndogo ya milima mitatu: Kibo, Mawenzi na Shira. Hiyo...
  16. Safari ya Miaka 60: Kitabu Cha Picha Historia ya Tanzania

    SAFARI YA MIAKA 60 NDANI YA CHAPISHO LA PICHA ZA HISTORIA YA TANZANIA Leo Maktaba imebahatika kutembelewa na mwandishi wa kujitegemea ambae ameandika na anaendelea kuandika sasa kwa miaka na magazeti maarufu ya Ulaya. Ally Sultan. Ally Sultan hakuja mikono mitupu amekuja na kitabu na jarida...
  17. R

    Mjue Kaisari Nero, Mfalme katili aliyeacha kovu kubwa kwenye historia ya Ukristo

    Ilikuwa tarehe 19 July mwaka 64AD. Moto mkubwa ulianza kuwaka karibu na mtaa uitwao Circus Maximus, katika jiji la Rumi. Kwa sababu jiji la Rumi kwa miaka hiyo lilikuwa limejengwa kwa vitu ambavyo vinashika moto haraka, jiji zima likashika moto mkubwa! Kwa miaka ile, bado hakukuwa na nyenzo...
  18. Netumbo Nandi-Ndaitwah aweka Historia, awa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia

    Netumbo Nandi-Ndaitwah wa chama tawala cha Swapo nchini Namibia amechaguliwa kuwa Rais, na hivyo kuwa kiongozi wa kwanza mwanamke nchini humo. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC), matokeo yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Namibia leo Jumanne Desemba 3, 2024 yameonyesha...
  19. G

    Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

    Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH" watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya...
  20. Generation Samia kuanza na Jogging kubwa ya historia Dodoma

    Wakuu! Naona vijana wanaendelea nguvu ya uchawa kawa Rais maana kila kitu sasa utasikia Samia hivi na vile yani hashitag kibao kumuhusu Rais Samia. Sasa ndiyo njia pekee ya kufanikiwa kwenye mambo yao? Hii ni to much ====================== Programu mpya ya vijana inayojulikana kama Generation...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…