Hōfu (防府市, Hōfu-shi) is a city located in Yamaguchi Prefecture, Japan.
As of September 30, 2016, the city has an estimated population of 117,387 and a population density of 622.44 people per km². The total area is 188.59 km².
mtu anapo kimbia bafuni bila nguo kisa ameona mende ile ni hofu lakini mtu anapo kimbia simba msituni ile
ni anakimbia hatari, mtu anapo ona kisiki usiku na kuzani ni mtu ile ni hofu. Tukiweza kutofautisha kati ya hofu na hatari tunaweza kuwa realy na kuishi kwa kiwango kikubwa bila hofu...
Sijawahi kufurahi kama ninapoona ndugu zangu upande wapili wakipata nafasi kadhaa.
Nimefanya kazi nafasi mbalimbali na ukweli wao wakifanikiwa kupata nafasi kwanza wana hofu ya Mungu.
Pili wana utu wa ubinadamu
Tatu.Wako radhi kuhakikisha waliojuu yake wanasaidiana kusaidia wananchi zaidi...
Kama hana kosa kwa nini kuwa na hofu kuwa atatiwa hatiani kwa makosa ambayo hajafanya?
Jaji ni mwamuzi anayeangalia ushahidi wa pande zote mbili. Na anaamua kwa kufuata haki.
Tulipinga kwa nguvu zote Jaji Limuvanda kusikiliza kesi ya Mbowe. Sasa jaji Nsiyani naye tunakuwa na hofu nae...
Wakuu salama?
Hivi karibuni, hasa kwa mwaka huu wa 2021 nimoepoteza watu wa karibu wengi sana tangu huu mwaka uanze; Nimepoteza wazee wangu-baba wakubwa wanne, pia nimepoteza marafiki zangu wale wa inner cycle watatu,akiwemo rafiki yangu mmoja wa karibu sana aliefariki kwa kansa ya utumbo, na...
Habarini za humu wanajamii,hapa nimefikiria nikaona hebu nije kuomba ushauri au mawazo katika hili.
Ninafanya kazi kwenye company moja hapa mjini kwa takribani miaka miwili hivi toka nimalize elimu yangu ya juu cha kushangaza ile company toka naingia ilikuwa ni startup yaani ndo inaanza ila...
Kiongozi ni mtu yeyote atazamwaye na wananchi waliowengi kwa nia ya kuongozwa au kufika kule wanakotarajia na kunakotazamiwa na wananchi hao.
Kiongozi anamajukumu makubwa zaidi kuliko miiko tu ya kazi, anaongoza roho za watu.
Kiongozi ni nani?
Kiongozi ni yule mwenye madaraka makubwa au...
Vipengele vipya vya usalama vimekusudiwa kusaidia Waafghan kufunga akaunti haraka na kupunguza nyayo zao katika mitandao ya kijamii.
Alhamisi Facebook ilisema inaanzisha udhibiti mpya wa watumiaji kwa watu nchini Afghanistan ambao wanakimbilia kufuta nyayo zao za kidijitali kwa hofu simu zao au...
JE, UNASITA KUFANYA KITU TOKANA NA WASIWASI NDANI YAKO?
Hofu/mashaka/ wasiwasi unatufanya tusiendelee mbele na unatudumaza tunabaki vilevile tungali masikini na unaleta umaskini ndani yetu na kubaki vilevile tu bila hata kudhubutu kutenda jambo kuu katika Maisha yetu. Tufanye nini sasa iili...
Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.
Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm
Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani...
Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha.
Huyu mtu anarudisha juhudi za...
Hizi tuhuma zinaenezwa sana kupitia mitandao ya kijamii. Hii mitandao ya kijamii ina nguvu sana maana ndio source of information.
Wanaoeneza hizi tuhuma wameenda mbali na kudai kuda hata hawa viongozi walipokuwa wakionyesha umma kuwa wanapata chanjo manesi waliowadunga chanjo hawakuvuta dawa na...
Leo Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza Viongozi wa Juu wa Serikali
Kuchanjwa Chanjo ya COVID 19 Aina ya Johnson And Johnson
Sasa huko Tanga wanafunzi wamekimbia Shule Hasa Hasa Wakihofia Kuchanjwa, huku wazazi wakiwaambia wasije kuchanjwa maana
wataambukiza...
Hali ni mbaya sana uraiani. Watu wana hofu kubwa. Watu hawana imani na chanjo. Japokuwa wamepewa matumaini kuwa chanjo ya Jonhson ni single shot.
Watu wakiugua mafua sababu ya kibaridi cha kiangazi wanapata hofu ya kufa wanadai ni Corona.
Watu wanapiga nyungu lakini wana hofu ya kifo.
Hii...
Hofu hufanya kazi kupooza, inaweza kukufanya uwe mgonjwa, inaweza kuingilia kati kinga yako dhidi ya maambukizo
Wasiwasi unaweza kukufanya uwe mgonjwa, unaharibu na hudhoofisha kinga yako
HAKUNA faida hata moja kwa wasiwasi au woga.
Uhakika pekee ulionao ni kuwa na wakati mgumu na kuongeza...
Mfumo huu unaitwa kids mode,hii ni kwa ajili ya watoto kwanzia wadogo mpaka wakubwa.
Njia hii kwa sasa inapatikana kwenye simu karibu zote,na haitakuhitaji kuanza kuficha files zako kwa apps tumizi kama vault kwa hofu kwamba mtoto atavuruga au kufuta.
Kwanza ni lazma iwe na lock ya kawaida...
Ugumu wa safari ya maisha ya huyu mwanamke ulianza sekende chache tu kabla ya kuzaliwa kwake, alikinusa kifo akiwa yeye pamoja na mama yake. Hali iliyopelekea kutokupewa jina lolote kwa sababu ndugu, walijua fika kuwa kifo ni halali yake.
Lakini kutokana na kudra za mwenyezi , wazazi waliamua...
Ni swali dogo na fupi tu, Kunahofu ya uchumi kudolora kiasi cha kufanya iwe hofu ya baadhi ya mambo mhimu kufanyika kama ukamilishwaji wa Katiba
Je, ikiwa wananchi wataamua kuchangia bajeti yote ya mchakato wa katiba mpya, Bado CCM watazuia jambo hili?
Wembe wa chapa ya jina sawa na kundi la wanamgambo wa kiislamu ambalo limekuwa likitekeleza mashambulizi dhidi ya wakazi wa mji wa Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji, limeshtua mamlaka.
Wembe wa chapa ya Alshabab umaarufu wake ulikuwa ukiongezeka mwaka jana.
Hivi sasa mamlaka zina hofu kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.