hofu

Hōfu (防府市, Hōfu-shi) is a city located in Yamaguchi Prefecture, Japan.
As of September 30, 2016, the city has an estimated population of 117,387 and a population density of 622.44 people per km². The total area is 188.59 km².

View More On Wikipedia.org
  1. lee Vladimir cleef

    Hofu ya CCM na wana CCM kuhusu Katiba

    Ukweli siku alipokufa nilifurahi, sikufurahia kifo chake, bali nilifurahi kwa sababu ameondoka kwenye kiti cha taifa. Nilifurahi kapisha kiti hicho kwa sababu Mimi nilimuona hakufaa kukalia kiti hicho. Alikua ana uwezo lakini hakufaa. Kwa sababu gani alikua ana uwezo lakini hakufaa Nina sababu...
  2. Doctor Mama Amon

    Uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Taifa: Kutoka Hofu na Mashaka Hadi Furaha na Matumaini

    Waziri Mkuu wa Tanzania akionyesha nakala za Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 leo wakati wa uzinduzi wake Mjini Dodoma Nimefurahi kuona luninga ya TBC1 leo asubuhi ikizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa kwa ajili ya kipindi cha 2021/22 hadi 2025/26. Wakati...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Rushwa ni halali Tanzania? Askari wa barabarani wanachukua rushwa bila kificho wala hofu

    Habari wanakamati? Naomba kuuliza kaswali kadogo tu. Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa kwa bodaboda, watu wa bajaji na daladala kweupe. Ukitaka kuhakikisha haya panda daladala ujionee...
  4. Morgan Freeman

    Kuna watu walichonga majeneza yao wenyewe Serikali ya Awamu ya Tano

    Wasalaam wadau, Wakati fulani katika awamu ya tano, kiliibuka kikundi cha kusifu na kuabudu viongozi hata kufikia kutaka kubadili katiba ili kuwaongoza muda viongozi walio madarakani, sio nia ya bandiko langu kutweza utu au legacy ya hayati mwenyekiti wangu Dkt. JPM bali kuwakumbusha waabudu...
  5. jitombashisho

    CCM wameanza kuumizana wao kwa wao

    Hatmaye CCM wameanza kuumizana wao kwa wao "kiukweli-ukweli!" Nasema kiukweli-ukweli kwa sababu kabla wana CCM walikuwa wakiumizana huku waki-fake kuumizana kwao kwa dhana ya "huyu ni mwenzetu." Leo, kidume na kijana aliyelelewa ndani ya chama,kadhalilishwa bila kujali ukada wake.Inafikirisha...
  6. Fohadi

    Jinsi jirani alivyoniweka njia panda. Ungefanyaje?

    Utangulizi: Huyu dada ni mke wa mtu na ni jirani yangu pale nyumbani ninapoishi. Ni zaidi ya miezi 9 sasa toka nimehamia mtaa ule, ila kwa kipindi chote hiki sijawahi kuwa na mazoea na huyu mwanamke. Huwa ni mwendo wa salamu tu halafu kila mtu anachukua 50 zake. Sina uhakika kama ananijua jina...
  7. B

    Masha afafanua kuhusu kufa kwa Fast Jet

    31 May 2021 MASHA ANAONGEA : ALIYEIUA FAST JET, HOFU, ATCL WAFANYE NINI. Huyu ni Lawrence Masha, nguli wa Sheria na Mfanyabiashara. Aliwahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. . Pia alinunua shirika la ndege la #FASTJET, Likapata vikwazo yeye akiwa mmiliki. source ...
  8. khamis kilo

    Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

    Habari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level...
  9. S

    Inawezekana hofu ya Serikali kupunguza kodi ya uingizaji wa magari inatokana na hofu ya ukosefu barabara za kutosha kwa jiji la Dar-es-Salaam

    Binafsi siamini kuwa serikali hii ya sasa, kama ilivyokuwa kwa serikali zilizopita, hawaelewi kuwa ukipinguza kodi ya kuingiza magari nchini, watu wengi zaidi wataagiza magari na hivyo kuiongezea zaidi serikali mapato, bali naamini wanahofia miundombinu ya jjji kuzidiwa na wingi wa magari ila...
  10. Mkaruka

    Ufalme wa Hanscana kama Video Director umefikia mwisho- Amekuwa mwenye hofu sana sasa hivi

    Tasnia ya utengenezaji wa video za wasanii wa Bongo fleva imeanza kitambo sana. Kumekuwa na Directors wengi lakini mapinduzi ya video yamekuwa yakifanywa na Directors ili kuanzisha either trend mpya au Directors wenyewe kulazimika kukua baada ya wasanii kutaka video zenye ubora. Kuna wakati...
  11. X

    Hofu miongoni mwa wana CCM ni udhaifu wa siasa za Hayati Magufuli: Rais Samia anajiamini

    Kumeibuka mada na mijadala mingi hapa JF na mitandao ya kijamii kutoka miongoni na wafuasi wa CCM inayokosoa, kulaani au kulalamikia mwenendo na misimamo ya utendaji wa Rais Samia. Zaidi kinachoendelea kwenye mijadala hii ni kumtaka Rais Samia “avae mabuti” na kupita njia za mtangulizi wake...
  12. The Palm Tree

    Nini hofu ya Spika Ndugai kuchukua hatua dhidi ya Wabunge kina mama 19 wanaodaiwa kuwa ni wa CHADEMA?

    Hebu kila GT yeyote aitazame na kuisikiliza video clip hii ya Spika Ndugai Job mwanzo mwisho. Umeelewa na kujifunza nini baada ya kusikiliza? Kwanini unadhani Spika wa Bunge la JMT ndg Job Ndugai anapata wakati mgumu kuchukua maamuzi sahihi kwa hawa kina mama na badala yake anapiga siasa...
  13. GENTAMYCINE

    Kuelekea Mechi yake na Prisons FC Kombe la FA Kesho hofu yatanda Kikosini baaada ya Wachezaji hawa muhimu Kukosekana

    1. Tonombe Mukoko 2. Feisal Salum 3. Michael Sarpong Kwa Mtu wa Mpira na aliyeifuatilia Yanga SC 95% ya Ushindi wake ( hasa katika Mechi zake ngumu na za Kimaamuzi ) ni kutoka kwa Wachezaji hawa Waandamizi niluowataja hapa Juu. Kama 'Clip' ya Prisons FC niliyonayo ndivyo ambavyo watafanya...
  14. E

    Ninaogopa kutongoza, nahofia kukataliwa

    .
  15. A

    Hofu ya Katiba Mpya

    Nimsikiliza Rais Mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan,katika hotuba yake ameongea mambo mengi ya msingi na yenye kutia matumaini. Moja ya maeneo aliyonifurahisha katika hotuba yake ni tone anayotumia katika uwasilishaji wa hoja zake. Kitendo cha kuahidi kufanya maboresho kwenye sera zetu za...
  16. M

    Siyo kwamba nampenda Rais Samia, bali nafurahi hofu ya watu wasiojulikana imeondoka

    Ilifika mahali hata kuongea siasa unaangalia kushoto na kulia ndiyo uongee,tena na unayemuamini. Ilifika mahali ukiongea halafu ukataja neno Tundu Lissu badi kama pana mfanyakazi wa serikalini unaona amaondoka kimyakimya. Simu zinarahisisha biashara lakini ilifika mahali mtu hapendi muongee...
  17. Mag3

    Hofu na wasiwasi watanda ndani ya CCM; wasutana wakigombania bongo. Nani katwaa ubongo usio wake?

    Wahenga walisema ujanja kupata...wakati wa mwendazake viongozi na wanachama wa CCM kwa kuonesha utii walifanya kama tunavyoshuhudia kwenye hii picha hapa chini. Walipigana vikumbo kukabidhi akili zao kwa bwana mkubwa lakini kwa bahati mbaya bongo ziliwekwa kwenye ndoo bila kuwekewa alama...
  18. beth

    US yaamuru Wanadiplomasia wake kuondoka Chad kutokana na hofu ya kuibuka ghasia

    Marekani imewaamuru Wanadiplomasia wake ambao sio muhimu kuondoka Nchini Chad kutokana na hofu ya kutokea mashambulio katika Mji Mkuu wa N’Djamena. Kauli hiyo imetolewa wakati matokeo ya awali ya Uchaguzi yakionesha Rais Idriss Deby anatarajiwa kushinda na kuendeleza Uongozi wake ambao umedumu...
  19. S

    Jicho la tatu: Inawezekana walichota kuokoa za Mzee Baba kwa hofu ya kutojua mrithi wake angekuwa na msimamo gani

    Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika wao kwa lengo la kufanikusha mipango yao kwani si rahisi kwa tunayoyasikia kutokea kirahisirahisi tu kisa eti fulani alikuwa mgonjwa(mnaanzaje kwa mfano?) Hivyo basi, kwa mtazamo wangu, inawezekana...
  20. Mboka man

    Mada moto: Ni sahihi kuingia kwenye ndoa kwa hofu ya kuogopa kumpoteza umependaye?

    Inapofika wakati mpenzi wako anataka kuolewa au anataka kuoa na wewe ukijiangalia hauko tiyali kutokana sababu mbalimbali labda bado unasoma,hujajipanga vizuli, au kuna mambo unataka uyaweke sawa ndio uowee Je, ni sahihi kuingia kwenye ndoa kwa hofu ya kuogopa kumpoteza umpendaye na ukasitisha...
Back
Top Bottom