Ugumu wa safari ya maisha ya huyu mwanamke ulianza sekende chache tu kabla ya kuzaliwa kwake, alikinusa kifo akiwa yeye pamoja na mama yake. Hali iliyopelekea kutokupewa jina lolote kwa sababu ndugu, walijua fika kuwa kifo ni halali yake.
Lakini kutokana na kudra za mwenyezi , wazazi waliamua...