hoja

  1. J

    Ni lazima Sophia Mjema awe na timu makini ya kujibu hoja za Tundu Lissu pale Uenezi, sisi wengine tutamsaidia huku JF

    Kujibu hoja za nguli wa siasa chokonozi nchini Tundu Antipas Lissu kunahitaji watu makini sana. Namshauri Sophia Mjema asitegemee Chawa bali atengeneze timu yake makini. Tumekuwa likizo ya miaka 7 hivyo tutegemee mengi kutoka upinzani.
  2. R

    Wapenzi wa Siasa za Hoja tunaingia. Hatutaki ugomvi na mtu. Rais Samia aliwapa onyo UVCCM juzi

    Ndugu zanguni hodi hodi tunaingia. Sasa tunakuja kwa nguvu mpya. Kamanda Mbobezi mwenye uwezo mwingi na nguvu nyingi asiyechoka na hoja za ukweli anaingia. Sio mwingine ni Kijana Jeuri, mjuaji, jasiri, mwelevi yule aliyetabiriwa na Mwl Nyerere. Sio mjeuri wa jinai bali wa akili, itikadi, mpenzi...
  3. comte

    Mkitaka kujibizana na CHADEMA someni sana. CHADEMA ni weupe, wazushi na hawezi siasa za hoja na ukweli

    Mdude Chadema @mdudechadematz Juu ni sehemu ya wanafunzi 484 wa shule ya msingi Butibu iliyopo Ushetu Kahama Shinyanga wakisoma chini ya mti kwa ukosefu wa madarasa. Chini ni moja ya magari yaliyonunuliwa kwa ajili ya wakuu wa mikoa nchi nzima.Gari moja thamani yake ni milion 500 sawa na idadi...
  4. D

    CCM kujibu Hoja kwa Hoja ni Uongo tusidanganye; Tunachoweza kukifanya sanasana ni Kukanusha

    Mambo ya Hoja kujibiwa kwa Hoja CCM haiwezi tusidanganyane! Kinachowezekana Ukileta Hoja iwe ya kweli au uongo ITAPINGWA Kwa KUKANUSHWA bhaasi! Ndo imeisha hivyo! Mfano! 1. Sakata la ndege kubeba wanyama na blah blah blah za kutoroshwa wanyama! Jibu lake ni HAPANA! HAKUNA MNYAMA ALIYEIBIWA...
  5. F

    Nitakuwepo hapa kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM kwa lengo la upotoshaji. Wapinzani jiandaeni maana nimejipanga vya kutosha

    Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara. Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani...
  6. William Mshumbusi

    Eti Hizi ndio hoja walizotumia kuhukumu swala Feitoto?

    1. Kulipa ela kabla ya kupeleka barua 2. Kutofanya mazungumzo na club. 3. Kuvunja ndoa gafla haikubaliki. Yani uamke asubuhi uondoke nyumbani.(kwenye hivyo vipengere vyote sijaona hoja ya kisheria au labda Wana kumbukumbu za maamuzi ya FIFA kwa kesi Kama hizo walizotumia) 4. Kuna vipengere...
  7. The Burning Spear

    Hoja za vyama vya upinzsni zitakuwa zipi wakianza mikutano ya hadhara?.

    1. Je wamponde Samia wamsifie magufuli ? AU 2. Wamsifie Samia wamponde Magufuli? AU 3. Wamponde Awamu zote za CCM? Naona wanawakati mgumu kupata hoja maana wananchi tunamini Katika Magufuli hatuna imani na samia Ila wapinzani hawaamini Katika magufuli Wana imani na samia. Nasubiri Kwa hamu...
  8. saidoo25

    Wabunge jipangeni kuikosoa Serikali

    BUNGE linatarajiwa kuanza mikutano yake Mwishoni mwa wezi huu, ikiwa ni siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza hadharani yuko tayari kukosolewa yeye na Serikali yake ili kumuonyesha maeneo yenye matatizo aweze kuchukua hatua kubadilisha dosari zilizopo. Wabunge tunawataka...
  9. LIKUD

    Nature inavyo-expose hoja ya ukamilifu wa QUR'AAN

    Nianze ku declare interest. Nimezaliwa katika familia ya kiislamu/ ukoo wa kiislamu. Tena sio waislamu wa wasiwasi. But ndani ya nafsi nimesha jivua huo utambulisho wa uislamu. Siji identify na dini yoyote. Nimeujua ukweli kuhusu dini zote. Mungu alie umba Mbingu na ardhi na viumbe wote...
  10. Mufti kuku The Infinity

    Hoja ya kwamba hamna Mungu muumba ni hoja Dhwaaif

    mbele yako akiwa na mwili wake unao jumuisha chembe (cells) takriban trilioni 37, na kila seli ina madaraja, viwanda, na mfumo tata wa kuweka misimbo ambao umefafanuliwa katika kanuni za urithi. Na anakutazama kwa macho yake ambayo yana mfumo tofauti wa kupiga picha wa rangi, kwa usahihi wa...
  11. M

    CHADEMA ni kasuku na wadangaji wa hoja, Heche apingwa na wazee

    Ule mkakati unaoratibiwa na John Heche wa kushawishi CHADEMA wasishiriki katika chaguzi pamoja na kujiweka upande wa Magufuli zoezi lililoanzia katika ziara ya Heche Kusini linaelekea kutopata mafanikio baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe kupingana vikali na mawazo hayo ya John...
  12. GENTAMYCINE

    Mtangazaji wa ITV na Radio One Maulid Kambaya unaharibu Kipindi cha Malumbano ya Hoja kwa Kuzuia Serikali isikosolewe

    Tokea uipate Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini (kama sijakosea) mwaka Jana umekuwa ni Mnoko Mnoko na mpenda Kujipendekeza (Kujikomba) kwa Mamlaka (Serikali) hasa pale Wachangiaji wa Kipindi cha Malumbano ya Hoja wakiwa Wanaikosoa. Kinachonishangaza hasa Mimi...
  13. JanguKamaJangu

    Dkt. Tulia ataka UVCCM kuacha vioja, wajibu hoja

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson amewataka vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kutumia nafasi zao kubishana kwa hoja na kuendelea kudumisha amani ,umoja na mshikamano hali itakayosaidia kuwalinda Viongozi wa taifa . Dkt.Tulia ameyasema hayo Jijini Dodoma...
  14. William Mshumbusi

    Tanesco Kama mnaandaa hoja za kupiga dili kupitia mradi wa dharula wa kuzalisha umeme nazani mlishapata. Choteni mahela mtutoe kwenye mgao huu mkali.

    Kwanza hii nchi inawasomi wa kutosha. Inamaana hawakujiandaa kabisa kwa chochote kuhusu umeme maji yakipungua? Kwa uzoefu mgao ukiwa mkali hivi ujue Kuna Jambo linatafutwa. Mikataba ya haraka haraka ya Bei juu iliyojaa utata inataka kupitishwa ili watu wapige mahela. Kila kitu kimekamilika...
  15. RWANDES

    Jaji Warioba: Dkt. Bashiru ajibiwe kwa hoja, hajafanya kosa lolote acheni kumshambulia

    WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi. --- Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema alichokisema Mbunge Dkt. Bashiru...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Siasa ni kushindana kwa hoja sio kufokeana wala kupigana wajameni

    Katika suala ambalo napenda kuwaasa watanzania wenzangu. Siasa ni mchezo kama michezo mingine. Tushindane kwa hoja sio kutishana wala kuwekeana maneno ya ugomvi. Tujibizane kwa hoja ndio siasa. Mimi ni kijana mdogo tu japo sijafanikiwa kuingia kwenye mfumo wa serikali. Ila natambua siasa sio...
  17. T

    Huenda David Zacharia Kafulila ndio mwanasiasa kijana toka CCM anayewasumbua zaidi Anti-Samia kwa hoja zenye data na misimamo thabiti isiyoyumba

    Wasalaam JF, Hoja thabiti za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila zimeendelea kugonga Vichwa vya wale wote wanaotamani kusikia na kuona Rais Samia Suluhu Hassan kashindwa kuliongoza Taifa hili na Sasa utafutwe mbadala, Tofauti kabisa na wanasiasa wengi hapa nchini...
  18. JanguKamaJangu

    Kenya: Ruto aikataa hoja ya kuongeza muda wa Rais kuwa madarakani, asema ni ubinafsi

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema kuwa kinachotakiwa kwa sasa ni kuongeza nguvu kwenye kukamilisha miradi na ahadi alizoweka wakati akiwania Urais. Kauli hiyo imekuja baada ya hoja kuibuliwa Bungeni na Mbunge Salah Yakub kuhusu kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi...
  19. BARD AI

    Bunge la Kenya lapokea hoja ya kuwaondoa kazini Maafisa wa IEBC waliokataa ushindi wa Rais Ruto

    Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali. Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na Makamishna Francis Wanderi, Justus Nyang’aya na Irene Masit walipinga matokeo yaliyotangazwa na...
  20. J

    Dkt. Kigwangalla amshukia Profesa Mkenda Bungeni, amtuhumu kwa kulidanganya Bunge. Amtaka ajiuzulu

    Bunge ni moto Dr Kigwangala amesema Waziri wa Elimu Prof Mkenda amelidanganya Bunge kwamba Bodi ya Mikopo imekuwa inamdharau Spika Tulia amzuia Dr Kigwangalla kwa sababu kabla ya kuongea Bungeni Kigwangalla ameshaliongea hili kwenye mitandao ya Jamii Aidha Spika Tulia amesema inafahamika wazi...
Back
Top Bottom