Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Jambo/mambo wanayodai washindani wenu yapo kisheria...
Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu...
Wanabodi,
Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema, nimesoma humu kuwa wamesusia mkutano wa kesho wa vyama vya siasa kule Dodoma kwa hoja mpaka kesi inayomkabili Mwenyekiti wao ifutwe. Nawashauri ndugu zangu Chadema, wasisuse unless wana uhakika, kwa kususa kwao, kuna something tangible, they...
Yuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
CCM NA SERIKALI JIBUNI HOJA ZA POLEPOLE, MSIMZIME KIDOLA.
Na Yericko Nyerere
Kinga uliyonayo ni kwa muda tu, hakuna kinga ya kudumu, Hata Job Ndugai na wenzake kinga walizojiwekea kipindi walipokuwa kwenye dibwi la kuvunja haki za watu na kuvunja Katiba ya Tanzania, ina muda mfupi sana...
Tunaona fahari kufikisha miaka 60 ya uhuru...
Tunajivunia mafanikio mengi..
Tunajitahidi kufanya mengi..
Lakini kama taifa bado tunajitazama kama duni..hatujiamini, hatuamini uwezo wetu..tunajitilia mashaka..
Hadi wazungu watupongeze
Hadi wazungu watukosoe
Hadi wazungu watusikilize
Hadi wazungu...
Hao ndiyo wanasiasa wetu wanaoamini katika maneno bila vitendo.
Picha hapo juu ni mmoja wa wanasiasa machachari mno linapokuja suala la nadharia kuhusu kupambana na Corona ajabu katika vitendo ni sifuri!
Hapo hana hata barakoa.
Kwa hili la Waziri Ummy Mwalimu la Likizo na hakuna Twisheni Mimi kama GENTAMYCINE naungana nae tena kwa 100% zote tu.
Hivi Wataalam wa Taaluma, Elimu na Saikolojia walioweka Kipindi cha Likizo kwa Watoto ( Wanafunzi ) walikuwa Mazuzu ( Majuha ) kama wengi wenu mnaompinga?
Kuna Mzazi Mmoja...
Mwanasiasa anayeongea kwa Takwimu, Zitto Kabwe kaandika hivi;
Juzi Nimeuliza hapa kuhusu Mradi wa Kiwanda cha Sukari Kampuni ya Mkulazi Holdings ambayo inamilikiwa na Shirika la NSSF na Jeshi la Magereza.
Swali langu rahisi sana, KWANINI Wakala wa Barabara TANROADS ndiye aliyenunua mitambo ya...
Anaandika Askofu Bagoza PhD.
TUNAHITAJI HALMASHAURI NYINGI KULIKO MIKOA NA WILAYA MPYA
Kamati ya Maendeleo ya Mkoa wa Kagera (RCC) imemaliza kujadili mapendekezo ya kuundwa kwa Mkoa mpya wa Chato. Wengi wanakataa mapendekezo hayo. Niliwaunga mkono mapema.
Natamani Taifa lihitimishe uundwaji...
Waswahili tuna tabia ya kuwakatisha watu hoja zao kabla hawajamaliza kuziweka sawa na kujifanya tunajua walichokuwa wakimaanisha hata kabla hawajazihitisha.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2021/11/3004426_Artist.wmv
Hoja ya Mhe. Nape (MB) Bungeni kuhusu kukaguliwa akaunti ya deni la taifa sina shida na hoja na anazo haki zote kwa mujibu wa Katiba, sheria na kanuni za Bunge, isipokuwa nachelea kuamini kwamba uzito wa hoja hii unaweza kutambuka wigo wa mhimili wa Bunge na kuleta shida kwenye mhimili wa...
Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi...
Wakuu:
✓Ifike mahali tukubaliane kuwa hakuna anayeijua kesho yake.
✓Ifike mahali tukubaliane kuwa kila mtu anazalisha ili ajikwamue kimaisha akiwa bado hai!
✓Ifike mahali tukubaliane vile vile kuwa kuna haja ya kupitia upya suala zima la matumizi ya Kikokotoo kwenye mafao ya wafanyakazi wa nchi...
Hoja kuu ya Polepole ni unyonyaji na ukandamizaji unaofanywa na nchi za Magaribi (Ulaya na Marekani) kwa nchi masikini kama zetu.
Ni kwa bahati mbaya sana ndugu Polepole anazungumza kama mpigania uhuru wa miaka ya 60.
Polepole anapaswa kufahamu kwamba hakuna mtu atakeyetoka nje ya nchi yetu...
Video ya utangulizi hii nasisitiza sana uiangalie mpaka mwisho, utapata picha kamili kabla hujasoma hii maada
Tangu nimezaliwa hapa nchini ma hadi sasa nikiwa na miaka 31 kuna mengi nimeyaona na kujifunza katika hii nchi, kitu kimoja wapo ni thamani kubwa mno anayopewa foreigner kuzidi...
Mawakili wa Serikali wanadai Adamoo alikamatwa kwa mujibu wa sheria na tena akatoa maelezo kwa kina Kingai kwa mujibu wa sheria na bila shinikizo. Hivyo wanaitaka mahakama kuyapokea maelezo hayo kama ushahidi wa kuaminika dhidi ya watuhumiwa kwenye shauri la msingi.
Adamoo kaeleza mwenyewe...
RAIS SAMIA, ACHANA NA HOJA YA HAKI SAWA. INAKUPOTEZEA USHAWISHI NDANI YA JAMII.
Na, Robert Heriel.
Kwa maoni na mtazamo wangu ambao kimsingi nauamini, ninaona mbele zaidi miaka kadhaa ijayo. Naomba Mhe. Rais uachane na hoja ya Haki Sawa bhaina ya Mwanamke na Mwanaume.
Hakunaga haki Sawa baina...
Kuna Habari kama Sio stori inasomeka kama ifuatavyo
Huyu Mandela aliyeiongoza South Africa alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu, Makaburu walimuua Mandela halisi halafu Wakamtengeza wa kwao ili awe Kibaraka wao hapo SA
Watu wanauliza Kwamba iweje Mandela aliyefungwa miaka 27 Jela halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.