Ni kweli Tanzania tunahaja ya kujitanabaisha kimuziki na kuwafanya watu wajue utambulisho wa muziki wa Tanzania. Kuna mirindimo inapaswa kuwa utambulisho wa muziki wetu ila kiukweli hapa kwa singeli haujawaza sawa sawa. Mziki inapaswa kutambuliwa ni muziki wenye mirindimo na midundo yenye staha...
Siku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, waasi hao wameudhibiti mji huo uliopo kando ya Ziwa Kivu, takriban...
Sikumbuki ile siku ilikuwa siku gani kati ya Jumamosi na Jumapili. Nipo na family mwaka jana mwishoni. Tumeenda fanya shopping vitu vya siku kuu.
Tukiwa ndani ukafika muda wa kufunga duka kama sikosei ilikuwa saa 12 jioni. Wahudumu walianza ku harass wateja kuwa either wafanye haraka kununua...
Kwenye ujenzi wa nyumba hakuna kitu kinakula gharama na kuleta stress karma 'finishing'
Leo tutaangazia kipengele cha urembo wa kwenye kuta.. Hapa badala ya kubandika mapichapicha yenye gharama na yanayoweza kuharibika kwa kuchakaa ama kuangushwa basi suluhu nyingine rahisi ni kuchora picha...
1. Wazazi wengi hawana home Curriculum. Wazazi wanapaswa kuwa na mtaala wa Nyumbani maalumu Kwa ajili ya kuwafundisha watoto wao stadi za maisha .
2. Kwa sababu ya kukosa mtaala wa Nyumbani wazazi huwaona watoto Kero Wawapo nyumbani jambo ambalo ni upumbavu WA Hali ya juu sana... Ndio...
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Hii ni kada gani hapa nchini?
Mimi binafsi ningemshauri, aifanye polisi isimame kama chombo huru kinachofanya mambo yake kwa mujibu wa kanuni ambazo zipo, na kisiwe chombo ambacho kinapokea maagizo kutoka taasisi zingine za kiusalama mfano tiss kuipa kazi polisi, pengine jukumu lilipaswa kushughulikiwa na tiss wenyewe...
Habari za leo Wana forum.
Kwanza kabisa naomba nichukue nafasi hii kumchukru na Kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa anazozifanya za kuimarisha maendeleo na diplomasia yetu na mataifa mengine.
Naomba ndugu waTZ tujue kwamba kukua kwa diplomasia ni Ajira, heshima pia ni...
Habari zenu wakuu ,samahani naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la urembo wa ndani maua, saa na kikorokoro vyote kwa kwa kariakoo ili na mm niuze huku niliko ?
Natanguliza shukrani
Home Sweet Home!
Thanking God for the gift of my family. The smell of fresh grass, sounds of chirping birds is what a happy family needs. I will remain forever grateful to God, for giving me a loving and supportive family. We are happy to be home, where I was born and brought up!
I can’t wait...
Vip wakuu ushawai kutana na gasia ya kuazimwa chaja? Na aliezima hayupo? Ila ni kero Balaa. Hivi adi chaja? Unakuta mtu hana kabisa chaja na anamilik tambo la 300000+
Habari?
Katikat pitapita mitandaoni na kusoma vitabu tofauti tofauti juu ya hizi mashine za kutotolesha vifaranga nimefanikiwa kutengeneza Moja yenye uwezo wa mayai 33.
Na nimefanya majaribio mara mbili imekuwa na ufanisi wa 100% yaan imetotoa vifaranga 66 kwa awazo zote mbili.
Ili uweze...
Nina imani tu sote wazima
Kama ilivyo ada, kijana wenu nimepata fursa kwa bos wangu... huu uzi maalum kwa ajili ya handbags (pochi) za kina dada. Duka lipo kariakoo mtaa wa Aggrey na Kongo
Huu uzi nautumia kutoa updates na kazi mpya zitakazokuwepo dukani.
Delivery services (dsm only 5000tsh)...
MOROGORO - Moto mkubwa unavyoteketeza safu ya milima ya Uluguru kwa zaidi ya wiki moja sasa , milima hiyo ina umuhimu wa kipekee kwa kuwa ni vyanzo upatikanaji wa maji yanayotegemewa na wananchi wa Manispaa ya Morogoro na mikoa jirani.
Chanzo: habarileo_tz
Mdogo wangu wa damu kabisa steveachi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.