home

  1. Andrew kigora

    SoC04 Tanzania ya Kesho na Utalii

    TANZANIA YA KESHO NA UTALII Tanzania ni miongoni mwa nchi pekee barani africa na duniani kote kwa ujumla kwakuwa na vivutio vingi ikiwemo mbuga za wanyama, mapori, mito pamoja na safu za milima zenye mandhari yakipekee kamavile mlima wakihistoria barani africa mlima kilimanjaro Hakika...
  2. R

    Intelligent Home Smart Energy Saver.

    Kama kuna kitu hutakiwi kukosa kwenye Nyumba yako, basi ni huyu Janjaroo mdhibiti wa Umeme unaovuja, umeme unaokuwa na Mkwamo, kwa lugha ya kitaalamu ni Power Factor Solver. Kwa maelezo zaidi nicheki whatsapp. 0715 240 140.
  3. Morning_star

    "The land of the free and the home of the brave"

    Hayo ni maneno katika kibwagizo cha wimbo wa Marekani. Marekani ni taifa ambalo pamoja na makandokando yake lakini kama umetembea duniani lakini hujafika Marekani huwezi kusimama mbele ya watu ukasema umetembea! Sasa katika kibwagizo cha wimbo huo wa Marekani yanayosema "marekani ni ardhi ya...
  4. MEGATRONE

    Nahitaji home furniture

    Habari wakuu, Nilikuwa naomba kujuzwa wapi nitapata furniture za nyumbani kama sofa sets, dinning table, coffee table na tv showcase kwei ya kizalendo. Najua huku kuna watu washanunua hivi vitu, hivyo kama kuna sehemu ulinunua ukapewa product nzuri naomba unielekeze na mimi nikapate! Asanteni!
  5. Imphuvyi

    INAUZWA Vitu vya ndani vinauzwa

    Sofa mbili, 130k kila moja Vitanda viwili, 140k kila kimoja TV solamax inchi 43, smart 400k Showcase 70k Coffee table kubwa 170k Coffee table ndogo 130k Godoro inchi 8, 5/6, 130k Godoro inchi 6, 5/6, 100k Kabati la nguo futi 4.5 300k Karibuni, ukonga majumbasita. 0696276166 Sabati la vyombo 170k
  6. D

    Wives in public and at home!

  7. Warda-Sears

    Zena is looking for a job as a housekeeper at your home, office, 5 star ⭐️ hotel or lodge: available immediately in Dar es Salaam.

    Looking for a meticulous and reliable housekeeper to maintain the cleanliness and organization of your home or office? Meet Zena! With expertise in dusting, cleaning, ironing, and caring for various furnishings including wooden, leather, and velvet pieces, Zena ensures your space remains...
  8. Beige

    Home remedy ilivyonitibu Viral Infection!!

    Amani kwenu wote. Naomba kushare na ninyi hii dawa ambayo imenitibu kabisa viral infection. Msimu huu na tunaouelekea wa baridi, ukikoswa koswa na seasonal flu ni bahati. Nlialikwa iftar mahali kukawa na katoto kana homa kali basi baada ya pale wote tulivyoondoka kila mmoja wetu ni mafua...
  9. PD_Magumba

    Ni kwanini SIMBA SC ndiyo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii

    Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora. SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana. SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu. Je ubora wa SIMBA ni upi? Je, nini...
  10. Shining Light

    The Essence of Home Cooking: the Art and Soul

    Cooking isn't just about mixing the ingredients; it's the passion drawn from gathering the ingredients, the shapes of the vegetables, and how you cut the meat. it's art of creativity, care and passion. The passion lies in how you choose to re-arrange the recipe from one ingredient to another...
  11. 2 of Amerikaz most wanted

    Diddy's Home Was Raided By Homeland Security In Connection With a SEX TRAFFICKING Investigation

    LOS ANGELES - The Los Angeles home of Sean "Diddy" Combs was raided by Homeland Security Investigations Monday in connection with a federal sex trafficking case, authorities said. FOX 11 was first on the scene. The federal raid occurred in LA's lavish Holmby Hills neighborhood and at the music...
  12. UKWAJU WA KITAMBO

    Sikiliza baadhi ya kazi za wasanii kutoka Tabora, wanahitaji sapoti yenu

    Habari za wakati huu wadau wa Muziki natumai mmeamka salama. Wapenzi wa Muziki Aina ya Hip Hop nina imani mnaitambua vyema Historia ya Muziki huu, Muziki huu Asili yake ni nchini Marekani, lakini kibongo bongo Muziki huu ulishirika "Hatamu" Miaka 1990 na kuna makundi kibao ya Muziki wa Hip Hop...
  13. Jackcharty

    Natafuta marafiki

    Hello dears natafuta marafiki jinsia yoyote kwa ajili ya kubadilishana mawazo,, things about me I'm introvert and extrovert too thank you 😊
  14. D

    INAUZWA Nauza deki ya home theatre aina ya panasonic

    Habari wadau. Deki ipo Dar, faida nyingine ya deki hii ni kwamba inayo amplifaya ndani yake , kwa hiyo unaweza kutumia kama amplifaya na radio kwa wakati mmoja. Bei : 130,000 Mawasiliano : +255621396850
  15. The dumb Professor

    Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?

    Hello wajuvi nimepewa offer huko private sector naomba mnisaidie calculation ya takehome kwa huu mshahara: 582,000/=. Nadaiwa HESLB.
  16. I

    Home theater inasumbua kupoteza twiter nakubakiza bass tu

    Habari za jioni ndugu zangu, naomba msaada mwenye kuelewa hili ninashida na home theater yangu inatatizo lakupoteza sauti nakubaki na bass tu peke yake pindi ntakapoweka sauti kuanzia 16 sauti inakata kabisa mwenye uelewa na hili anisaidie tafadhali. Ni sony home theater watt 1000
  17. Kilimbatz

    Al Ahyl kucheza na Simba na Yanga, atakayempiga home and away ndio Kidume wa Soka la Bongo

    Huyu ni Bingwa wa Soka la Afrika, hivyo kama ingekuwa masuala ya kisiasa tungesema huyu ndio Raia namba moja wa Afrika. Sasa hapa Bongo Al Ahyl atakuja mara mbili, ya kwanza kucheza na Simba, na ya pili kucheza dhidi ya Yanga. Al Ahyl kufungwa hapa Bongo siyo jambo geni, alishafungwa na Simba...
  18. Makonde plateu

    Rafiki yangu home boy majuu amebadilisha jinsia na kuwa wa kike

    Mwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magumu Mwanangu long time ago alizamia south Afrika na now day yupo marekani kwahiyo...
  19. Siri yangu

    Utani wa home boy mwenzake

  20. K

    Nimechoka kulipia lodge, leo naupeleka mchepuko home ili wife akome kuninyima mbususu

    Nimechoka kulipia lodge, nataka nipeleke mchepuko nyumbani ili wife akome kuninyima mbususu. Wakuu naombeni ushauri! Nina mke lakini amekuwa mtata Sana kwenye kunipa mbususu Hali iliyopelekea nitafute mchepuko. Sasa shida ni hela ndugu zangu,yaani kila ninapotaka kwenda kuuzagabua mchepuko...
Back
Top Bottom