hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

    Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
  2. M

    Hongera Simbachawene na Utumishi, lakini ni sahihi kwa watumishi wa umma wawapo kazini kuwa na mavazi yenye nembo au picha za watu fulani?

    Leo nimekusikiliza ukiongea kwenye kikao kazi cha wakuu wa taasisi za umma Dodoma. Umeongea mambo mengi mazuri, makubwa na ya msingi kwenye hotuba yako ya ufunguzi. Umezungumzia changamoto mbalimbali za kiutumishi, uwajibikaji, maadili nk. Umetoa mifano hai na ufafanuzi wa kueleweka. Nakupa...
  3. Hongera kwa Kupasua Robo Karne (2025): Ukitoboa 2050, Haya Ndio Maendeleo Makubwa ya Kisayansi na Teknolojia Unayopaswa Kuyategemea

    Fikiria miaka 25 ijayo: Je, maisha yatakuwaje ifikapo mwaka 2050? Teknolojia inakua kwa kasi kuliko wakati wowote katika historia ya binadamu. Leo, tunaona simu janja, magari yanayojiendesha, na akili bandia (AI) inayoweza kuandika, kuongea na hata kufanya kazi za kibinadamu. Haya ni mwanzo tu...
  4. Dkt. Tulia Ackson kama Rais Trump alikataa Kuburuzwa na Propaganda za Ukraine

    Dkt. Tulia Ackson Mwasau, Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), alionesha ujasiri wa kipekee alipokataa kuburuzwa na propaganda za kijinga zinazolenga maslahi ya baadhi ya watu au nchi, hususan mashambiki wa Zelensky na Ursula. Katika msimamo wake thabiti, Dkt...
  5. Hongera Dkt. Jumanne Kishimba maono yako ya Elimu kwa vitendo yametimia. WanaJF tumpongeze

    Walihisi anachekesha katika hoja zake na michango yake bungeni lakini, alikuwa anaona huruma kwa vijana wa taifa hili kuhitimu vyuo na kupewa makaratasi ambayo kwa ujumla na ulimwengu wa sasa havina nafasi bali kazi za mikono ndio suluhisho la maisha ya sasa. Sijui kama Leo alialikwa kwenye...
  6. M

    Pongezi kwa Eng. Hersi kwa kuchaguliwa mjumbe Kamati ya Mashindano CAF!

    Nakupa pongezi kwa sababu huwezi kufikia kumi bila kuanza na moja mwendo wako uko kwenye njia sahihi, na mwelekeo wako ni mzuri! Kuchaguliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya CAF si jambo dogo; umefanya kazi kubwa na kufanikisha mengi. Nafasi hii inakupa nafasi ya moja kwa moja kushiriki...
  7. Hongera Trump kwa kutia saini Amri ya Utendaji inayoidhinisha kufukuzwa kwa watu wasio raia wa US wanaounga mkono mashirika ya kigaidi kama vile Hamas

    Kwa sisi wana marekani tulioko yombo vituka tunakupongeza sana. Walambe wote kaka, waje wakaandamane kwenye nchi zao zinazo support uoaji wa mabinti wadogo wa miaka 9...
  8. Hongera Mh. Lissu, lakini unajua maana ya ushindi wa 51%?

    Maana yake Kuna 49% wapo kama hawapo, hawakukuunga mkono.. Wengi wapewe na wachache wasikilizwe, lakini hapo hakuna wengi walioshinda na wachache walioshindwa; they are more or less the same. Together we stand!!!
  9. Hongera daughter. Division 2 ya point 20 from Kayumba School

    Nianze Kwa kushusha lawama nzito sana Kwa wazazi jirani zangu ambao mlikuwa mnawasomesha watoto wenu Kayumba kuanzia primary huku Mimi nikichoma hela Kwa kumsomesha huyu dogo shule ya EM kuanzia chekechea Hadi la Saba. Duh mlikuwa mnanichora tu nnavyo pigwa hela zangu kiboya na maboya...
  10. D

    CCM wana cha kujifunza kutoka CHADEMA kwa hii Demokrasia iliyokomaa wanayoionesha

    CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa. CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana kinachojari uhuru na mawazo ya kila mmoja. CCM jifunzeni siyo kusomba hawa wasanii mbumbumbu...
  11. Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

    Hao ndiwo wapiga zumali wa bwana Mbowe kwa sasa. Na ndiwo anaowategemea baada ya Uchaguzi watakuwa wasaidizi wake kwenye Chama. Tafakari.
  12. N

    Mwalimu unapata 0 halafu ukafundishe watoto wetu?? Hongera psrs

    Kwa matokeo haya! Naipongeza sekretariati ya ajira
  13. R

    Hongera kambi ya Jeshi Makutopora-Dodoma

    Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwa niaba ya Watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha eneo lile la jeshi. Kwakweli mazingira kama yale katika barabara kuu tumezoea kuyaona Majuu tu...
  14. R

    Hongera sana kambi ya Jeshi ya Makutopora-Dodoma

    Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwaniaba ya watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha eneo lile la jeshi, kwakweli mazingira kama yale katika barabara kuu tumezoea kuyaona Majuu tu...
  15. Hongera R.C Makonda Arusha imesheherekea Mwaka mpya bila vurugu

    Mojawapo ya jukumu la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha Amani na utulivu unatamalaki. Mkoa wa Arusha uliwahi kusifika kwa uhalifu na hususani uhalifu nyakati za sikukuu na nyakati za usiku. Kwa mara ya kwanza katika historia tumejionea Watu wenye haiba mchanganyiko,dini mbalimbali ,vipato...
  16. From Wailes Primary Kayumba to Azania Sec . Hongera sana Naynay wa Tandika House Of Fashion.A zote za kijana wako zimeniheshimisha kwa mama mkwe wangu

    Salha ( 19) is one of my girlfriends. She was born in 2005. Her mother was born in 1988. I am 3 years older than my mother in law. Nampenda Salha kwa sababu ana nyota Kali sana ya hela. Kwa mnao shangaa how comes Likud ninakuwa na mademu wengi hivyo? The answer is here πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Nina mademu wengi...
  17. B

    Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!

    Kwamba alisikika Wenje, kutokea Arusha Lissu aliugua sana tumbo! Kwa maneno yake kuwa: "alikuwa ana drive." Bila shaka alichokula Lissu alikula na wenziwe. Sasa kumbe vipi "food poisoning" kumuathiri mmoja tu katika kundi?! Ogopa sana kanda ya ziwa na ile nyongo pendwa ya mamba! Kwamba...
  18. M

    Zidumu fikra za Mwenyekiti(FAM)

    1. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo mwenyewe akili kuliko wote ndani ya chama? 2. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba bila FAM chama kimekufa? 3. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo Mwamba na hakuna mwingine zaidi yake ndani ya chama? 4. Inawezekanaje CHADEMA wamwamini...
  19. Hongera sana Mbowe kwa msimamo wa kubaki CHADEMA. Tambua kuwa mpango wa kukuondoa ulikuwa kuua Chama. Nashkuru umegundua hilo

    Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo. Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama nilivyokuombea. Mh Mbowe mpango wa kukuondoa CHADEMA ilikua kuua chama kwasababu Lissu ni mharibifu...
  20. Hongera Uncle Mbowe. Wachaga tumetumwa kutafuta hela sio sifa

    Uncle ningeshangaa kama ungekata tamaa na kuiacha Saccos yetu mikononi mwa wavamizi wasiojua tulipo itoa. Babu Mtei, mzee Ndessamburo aka Ndessa Pesa walikukabidhi huo mradi uulinde kwa wivu mkubwa. Niwazi uncle Christmas itakuwa safi sana. Tukutane Hai, wamachame tuna jambo letu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…