1. Lisu kwa upumbavu wako umipa CCM ushindi!
2. kulikuwa na haja gani ya kuitisha press?
3. kama ulisema mara 100, kuwa hutagombea Uenyekiti, leo umegeuka Jiwe, ni kuwa HUAMINIKI
https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/
KIFO CHA CHADEMA TAYARI
Hakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii,
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?
Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa?
Mama na akae mpaka achoke
NB:
Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad...
John Matambalya aliajiriwa na azam kuwa fundi ujenzi kujenga ule uwanja wao,ulipoisha akaajiriwa hapohapo,kuwa msimamizi wa uwanja na akaanza kusomea ukocha na akahitimu,akaanza kuwa kocha cha kikosi cha pili,na sasa ndio kaimu kocha wa kmc,hongera sana
(C&P) - "Mgeni Maalumu wa Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu katika Uongozi na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...
Its match day!!
Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni.
Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu.
Saa 10:00...
Kiukweli ushindi wa Leo bila mashabiki ungekuwa mgumu sana, wachezaji wamejitoa baada ya watanzania wengi kuingia uwanjani.
Naishukuru sana serikali ya CCM ikiongozwa na Dk. Samia Suluhu Kwa kutuwezesha watanzania masikini kuweza kuingia uwanjani na kuwapa saport wachezaji wetu.
Lastly...
Naishukuru sana serikali kwa kuchukua hatua dhidi ya mmiliki wa jengo, naomba kuisaidia Jeshi la Polisi kuendelea kusaka taarifa zaidi za tukio hilo lakini kinachosemwa pale kariakoo na watu mbalimbali kisipuuzwe.
Mimi nimesikia watu wakisema kuwa mmiliki wa jengo hilo alifanya tamaa, kwamba...
Wakuu,
Nimeona nitoe hii habari humu ili mtu asije kukata tamaa kwa maneno ya mtaani. Nilizidisha kama laki nne hivi kwenye kulipa deni la bodi ya mkopo. (HESLB)
Sasa ilipofika nataka kufatilia wanilipe kila niliyemwambia alisema niachane nao huwa hawalipi. Sasa siku moja nikaenda pale bodi...
Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji.
Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na...
Habari Wakuu!
Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea.
Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu
Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya kimataifa Kutoka kwàke.
Mwanamke mwenye mvuto zaidi na mwenye ushawishi ikibidi kuliko wote JF Kwa Mwaka...
Nakupongeza sana Fr. Kitima kwa kutoa Elimu ya Uraia kwa Waamini wako. Waamini wengi hawajihusishi na Siasa kwa kudhani kwamba ni dhambi, kumbe sivyo.
Tunapoelekea kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi Mkuu mwakani, Elimu hii inapaswa kutolewa na viongozi wote wa Dini...
Huyu kaka ni mtu mpole mcha mungu na mtu wa watu hana makuu hana baya na mtu, mtu wa tabasamu lisiloisha tena kutoka moyoni hana chembe ya unafiki na Mungu kambariki hekima kamwongezea na vingine
Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Upelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.
Aisee huyu myahudi anatembeza kichapo mpaka Raha nimetoka kufuatilia hapa BBC News aisee magaidi yanaondolewa sio mchezo
Mungu ibariki San Israel iendelee kutoa kichapo kwa haya magaidi na uzao wao wote Israel ni taifa teule viva Benjamin Netanyau wavaa kobazi hoi huko lebanon
Nawapa kongole makada hawa wa Chadema kwa kutopenda siasa za vurugu na kutishia kumwaga damu. Sijawaona kabisa katika vurugu za juzi.
Ni yule mzee mwenye tamaa na uroho wa madaraka, cha ajabu hakuwa na viongozi wa chama, alikuwa na familia yake, yule binti Nicole, kama chama kina uongozi, kwa...
Infact,
Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na kazi zenu kwa uhuru, haki na usawa bila mbambamba za mzee au kijana yeyote. Mmefanya vizuri sana...
binafsi
dhidi
habari
hongera
katika
kazi
kisiasa
kukataa
kusimama
kusimamia
majukumu
matakwa
misingi
na vyombo
nchini
nia
vyombo
vyombo vya habari
waandishi
waandishi wa habari
wenye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.