Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit.
Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa...
Stars imeifunga Zambia ikiwa nyumbani kwake, narudia nyumbani kwake.Binafsi, sikuwa na shaka na uwezo wa makocha hao isipokuwa shaka yangu kubwa ilikuwa kwa wachezaji, kwamba wachezaji tuliokuwa nao hasa wale walioanza sikudhania kabisa baadhi yao kama wanaweza kupambana kiasi kile hasa kutokana...
DAR ES SALAAM - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo amesema vijana wengi kwa sasa wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa ni wasomi wazuri akishauri wenyeviti wa bodi za...
Siku moja baada ya kutoa taarifa inayoeleza masharti ya mkopo ambao Tanzania imeupokea kutoka Korea Kusini hivi karibuni (Soma hapa). Shiriki la Habari la Sauti ya Marekani (VoA) limeibuka na kutafuta ufafanuzi wa kina wa taarifa ya mkopo huo kutoka Serikalini. Habari hiyo inaeleza:
Serikali...
Kiuchumi;
Rais ameweza kuvuta wawekezaji wakubwa ili kukuza uchumi. Tunaposema kukua kwa uchimi tunaangalia parameters/variables kama
C= Individual consumption C= a+bY ambapo b imekuwa sana watu sasa hivi wamepata pa kufanya kazi na kupata kipato cha kila siku. Marginal propensity to consume...
Huwezi kutuvalia mtisheti wako wa Brazil siku tunakabidhiwa kombe bana.
Ni kwamba ulikosa tshet maalumu inayoendana na tukio la leo au ulikosa kabisa jezi ya Yanga?
Ulitaka kuonekana tofauti? Ili iweje sasa? Nimekumind big time.
Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla.
Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji...
Tumsifu Yesu Kristo. Mungu ni mwema kila wakati. Hongera sana Mhashamu Baba Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam kwa kutimiza miaka 25 ya Uaskofu.
Binafsi nakufahamu kuanzia Jimbo la Mbulu na hata ulipoteuliwa na Baba Mtakatifu kuja kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Mwanza. Ulipokuwa hapa Mwanza...
Ndio ndio kweli umefika pale,lakini wananchi walitarajia makubwa zaidi siyo jinsi ilivyojiri hapo jana!
Wahuni walijitahidi kukuchelewesha usifike mapema kusikia kero za hao wananchi,ambazo ni nyingi kuliko ulivyoambiwa eti mambo ni safi Samiah hadaiwi!
Samiah ataachaje kudaiwa wakati zahanati...
Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu Ndug. Emmanuel Nchimbi.
Kitendo cha Kinana leo kutoka na kumjibu Lissu kimeonesha kuwa japo huyu...
Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, .......napenda kuchukua nafasi hii kumpa mauwa yake waziri wa jinsia na watoto DR Dorothy Gwajima kwa kutatua kero za mtu mmoja mmoja ikiwemo udhalilishaji au ukatili wa kijinsia na kwa watoto pia.
Dr huyu amekuwa akifanya hivi kupitia account yake ya X zamani...
Siku ya wafanyakazi inapaswa kuwa siku ya mijadala serious ya hatima ya uchumi na mipango ya Taifa. Siku ya wafanyakazi ni siku maalumu ya watunga sera duniani kuzipitia na kuzichambua sera za uchumi.
Siku hii haipaswi kufanyiwa mzaa wala kugeuzwa siku ya kiuni kama ilivyofanyika leo Arusha. Ni...
Kwa mara ya kwanza maishani Leo nampongeza kiongozi kutoka CCM yaani DC wa Muheza.
Amejitofautisha Sana na viongozi wenzake kwenye masuala ya msingi.
Amekemea uongozi wa TrRA wilaya Kwa jinsi wanayovyofanya maonevu na kuwadharau wateja na jeuri juu.
Naomba tumsikilize na tujaribu kuwajadili...
Amani iwe nanyi.
Huwa nikiiangalia hii timu ya simba na aina ya wachezaji wake wa sasa hivi kisha nikiilinganisha na ile simba ya kampa kampa tena ya Kocha Patrick Aussem au Didier Da rosa huwa najiuliza ,Je hawa wachezaji wa sasa hivi wangepata kweli namba katika vikosi vya wakati ule.
Tatizo...
Huu mfumo ni kiboko na mzuri sana ni shirikishi, wa kisasa, usalama nk.
Tangu nimeanza kuutumia napata vifaa na huduma kwa nusu ya bei ya awali.
Huu mfumo ukitumia vizuri naamini kabisa matumizi ya serikali yatapungua kwa 50%.
PIA SOMA
- PPRA pamoja kuweka mfumo sahihi, kagueni michakato ya...
Hakuna nchi duniani yenye uhuru usio na mipaka, hakuna na haipo, hata huyo fala wenu Mange Kimambi mnayemtuma amtukane na kumdhalilisha kiongozi wa nchi kuna siku ataingia kwenye 18 za watu atajua ulimwengu huu ni nini, maana hakuna jambo lenye mwanzo lisilo na mwisho, yeye amechagua kuishi kwa...
Uelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani.
Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k.
Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.