hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
  2. L

    Hongera Lema kwa kuiacha familia yako Canada maana Arusha sasa iko moto

    Arusha iko moto kama Mamelodi Sundowns, winga Gambo winga Makonda mshambuliaji mzee Sabaya. Kwa kweli nakushauri Lema rudi Canada ukale hela za bure huko, we unawaambia watu ubunge sio kazi kwako halafu hapo hapo unatangaza kugombea tena kama sio uchizi ni nini. Unawaambia watu huwezi kwenda...
  3. N

    Yanga inahitaji hongera..

    Kucheza na big club Africa tena giant,iliyosheheni full mkoko wameshindwa kuwafunga yanga ambayo haina wachezaji wake muhimu. Pacome Aucho Yao yap Ebu jamani ingekuwa simba unacheza na mamelody ile ya jana iliyosheheni wachezaji wake wote,simba wangemkosa Chama Ngoma Mohamed...
  4. sinza pazuri

    Hongera Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga ndoa

    Nawapongeza Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga pingu za maisha japo waliamua kufanya ndoa ya siri. Chumvi kapata chombo ya ukweli. --- NUSRAT HANJE JIKO JIPYA LA MAULIDI KITENGE Mtangazaji nguli wa Michezo Kutoka Wasafifm Maulid Kitenge amefunga ndoa na Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje...
  5. B

    Hongera Global Online TV kwa kwenda kimataifa katika Lugha ya Kiingereza

    19 March 2024 Dar es Salaam, Tanzania A STORY BEHIND DEATH OF PRESIDENT JOHN MAGUFULI AND CONTROVERSIAL SWEAR IN OF PRESIDENT SAMIA- CDF GENERAL VENANCE S. MABEYO (RETIRED) NARRATES. https://m.youtube.com/watch?v=3feP2dy0ZVg
  6. Tamu3

    Hongera wanasiasa

    HONGERA WANASIASA 1. Waendapo majimboni, kuziomba hizo kura, Utadhani wanadini, wenye za upole sura, Magoti wapiga chini, mithili wataka pera, Hongera wanasiasa, kudanganya wananchi. 2. Hupita nyumba kwa nyumba, sera nyingi kimwageni, Hudai kura waomba, wawakilishe bungeni, Nguo zao...
  7. L

    Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

    Pacome Zuzu mjanja sana, ameicheki gemu weekend akaona hapana, hawa viungo wa azam Feitoto na Yahya Zayd sio wa nchi hii, wanakaba mwanzo mwisho, mjinga akaona isiwe tabu akajivunja mapemaaaaaa. Pacome Zuzu umenchekesha sana leo kwa kujivunja mapemaaaa
  8. SALOK

    Hongera Azam kwa ushindi mwepesi 2-1, mmefanya ligi ianze kuchangamka upyaa!!

    Kipekee niwapongeze Azam fc, mlidhamiria hatimaye mmepata cha kusema, kumfunga bingwa si haba... Feisal Salum hatimaye umepooza maumivu, hongera pia! Mwisho kabisa niwaonye Makolo, kihere here chenu kitawaponza. Jiandaeni kwa tano zingine...!! Shuhuli sio yenu, mnatembea na ndizi, shen...zzyy...
  9. R

    Hongera Jacob kwa kupambana kwa jasho na damu na kufanikiwa kujenga kasri lako; watu kama ninyi ni vigumu kununulika na watawala

    Kuna mwizi serikalini ameishia kumiliki mademu wengi kwa sababu anajua akijenga au kuwekeza ipo siku atakamatwa kwa wizi. Wapo viongozi wa kisiasa wamefanya nchi kama shamba na wanawekeza fedha nje ya nchi Kijana BoN Yai alipokoseshwa ubunge aliamua kwa dhati kuingia kwenye ufugaji. Amefanya...
  10. Mjukuu wa kigogo

    Hongera sana Mkuu mpya wa shule ya sekondari Nyiendo halmashauri ya mji wa Bunda kwa uchapakazi uliotukuka

    Ukweli ni lazima usemwe tu hata kama watu wengi hawataupenda. Shule ilikuwa imepoteza mwelekeo kabisa.Kila siku ilipokuwa inapita unatamani heri ya Jana. Makundi baina ya walimu, morali ndogo kwa walimu wasio wanamtandao, kiwango kidogo cha nidhamu kwa wanafunzi yalikuwa baadhi ya mambo...
  11. Mjukuu wa kigogo

    Hongera idara ya elimu sekondari halmashauri Bunda kwa mabadiliko ya mtihani wa mock kidato cha pili na kidato cha nne

    Hii sasa ndio mikakati madhubuti ya kuinua kiwango cha ufaulu katika halmashauri.Hili jambo lina mana gani kwa walimu na wanafunzi? Tofauti na ilivyozoeleka miaka ya nyuma ambapo mtihani wa ukamilifu (mock) ulikuwa unafanyika kati ya mwezi may au agosti ambapo miezi ya awali wanafunzi...
  12. Chizi Maarifa

    Hongera sana Rais Samia kwa kupeleka timu mbili CAF

    Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rais Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wameingia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha. Hizi zote ni juhudi za Serikali ya CCM katika...
  13. K

    Hongera CCM: Umelijenga Taifa imara Kwa vizazi vijavyo

    Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla. Licha ya kwamba wanasema Nabii hakubaliki kwao lakini anayeifanya Tanzania kuwa hivi alivyo Leo ni Nabii anayekubalika ndio maana nataka hongera kwake, HONGERA...
  14. S

    Hongera kwa machawa. Walaumiwe waliojigeuza kondoo wa kafara

    Taifa letu soon litageuka kuwa si mahala salama pa kuishi. Uhalifu utaongezeka kama kule Haiti kwasababu watu wengi watakata tamaa ya maisha. Hivi Sasa kila kitu kinaenda hovyo hovyo lakini waliopewa dhamana ya uongozi kwa kuwa wao wanakula na kushiba wanachukulia poa tu. Idadi kubwa ya watu...
  15. The unpaid Seller

    Kama haujawahi kunywa energy drinks Hongera na Jiepushe nazo. Kama umezoea kuzitumia Tafadhali weka mpango wa kupunguza na kuacha

    Peace, Awali ya yote niweke wazi andiko langu halina kusudi la kuhafifisha au kuathiri biashara ya mtu yeyote ila ni ushuhada wa kweli na dhairi wa watu wanaonizunguka. Nimekuwa nikisikia na kuona vijana wengi wakipendelea vinywaji vya kusisimua mwili alimaarufu "energy drinks" ziko za aina...
  16. Ndagullachrles

    Hongera Profesa Ndakidemi kwa kazi nzuri

    Mbunge wa jimbo la moshi vijijini Profesa Patrick Ndakidemi licha ya kuwepo makundi hasi yanayopambana kuhakikisha yanakwamisha juhudi zake katika kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo lake,msomi huyo anaonekana mwaba kweli kweli,anapambana kuhakikisha anaziba masikio ili atekeleze ahadi zake...
  17. R

    Public Interest retirement case: Judge Mkwizu hongera kwa well-reasoned judgment, LAKINI!

    Kuna kitu hakiko sawa, nadhani subject to discussion (maana sasa tunaruhusiwa kujadili hukumu) Since no reason was given, the first respondent, Permanent Secretary, Public Service Management & Good Governance is 23 compelled to reconsider the applicant’s application for reinstatement in his...
  18. Lord denning

    Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

    Hii jamii ni hatari sana. Iliweza kupenetrate Uganda na sasa wanaitawala, ikaweza kuchukua Rwanda na sasa wanaitawala. Baadhi walikimbia Congo Mashariki waka kaa kama wakimbizi alafu badae wakasema pale ni kwao. Wa Congo waliposhtuka kusema waondoke wakagoma na sasa ndo wanaendesha vikundi vya...
  19. Ahyan

    Hongera sana Feisal Salum (fei toto), umeonyesha kwamba wewe ni mchezaji muhimu sana, na umeonyesha kwamba unapaswa ucheze kwa dk 80 ama 90

    Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo, ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10 Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba...
  20. S

    Hongera kocha wa Taifa Stars kwa kuwa mkweli. Taifa stars haijaenda AFCON kushindana

    Ukweli lazima usemwe na ukweli humuweka mtu huru. Kocha wa taifa stars anajua uwezo wa wachezaji wa taifa stars, hivyo ameamua kusema ukweli...."kwamba kwa kikosi hiki, taifa stars haitoboi. Hivyo tumekuja kutalii na kuwapa changamoto wachezaji kwa manufaa ya baadaye". Tujifunze kuwa wakweli...
Back
Top Bottom