Hongera Sana Mkuu,
Umerudi kwenye Jungu Kuu,
Wahuni walifanya sikukuu,
Pale ulipokamuliwa jipu na Mkuu,
Waoneshe kazi unaiweza, Wala usihangaike nao.
Ulikuwa ukitimizaajukumu Yako,
Tena Kwa kutumia weledi wako,
Ukakumbana na likambako,
Ambalo baba alilipaka upako,
Waoneshe kazi unaiweza, Wala...