Hongereni Bill Nass na Nandy kwa kufanya maamuzi mazuri, ndoa yenu ikawe ya heri na baraka.
Hongereni tena kwa kuwa mfano kwa wasanii wenzenu kuwa inawezekana mkinia jambo lenu.
Hakika mnatoka kwenye familia zenye misingi ya malezi ndio maana leo mmekula kiapo. Kongolee once again 💋
Benki ya Dunia imeipongeza Tanzania kwa kuamua kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye maeneo ya uzalishaji kikiwemo kilimo, mifugo na uvuvi mambo ambayo yatachochea ukuaji wa kipato cha wananchi na kukuza uchumi wa nchi.
Pongezi hizo zimetolewa Jijini Dar es Salaam na Makamu wa Rais wa Benki...
Naona leo Pacal Mayalla ni miongoni mwa Mawakili waliopokelewa na kukubaliwa kuwa Mawakili, tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Karimjee huku Jaji Mkuu akiwa ndio Mgeni Rasmi.
Hongera sana Pascal, ila upunguze kuchomekea sifa zingine kama kuwa Mtangazaji wa kwanza kuwa wakili na badala yake...
Wakati bingwa hili la usemaji na u afisa habari likiitumikia team asiyoipenda ya Simba lilipiga marufuku mashabiki wa Yanga kuhudhuria mechi ya CAf iliyohusisha Simba uongozi wa Simba ulitoa statement ya kujitenga na gwiji hilo kuhusu hilo na alisikitika sana
Gwiji hilo pia katika kuitetea...
Nianze kwa kumpongeza Bw. mdogo (Ali Kamwe) kwa kazi nzuri ya uchambuzi wa soka hasa ligi ya ndani ambayo amakekuwa akiifanya kwa usanifu wa hali ya juu kupitia kituo cha AZAM TV. Pamoja na umri wake kuwa mdogo, Bw mdogo ameonyesha sio tu ukomavu mkubwa wa akili anapochambua soka letu bali pia...
Wananchi wa kitongoji ya Mwanzi mtaa wa mlimani leo wamejitokeza kwa wingi kutengeneza barabara ya mtaa ili kuweza kuondoa tatizo ya ukosefu wa barabara inayosababisha wakina Mama wajawazito kushindwa kupelekwa hospitalini.
Rai yangu serikali iwashike mkono Wananchi wao kwa kuwachongea barabara...
Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana!
Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao...
Sijui vijana wetu wa Kitanzania wanafeli wapi.
What Is 'HanaKuma' And Why Are KoT Losing Their Heads Over It?
Tennis superstar Naomi Osaka during a past tournament. PHOTO | COURTESY
HanaKuma, according to Osaka, means “flower bear” in Japanese; and while that sounds cute and all, it has a...
Nimependezwa jana na hotuba ya Jana ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya 2022/2023.
Bajeti inekaa vizuri sana. Nampongeza Mh Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha.
Hakika serikali imeonesha nia ya kubana matumizi kwa akili kubwa sana. Jana ndio nilijua hivi kumbe Kuna watu wanalipwa mishahara ambayo...
Makamba na Kinana wamerudishiwa heshima zao.
Membe karudi CCM alikofukuzwa.
Mashitaka ya Mbowe yakafutwa.
Waliokuwa lupango kwa kesi za kubambikwa wameachiwa.
Mikutano ya kisiasa imerudi upya.
Polisi wameanza kuwaheshimu wananchi wa itikadi tofauti na chama tawala
Tundu Lissu alionana na...
Hamjachukua muda mrefu kuchukua hatua baada ya kusikia malalamiko ya baadhi ya wananchi MBEYA RUNGWE kata ya IKUTI PALE BUTONGA.
Walau wenda viongozi wa kata na kijiji IKUTI RUNGWE wataamka na kutambua huu sio wakati wa kutishana bali uwajibikaji.
Japo mkimaliza uchunguzi wenu kuna waamuzi...
Kwa kweli huyu waziri mkuu wa India anafurahisha sana!! Anajivunia uvaaji wa kihindi kwa kujiamini kabisa!! Waarabu pia nawapongeza sana na wanigeria!! Anaitangaza nchi yake sawasawa!! Ana msimamo, ndio maana hawezi kuyumbishwa propaganda za nchi za magharibi!!
Hakika Siku zote Wakatoliki ndiyo huwa tunaanza kwa Kuonyesha njia na wengine Wanaiga.
Leo kama Kawaida nikiwa Ibadani Morogoro katika Kanisa langu Kuu la Katoliki la Mtakatifu Patrick ( Patrice ) nimeweza kufurahishwa tena na aina ya Ubunifu na Utaratibu wa Kiimani na Kiibada.
Ni kwamba mara...
Wanabodi,
Kwa watu wasiojua mambo ya utangazaji na haswa live programs mnaweza msielewe msingi wa pongezi zangu, kwa vile mimi ni Mtangazaji na nilifanyia kazi, TBC, I know what it takes kumualika mpinzani Vocal kama Zitto Kabwe kwenye a live program ya TV, hivyo hizi hongera zangu kwa TBC na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho kwa Naibu Makatibu Wakuu kama ifuatavyo:
Amemteua Dkt. Charles Enock Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI (Elimu). Bwana Msonde amechukua nafasi...
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...
Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?
Wenye wivu wajinyonge.
Welcome back hero. Uliipigania nchi yako, ulisimama kizalendo kudeal na wauza madawa ya kulevya, waiba magari ya watanzania na kuyapeleka kwa jirani, wahujumu uchumi na wakwepa kodi. Uliipigania nchi yako ili mapato ya serikali yako yaongezeke Taifa lako litekeleze miradi yake kwa fedha za...
Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei.
Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri.
Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei
1. Upungufu wa mafuta
2. Tangazo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.