Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza.
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
It is now official, kuanzia January 2023 wafanyakazi wataingia makazini kwao saa tatu asubuhi na kutoka saa 11 jioni, hili linafanyika Ili kuruhusu watoto kupata muda mzuri wa kulala pamoja na kuwapa Wazazi muda wa kuwaandaa watoto.
Muda huo wa saa tatu Hadi saa 11 jioni utahusisha mapumziko ya...
Luca Modric amehitimisha huduma yake kwa timu ya Taifa ya Croatia. Hakika ameitendea haki jezi hiyo na pia heshima,adamu na ustaarabu wake utakumbukwa daima uwanjani. Tumejionea leo mapenzi ya wapenzi wa mpira kwa FUNDI huyu.
Niende moja kwa moja kwenye Mada kuu:
Ulitokea mgogoro...
Inaleta faraja pale unapoona ndugu au rafiki anapotoka ukamrudisha kwenye mstari naye akakubali kurudi kwenye mstari.
Nilimshauri Joseph Mbilinyi Sugu hapa JF aachane na tabia za wavulana...
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:
Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.
Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa"
Hili ni maslahi ya taifa ya pongezi kwa TRC nimeona mzigo wa mabehewa mapya ya kisasa ya reli ya kisasa ya SGR ukipokelewa bandarini, DSM, hivyo hatua ya kwanza ni kutoa pongezi kwa TRL kwa kazi...
Zuchu na Rayvanny ndiyo wameibuka kuwa wasanii bora kabisa mwaka huu hapa Afrika Mashariki.
Supastaa Zuchu anakimbiza sana mitaa yote Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Djibouti n.k.
Kwikwi ni pandemic, watoto wamechanganyikiwa kila kona. Kutoka kuitwa muimba taarab mpaka...
Namshika mkono wa heri na shukurani nyingi Rais Samia Hassan kwa mabadiliko mazuri ya elimu anayoyaleta nchini.
Namshukuru sana Rais Samia kwa kutatua kero moja iliyotutesa sana miaka nenda rudi ya Watanzania kuwa wanachama wa jumuia ya madola lakini kiingereza hakizungumzwi na walio wengi...
Moja ya sababu zilizofanya Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo ni suala la sera zetu kuegemea ujamaa yaani kila kitu kufanywa na serikali jambo ambalo limekuwa likifanya tuchelewe sana kupata maendeleo.
Jitihada kadhaa zimekuwa zikifanywa kuondokana na haya ila bahati mbaya zimekuwa zikikosa...
Kwa matokeo waliyoyapata Yanga jana na aina ya mpira waliocheza ni wazi sasa Yanga baada ya misimu 2 mbele itakua katika daraja moja zaidi ya mtani wake Simba katika michuano ya Kimataifa.
Yanga itanufaika zaidi kwasababu mchakato wake wa mabadiliko ilikwisha kamilika hivyo ni jukumu la...
Mwanzoni mtoto wa M7 alikuwa anapima kina cha maji kutesti reaction ya Ruto, Nahisi aliona Ruto ni Docile akaanza kumtesti kwa kumwambia ataiteka Nairobi ....ujumbe huu ulikuwa ni direct kwenda kwa Mkuu wa majeshi ya Kenya ambae ni Ruto.
aliweka ujumbe kwamba anaweza kuikamata Nairobi ndani ya...
Ni fire ! ni mwendo wa kujimwagilia tu,k vant,john walker,konyangi kuku choma yaani ushindwe mwenyewe ,mtuwekee na warembo muongeze na spika kubwa ! mambo mengine kama uchakavu wa mabehewa na viti, uchafu hayo sisi hayatuhusu kikubwa tumefika dar tuko full data!
Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine!
Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi!
Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu!
Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini...
Uamuzi wa serikali wa kuweka malengo ya kuufanya Mkoa wa Kigoma kuwa wa kimkakati, kiuwekezaji na kibiashara, unastahili kuungwa mkono na Watanzania wote kwa kuwa umelenga kukuza uchumi.
Rais Samia akiwa kwenye ziara ya siku nne mkoani Kigoma, alifungua barabara ya Kidahwe hadi Kasulu yenye...
Tutumie uzi huu kuipongeza Simba kwa kumpatia Mgunda nafasi ya kuwa kocha mkuu wa Simba. Naamini kabisa kuwa Mgunda almaarufu kama Gurdiola Mnene ataifanyia Simba maajabu ambayo hatujawahi kuyapata kwa makocha Wazungu.
Angalizo langu ni kuwa isitokee hata kidogo kuwa simba wamempa nafasi hiyo...
Nawasalimu Kwa jina la JMT.
Asanteni kwa kazi yenu walimu wa sekondari mpo vizuri sana, hamna kona kona nadhani wenyew mmeelewa hapa.
Yale Mambo wamekamatwa kisa wameiba mtihani yatakuwa nadra kwa elimu msingi Mungu awabariki sana endeleeni na Moyo huo huo.
Pia nawapongeza NECTA kwa kuwaleta...
Ndugu zangu Ni wachache wenye kuona na kutambua kazi kubwa inayofanywa na hivi vyombo vyetu katika kuilinda na kuipigania nchi yetu usiku na mchana na hatimaye kufanya watanzania tuishi kwa amani bila hofu Wala mashaka
Msingi wa maendeleo katika nchi yoyote Ile Ni uwepo wa amani na utulivu...
Tundu Lissu alisema bungeni kuwa kazi ya kamati ya makinikia ilioundwa na rais Magufuli ya prof. Osolo na prof. Mruma ni professorial rubbish. Alimaanisha kuwa haina maana yoyote na haitakuwa na matokeo chanya.
Alishauri turekebishe kwanza sheria zetu, tujitoe kwenye baadhi ya mikataba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.