NANDY HAWEZI KUMSHAWISHI BINTI YANGU - GERALD HANDO.
Mjadala umeibuka kwenye #MsumariWaMoto kuhusu baadhi ya Wasanii kuoa au kuolewa kuonekana kupoteza ushawishi wao kwa Mashabiki Vijana, mfano mzuri 'The African Princess' Nandy.
King Mende @geraldhando anaamini kitendo cha Nandy kuolewa na...
Habari
Siku moja nilikuwa namgonjwa natokea Kahama, Ikabidi tuondoke mapema ili kuwahi dar es salaam mhimbili!
Tulipofika maeneo misigiri singida tukawekwa kando kupisha msafara. Tumekaa nusu saa kimya hakuna kiongozi aliyepita! Nikaona bora nisogee kidogokidogo kupitia rafu road (njia ya...
Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center.
Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi.
Mimi binafsi...
Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za Magufuli, Lakini Rais Magufuli akagoma kumuidhinisha Membe akagombee, Diplomatic kadhaa walijaribu...
Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za Magufuli, lakini Rais Magufuli akagoma kumuidhinisha Membe akagombee.
Diplomatic kadhaa walijaribu...
Miaka kadhaa imepita baada ya Tanzania kushuhudia vifo vilivyotokana na usanii wa "Babu wa Loliondo".
Hivi karibuni kule micheweni Zanzibar palizuka uzushi mwingine wa uwepo wa maji yanayotoka ufukweni yakisemekana yanaweza kutibu magonjwa mbalimbali jambo ambalo limebainika sio la kweli...
Kwa yeyote anayehusika na uhamasishaji, ufuatiliaji , utaratibu na uratibu wa kusimamisha, upatikanaji wa uwanja, uboreshaji wa uwanja huo na upatikanaji wa timu.
Mafunzo ya timu hizo, mpaka kuwezesha kufanyika law mashindano madogomadogo ndani ya wilaya ya GAIRO.
Tumezoea kushuhudia ...
Kama shabiki wa simba, nakupongeza kwa kazi nzuri yakutafuta wachezaji wazuri bila kuingiliwa na kuwakata mikono wazee wa 10%... mwanzoni ulilalamikiwa sana na vyombo vya habari et kwanini unajihusisha na usajili... mjomba ulikuwa unampandia ndege mchazaji unapomwona anafaa bila kujiuliza...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika.
Niko mahali...
Wanabodi
Jumapili ya leo, ni March 26, 2023, nimepata tena fursa ya kuja na makala nyingine ya kwa maslahi ya taifa.
Mabandiko mengi humu JF ni mabandiko kuhusu habari na matukio "news and events", kuzungumzia watu na matukio, lakini ni mabandiko machache sana humu ni ya mawazo tuu na vitu vya...
Mawaziri wanapishana tu kuja na vimiradi uchwara vya upigaji Pesa !
Mnakumbuka Makamba akaja na ya kukodi Wahindi kufatilia Ukatikaji wa Umeme Mabilioni ya Kitanzania ?.
Sasa Ukiwa Waziri ,mwenye akili ya Ulaji, Kwa Samia lazima upige , yes unapiga kwakua Samia sio mfatiliaji, ili mradi...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa Jumapili ya leo, Tarehe 19 Mwezi Machi, ambapo leo ndio miaka miwili kamili ya Rais Samia madarakani, aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania siku kama ya leo, miaka miwili iliyopita.
Kuna msemo wa Kiswahili usemao, "mgema akisifiwa, tembo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
afrika
barani afrika
chakula
hongera
ikulu
kilimo
kuhusu
mama samia
mkubwa
mkutano
msimamo
rais samia
samia
sana
siku
taifa
tanzania
tarehe
vizuri
wako
Kumekuwa na mijadala mikubwa ikiendelea nchini sasa kuhusu yale yanayoitwa maridhiano ya kisiasa. Kimsingi ni maridhiano kati ya chama tawala na vyama vya upinzani. Lakini haikupaswa kuwa hivyo tu, wapo watu binafsi, mashirika na makampuni binafsi na hata baadhi ya nchi ambazo kipindi cha...
Namshukuru Raisi Samia kwa kutumia akili na maarifa kukuza uchumi wetu bila kuweka mbele hisia binafsi. Hisia binafsi ni pamoja na kuweka ukanda, ukabila na uchama mbele ya Tanzania kwa ujumla wake.
1. Kitendo cha kuelewa katiba ni muhimu kwa uchumi wetu. Hasa kwenye sheria za kibiashara na...
Ni ukweli usiopingika kuwa tukivizungumzia vyombo vikubwa vya habari nchini, hatutasita kulitaja shirika la habari Tanzania.
Hii ni kutokana na ukongwe na jina lililojijengea kutoka radio Tanzania hadi TBC na hata uwezo wa kuwafikia wanachi Tanzania nzima.
Ni wazi kuwa mfumo uliokuwepo awali...
Wamerejea rasmi Tegeta kwa Ndevu, Mbezi Louis, Ubungo Riverside, Mwenge na maeneo mengine mengi ambayo Walifukuzwa Wiki Mbili zilizopita kwakuwa Kisheria hawatakiwi kuwepo.
Ushauri wangu kwa Watajwa katika Kichwa changu cha Uzi huu ni kwamba Safari msihangaike Kuwatimua tena bali waacheni ili...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchini.
Vitabu vya 16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa...
Tanzania ukifanya vizuri Sana lazima kuna sehemu utabutua. Uhamiaji mmefanya vizuri Sana kusogeza huduma za Pasipoti na Visa za kielekronikia kwenye mtandao. Utaratibu wa kuomba na kukamilisha maombi upo fresh na unaendana na mahitaji ya Dunia Kwa sasa.
Lakini wakati mnatengeneza mfumo mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.