Salam wanabodi:Naomba anayejua hospital nzuri kwa kujifungulia mjini moshi-Kilimanjaro ila iwe na-:
-huduma nzuri
-iwe ya private
-inakubali bima(NHIF)
Nina mwanangu ana umri wa miaka 2 sasa. Hawezi kukaza kichwa wala hajaweza kukaa. Nimeenda hospitali hadi leo ni mazoezi tu tatizo hasa sijalijua.
Naombeni mwenye kuelewa anieleweshe nitashukuru.
Nipo Zanzibar.
MAONI YA WADAU:
===
===
Kingdom’s Business Company limited (KCBL) is in the Process of Establishing a University in Mwanza City-Tanzania and one of required pre-requisite is to have the required caliber of academic staff.
We hereby invites applications from suitable and qualified individuals from all over East Africa...
Wengi mtakuwa mmesikia jinsi serikali ya awamu ya tano inavyojinasibu kuhusu ujenzi wa hospitali za wilaya, vituo vya afya na zahanati. Maeneo mengi kuna ujenzi unaendelea na Waziri Jafo yupo kila sehemu akikagua. Ni jambo jema lakini kuna maswali ya kujiuliza.
Ujenzi huo si sawa na barabara au...
Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam.
Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana.
Anayejua tiba au hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri, naomba anisaidie.
Wakuu salama,
Naomba msaada wa kupata lodge nzuri na yenye bei nafuu kuanzia 20,000 hadi 30,000 maeneo ya jirani na Muhimbili hoapitali.
Mke na mwanangu wanakuja huko hospitali
Rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki (88) anadaiwa kulazwa katika hospitali ya Nairobi huku familia yake ikisema alifikishwa hospitalini Jumatatu akilalamikia maumivu ya goti
Kwa mujibu wa gazeti la Star, chanzo kutoka ndani ya familia kimeeleza kuwa Kibaki alipelekwa hospitali kwa ajili ya...
Kama tunavyoona nchi za wenzetu hiki kitu kipo sana mfano kupitia yule mtanzania mwenzetu aliyechomwa sindano ya kifo huko ujerumani baada ya kushindwa kuvumilia tabu za ugonjwa alioupata , je Tanzania zipo hospitali za namna hii? Na je sheria zetu zinaruhusu hii?
REFFER...
A Robust Hospital Management System for Hospitals, Clinics, Pharmacies and Laboratories.
So what we are, real?
An integrated Information System for managing all ways of a hospital’s operations such as medical, financial and administrative tasks
It is a web based Application that works with all...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.