Mbunge wa Nzega Kijijini Dkt. Kigwangalla amesema amekumbana na ukaguzi wa barakoa muda mchache uliopita pale geti kuu la Dodoma general hospital.
Dkt. Kigwangalla amesema amefika hospitalini hapo kwa matibabu.
Mungu ampe wepesi na uponyaji wa haraka.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Waziri wa Afya niombe uimulike hii hospital iliyopo mkoa wa pwani! Gharama za huduma ni kubwa mnoo! Mfano ukaenda pale kutibiwa gharama ya kujiandikisha ili umwone daktari ni Tsh 5000/= halafu anayehudumia ni intern.
Gharama za kupima malaria (MRDT) ni tsh 6000. Hapo bado huduma nyingine, bado...
Habari wakuu,
Leo nimeamua kuwachana live maana mmezidi hii ni mara ya pili Mama angu amepewa dawa zilizoisha mda wake shame on you tena wauaji wakubwa.
Mama 'angu amekua akisumbuliwa na kisukari so hua anachukulia dawa katka Hospital ya ILEMBULA kwa hili hapana hao watu wanaoiba dawa...
Shree Hindu Mandal Hospital (SHMH) Jobs Vacancies
Job Description
Shree Hindu Mandal Hospital (SHMH), Dar es Salaam is inviting applications from suitably experienced and qualified Tanzanian Citizens to fill in the following Vacancies below....
Job Title: Director of Nursing Services (1 Post)...
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa.
Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema Waziri Mkuu, Majaliwa anaanza ziara ya siku mbili mkoani Mbeya.
Akiwa mkoani Mbeya Mhe. Majaliwa atafungua Jengo la Mama na Mtoto jijini Mbeya, atafungua hospitali iliyoahidiwa na Rais Magufuli wakati wa kampeni wilayani Rungwe na atafungua kituo...
Kiongozi wa Chama cha ODM nchini Kenya amelazwa Hospitali ya Nairobi kutokana na kuwa na mchoko sana na mwili wake kuwa unamuuma
Kaka wa Odinga, Oburu Odinga amesema ndugu yake haijaonesha dalili za magonjwa ya mfumo wa hewa, lakini hadi wameondoka hospitali majibu ya #COVID19 yalikuwa bado...
On behalf of Muhimbili National Hospital (MNH), National College of Tourism (NCT), The Dar es Salaam University College of Education (DUCE), Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) and Benjamin Mkapa Hospital, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 28...
Habarini wakuu,
naombeni mnisaidie biashara gani naweza ifanya karibu na eneo la hospital ya rufaa, maana nina kakiwanja eneo hilo ila sijui nifanye biashara gan itakayo endana shunguli za hospital.
Habari za asubuhi wakuu,
Naomba anaejua bima ya afya yoyote ya gharama nafuu tofauti na NHIF anijuze.
Nataka niwakatie wazee wangu, binafsi natumia ile ya NSSF ya kuchangia elfu 20 kwa mwezi ...... Recently wamesitisha kupokea wanachama wapya Kwa mda usiojulikana.
Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na...
Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZE🗞️Surveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
SERIKALI imesema Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), itaanza kupandikiza chembechembe hai kwa wagonjwa wa saratani ya damu kuanzia Machi mwaka huu.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, alitangaza neema hiyo jana alipozuru katika hospitali hiyo...
Jana nimeenda hospital ya Tumbi kumpeleka ndugu yangu ambaye hayuko kwenye mfumo wa bima, baada ya kufungua faili kama taratibu mgonjwa wangu alitakiwa kuingia kwa Dr, nililipa gharama za yeye kuonana na Dr, shida ilianza pale alipohitaji kufanya vipimo ndipo nilipotakiwa kwenda kununua gloves...
Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi huu ili kusaidia watu kujua virefu vya maneno mafupi tunayokutana nayo. Hii ni baada ya kusoma uzi mmoja na mtu kuuliza nini maana ya LED!
LED - Light Emitting Diode
LOL - Laugh Out Loudly
TTYL - Talk To You Later
ASAP - As Soon As Possible
SD- standard...
Waziri mkuu ametembelea kwa ghafla hospital ya Uhuru iliyopo Chamwino mkoani Dodoma na hajaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake.
Akiwa amekasirishwa mh. Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa kuhakikisha ujenzi unakamilika ndani ya siku 15 ili mh. Rais Magufuli aje aifungue siku ya...
Rais Hussein Mwinyi afuata nyayo za John Pombe Magufuli, ameshtukiza ziara ya hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar na kukutana na madudu. Asema pesa ipo lakini huduma ni mbovu, aahidi kushughulikia wahusika.
Ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya katika Wizara ya Afya, Dkt. Jamala Adam Taib...
Habari, Natafuta nafasi ya kazi ya pharmacist asistant (pharmaceutical technician)
Elimu: Diploma in pharmaceutical science (3yrs)
sehemu ya kazi: Hosipitali, Pharmacy,Dukanla dawa Muhimu
Uzoefu: Hosipitali 6months , Pharmacy :7months
Mkoa: Dodoma, Morogoro,Arusha, kilimanjaro
note: Uaminifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.