hospitali ya amana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Amana yatoa majibu kuhusu hoja ya Mwananchi aliyedai kuna changamoto ya Huduma ya Ambulance Hospitalini hapo

    Hospitali ya Amana imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwananchi aliyeandika kupitia JamiiForums.com kuhusu changamoto ya Huduma ya Ambulance ambapo alisema zipo mbili lakini Dereva ni mmoja na hivyo kusababisha huduma za kuhamisha Wagonjwa kuwa katika kasi ndogo, pia akadai kauli za baadhi ya Watoa...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Huduma ya Ambulance iboreshwe Hospitali ya Amana, kuna changamoto kubwa

    Nina malalamiko yangu kuhusu Hospitali ya Amana iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam huduma za pale zina huzunisha sana, tulimpeleka ndugu yetu alipata ajali ya Pikipiki, Jumatatu Juni 23, 2025 walikaa nae pale takribani siku nzima akapimwa kipimo cha CT Scan baada ya hapo mida ya Saa 10 Jioni...
  3. mkaskaz

    JamiiForums Tanzania Majeneza getini mwa Hospitali ya Amana hayaleti taswira nzuri kwa Wagonjwa.

    Habari wanaJamiiForums. Kwanza nimshukuru Mungu kwa uzima tulionao. Pili nishukuru kwa jukwaa hili ambalo linatupa fursa ya kutema nyongo zetu kwa usalama. Kwa yeyote kati yetu ambaye ameshawahi kufika hospitali ya Mkoa wa Dar es Salaam (Hospitali ya Rufaa) atakubaliana na mimi kwamba kuna...
Back
Top Bottom