Habari za kuzinduka !
Wadau nimekuwa naona comments za wadau wakidai Ngurudoto Hotel imekuwa Hostel za wanafunzi jqmbo ambalo binafsi nimekuwa mgumu kuamin ukizingatia sinq access ya kufqnyq prove kwa kwenda Arusha.
Bac kama ni kweli I hope kama juna wanafunzi aliye bahatika kupata room hapo...
Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto.
Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto...
Ni Toto moja la kimasai nimelipata sehem moja maeneo ya Kimara ,kwao geti kali sana,.juzi tukapanda pipa hadi arusha kwao then tukapanda Noah za namanga, tukafika mpakani wakasema lazima turudi arusha kupata Covid 19 certificate, tukakomaa kuhonga 500 ya Kenya wakatupa za kufoji,
Tukaanza...
Kesho Nina safari ya njombe, naomba msaada kwa mtu yoyote ambae yuko njombe
Anipe connection ya hotel au lodge mzuri ya kuanzia elf 40 Kuja chini
Iwe kwenye maeneo Mazuri ambayo ni easy pia kufika
Paul Rusesabina aliyekua Manager wa Hotel Rwanda akiwaokoa Watutsi wasivamiwe na kuchinjwa na Interahamwe hatimaye amefikishwa mbele ya sheria kwa makosa ya kuhusika na njama za mauji hayo hayo.
Baada ya filamu ya Hotel Rwanda kueleza kisa cha Rusesabina, wakati wote dunia ilimuona kama shujaa...
Rais Paul Kagame wa Rwanda Jumapili amekanusha kwamba serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye sasa anashikiliwa nchini humo kwa makosa ya ugaidi na mengineyo.
Rusesabagina ni maarufu duniani kutokana na alivyoonyeshwa katika filamu ya Hotel Rwanda kama shujaa aliyesaidia kuokoa maisha...
Kwa Mujibu wa The Citizen Online ya Jana Sept 3, 20, watumiaji wote wa hotel na guest house kusajiliwa kidijitali kupitia wizara ya Maliasili na utalii.
Hii inahusisha watalii wote wa nje na ndani kwenye hotel na guest zote zilizojisajili kama zenye hadhi ya kitalii.
Wamiliki wa hotel...
Vikosi maalumu vya Somalia vinasema vimemaliza uvamizi Somali uliofanywa katika hoteli iliyopo katika mji mkuu Mogadishu ambayo ilivamiwa na wananamgambo wa al-Shabab Takriban watu 10 wameripotiwa kuuawa katika hoteli ya - Elite Hotel iliyopo katika eneo la ufukwe wa Lido, pamoja na wanamgambo...
Nategemea kuja Dar kutoka ng'ambo hivi karibuni, na ninataka kukaa karibu sana na mlimani mall ili niwe naenda kwa miguu toka hotelini ingawa mguu wangu mmoja ni mbovu kidogo, natafuta hoteli nzuri (3 star kwenda juu) iwe karibu sana na Mlimani Mall.
Napendelea kukaa karibu na mlimani mall ili...
Wote mnakaribishwa
Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara...
Habari za jiona wapendwa.poleni na majukumu ya maisha.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika..ninarafiki yangu (me)lakini sasa ni kama ndugu maana tulipotoana ni mbali.Yes.
Yuko kwenye hotel industry kwa muda kidogo na sasa anataka kwenda kufanya kazi Serengeti Four Seasons...
Ugawaji wa Tausi huu Ugawaji wa Tausi, kabla ya Raisi Hajagawa tausi kwa wastaafu, kuna hotel inaitwa JS imeshapatiwa hao Tausi kitambo,
Ni mmiliki nani na nani hasa aliruhusu wato Ikulu?
Britannica
Inaelezwa kuwa Mfalme wa Thailand amechukua hoteli ya kifahari nchini Ujerumani ili kujitenga ikiwa ni hatua za kujikinga na virusi vya Corona, huku akiwa na wanawake 20.
Mfalme huyo, Maha Vajiralongkorn, mwenye umri wa miaka 67, ameripotiwa kuchukua hoteli nzima ya Grand Hotel Sonnenbichl...
Afisa afya wa uwanja wa ndege wa JNIA amesema siyo kweli kwamba wanaowekwa katika karantini wanalazimishwa kukaa hotel za bei kubwa.
Amesema kamati ya mkoa imechagua Hotel kadhaa kulingana na hadhi ya abiria wanaowasili hivyo kiwango cha malipo ni kati ya sh 150,000 kwa wenye uwezo hadi sh...
Baadhi ya Wasafiri waliofika Uwanja wa Ndege wa Dar na kutakiwa kujiweka Karantini kwa gharama zao wakilalamika kuwa wametakiwa kukaa hoteli zenye gharama
Wasafiri hao wameomba msaada kwa Mamlaka hususan Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwani wametakiwa kukaa katika hoteli za Southern Sun, Rungwe...
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema wageni wote wanaoingia jijini wakitokea nchi zilizoathirika zaidi na corona watawekwa karantini ya siku 14 katika hoteli maalum kwa gharama zao wenyewe.
Makonda amesema Hotel hizo hazitatangazwa kwa sababu za kiusalama na kuepusha unyanyapaaji kwa wageni...
Askari wa Polisi wamezingira Hotel aliyofikia Mikocheni, Dar es Salaam, wakimtafuta Waziri Kivuli wa Wizara ya mambo ya ndani na Mbunge wa Arusha mjini kwa sababu ambazo hazijajulikana. Mhe. Lema alikuwa azungumze na vyombo vya habari leo jijini D'Salaam kumjibu DPP
Polisi hao wenye silaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.