hotel

  1. Ngurudoto Hotel ni kweli imekuwa Hostel ?

    Habari za kuzinduka ! Wadau nimekuwa naona comments za wadau wakidai Ngurudoto Hotel imekuwa Hostel za wanafunzi jqmbo ambalo binafsi nimekuwa mgumu kuamin ukizingatia sinq access ya kufqnyq prove kwa kwenda Arusha. Bac kama ni kweli I hope kama juna wanafunzi aliye bahatika kupata room hapo...
  2. Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

    Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto. Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto...
  3. Tanzania kuna sehemu nzuri, ona hii hotel kisiwani, ziwa Tanganyika

    Inaitwa Lupita.
  4. Niko na mtoto wa mtu tunakula maisha hapa Nairobi Kempisk hotel Westland

    Ni Toto moja la kimasai nimelipata sehem moja maeneo ya Kimara ,kwao geti kali sana,.juzi tukapanda pipa hadi arusha kwao then tukapanda Noah za namanga, tukafika mpakani wakasema lazima turudi arusha kupata Covid 19 certificate, tukakomaa kuhonga 500 ya Kenya wakatupa za kufoji, Tukaanza...
  5. Mwenye kujua Lodge au hotel mzuri njombe

    Kesho Nina safari ya njombe, naomba msaada kwa mtu yoyote ambae yuko njombe Anipe connection ya hotel au lodge mzuri ya kuanzia elf 40 Kuja chini Iwe kwenye maeneo Mazuri ambayo ni easy pia kufika
  6. S

    Intelijensia ya Rwanda sio ya mchezo mchezo, kinara wa Hotel Rwanda anashangaa kujikuta Kigali Airport

    Paul Rusesabina aliyekua Manager wa Hotel Rwanda akiwaokoa Watutsi wasivamiwe na kuchinjwa na Interahamwe hatimaye amefikishwa mbele ya sheria kwa makosa ya kuhusika na njama za mauji hayo hayo. Baada ya filamu ya Hotel Rwanda kueleza kisa cha Rusesabina, wakati wote dunia ilimuona kama shujaa...
  7. Nimeshuhudia kwa macho yangu chakula kikipimwa temperature pale Serena Hotel, maana yake nini?

    Huu utaratibu wa kukipima joto chakula kwa kutumia thermometer kama mgonjwa wa homa maana yake nini?
  8. Rais Paul Kagame amekanusha kwamba Serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye ni nyota wa filamu ya Hotel Rwanda

    Rais Paul Kagame wa Rwanda Jumapili amekanusha kwamba serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye sasa anashikiliwa nchini humo kwa makosa ya ugaidi na mengineyo. Rusesabagina ni maarufu duniani kutokana na alivyoonyeshwa katika filamu ya Hotel Rwanda kama shujaa aliyesaidia kuokoa maisha...
  9. Watumiaji wote wa Hotel kusajiliwa kidijitali kuanzia Oktoba

    Kwa Mujibu wa The Citizen Online ya Jana Sept 3, 20, watumiaji wote wa hotel na guest house kusajiliwa kidijitali kupitia wizara ya Maliasili na utalii. Hii inahusisha watalii wote wa nje na ndani kwenye hotel na guest zote zilizojisajili kama zenye hadhi ya kitalii. Wamiliki wa hotel...
  10. Shambulio la Mogadishu: Vikosi vya Somalia vyazima shambulio baya katika Elite Hotel

    Vikosi maalumu vya Somalia vinasema vimemaliza uvamizi Somali uliofanywa katika hoteli iliyopo katika mji mkuu Mogadishu ambayo ilivamiwa na wananamgambo wa al-Shabab Takriban watu 10 wameripotiwa kuuawa katika hoteli ya - Elite Hotel iliyopo katika eneo la ufukwe wa Lido, pamoja na wanamgambo...
  11. Natafuta hoteli nzuri (3 star kwenda juu) iwe karibu sana na Mlimani City Mall

    Nategemea kuja Dar kutoka ng'ambo hivi karibuni, na ninataka kukaa karibu sana na mlimani mall ili niwe naenda kwa miguu toka hotelini ingawa mguu wangu mmoja ni mbovu kidogo, natafuta hoteli nzuri (3 star kwenda juu) iwe karibu sana na Mlimani Mall. Napendelea kukaa karibu na mlimani mall ili...
  12. Kumekucha: Maalim Seif kuunguruma Zanzibar, ni kwenye ukumbi wa kisasa wa Hotel Verde, nchi kutikisika

    Wote mnakaribishwa .
  13. Uchaguzi 2020 Mchungaji Msigwa rasmi kutangaza nia Dodoma hotel Jumapili 14 Juni

    Wote mnakaribishwa Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara...
  14. Kuhusu Four Seasons Hotel ya Serengeti

    Habari za jiona wapendwa.poleni na majukumu ya maisha. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika..ninarafiki yangu (me)lakini sasa ni kama ndugu maana tulipotoana ni mbali.Yes. Yuko kwenye hotel industry kwa muda kidogo na sasa anataka kwenda kufanya kazi Serengeti Four Seasons...
  15. Hivi Tausi waliopelekwa JS Hotel hapo awali nani aliidhinisha? Nani mmiliki?

    Ugawaji wa Tausi huu Ugawaji wa Tausi, kabla ya Raisi Hajagawa tausi kwa wastaafu, kuna hotel inaitwa JS imeshapatiwa hao Tausi kitambo, Ni mmiliki nani na nani hasa aliruhusu wato Ikulu? Britannica
  16. Mfalme wa Thailand ajiweka karantini na ''vimwana'' 20 kwenye hoteli ya kifahari

    Inaelezwa kuwa Mfalme wa Thailand amechukua hoteli ya kifahari nchini Ujerumani ili kujitenga ikiwa ni hatua za kujikinga na virusi vya Corona, huku akiwa na wanawake 20. Mfalme huyo, Maha Vajiralongkorn, mwenye umri wa miaka 67, ameripotiwa kuchukua hoteli nzima ya Grand Hotel Sonnenbichl...
  17. J

    Afisa afya JNIA: Wanaowekwa karantini huchagua Hotel wenyewe na bei ni kati ya sh 30,000 na sh 150,000

    Afisa afya wa uwanja wa ndege wa JNIA amesema siyo kweli kwamba wanaowekwa katika karantini wanalazimishwa kukaa hotel za bei kubwa. Amesema kamati ya mkoa imechagua Hotel kadhaa kulingana na hadhi ya abiria wanaowasili hivyo kiwango cha malipo ni kati ya sh 150,000 kwa wenye uwezo hadi sh...
  18. K

    Corona imekuwa mradi wa Serikali au Mradi wa watu? Wanaowekwa karantini walalamikia bei kubwa ya hoteli wanazopelekwa

    Baadhi ya Wasafiri waliofika Uwanja wa Ndege wa Dar na kutakiwa kujiweka Karantini kwa gharama zao wakilalamika kuwa wametakiwa kukaa hoteli zenye gharama Wasafiri hao wameomba msaada kwa Mamlaka hususan Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwani wametakiwa kukaa katika hoteli za Southern Sun, Rungwe...
  19. J

    Makonda: Wageni kutoka nchi zilizoathirika na Corona wanapowasili tu huwekwa karantini katika Hotel maalum kwa siku 14

    Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema wageni wote wanaoingia jijini wakitokea nchi zilizoathirika zaidi na corona watawekwa karantini ya siku 14 katika hoteli maalum kwa gharama zao wenyewe. Makonda amesema Hotel hizo hazitatangazwa kwa sababu za kiusalama na kuepusha unyanyapaaji kwa wageni...
  20. Hotel aliyofikia Lema jijini Dar es Salaam yazingirwa na Polisi, alikuwa aongee na Wanahabari

    Askari wa Polisi wamezingira Hotel aliyofikia Mikocheni, Dar es Salaam, wakimtafuta Waziri Kivuli wa Wizara ya mambo ya ndani na Mbunge wa Arusha mjini kwa sababu ambazo hazijajulikana. Mhe. Lema alikuwa azungumze na vyombo vya habari leo jijini D'Salaam kumjibu DPP Polisi hao wenye silaha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…