Jamani, huu mchezo wa kutupatia "breaking news" kila mara kana kwamba tomorrow morning nchi inawaka umegeuka kuwa kama Bollywood movie, dakika tano full action kisha dakika ishirini ni love songs na watu kukimbizana kwenye bustani.
Leo unamsikiliza Mpina, maneno yake yanakupa picha ya fire in...