Julias Vimvinyira
Senior Member
- Jun 2, 2025
- 155
- 205
Jamani, huu mchezo wa kutupatia "breaking news" kila mara kana kwamba tomorrow morning nchi inawaka umegeuka kuwa kama Bollywood movie, dakika tano full action kisha dakika ishirini ni love songs na watu kukimbizana kwenye bustani.
Leo unamsikiliza Mpina, maneno yake yanakupa picha ya fire in the hole kumbe ni hot air tu.
Kesho yake anatokea Gwajima akitumia kauli zenye ufasaha wa kuficha agenda lakini akipandikiza kwa ustadi mbegu za religious division.
Anaonekana kana kwamba analinda faith yake lakini ndani anapenyesha maneno ya kuwasha moto wa chuki miongoni mwa Wakristo wenzake dhidi ya wengine.
Wavaa kobaz hawasalimiki kwenye mdomo wake kiasi kwamba unaweza kudhani chaos iko mlangoni kumbe nothing happens.
Mwisho wa yote kinachobaki ni matangazo ya usiku wa maombi na timetable ya siku za kufunga.
Baada ya hapo "speed inashuka taratibu," anajitokeza kama blazing hot online akifika ground anageuka life coach wa sekondari akihubiri kufanyike aliyoshindwa kuyafanya yeye mwenyewe kipindi akiwa msemaji.
Humu JF tumebaki kujifariji na endless hopes kwamba big thing is coming. Miezi inaendelea kusonga situation unchanged.
Hata yule mliyedhani hawezi kugombea yupo tena na surprisingly ana support kubwa kutoka kwa wananchi kuliko hawa social media noisemakers.
Kama kuna mpango wa kufanya kitu just do it. Acheni hizi empty teasers kama movie trailers ambazo haijawahi kuachiwa.