GE2025 Gwajima anaweka chumvi za Udini kwenye hotuba zake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Attachments

  • WATANZANIA HII VIDEO NI YENU WENYE MNATAWALIWA NA MMAMA UKO KWENU (1).mp4
    1.1 MB
  • AQNL9KwvgNwOGe3X7iWw35pDYtTgm3PmnnSAtZlH282vFEEJ_TPg63tAkGfJAtwjxiJiImeK_MRsNkKaZyISS6Q3J_m1zj...mp4
    1.1 MB
Sikiliza Allah na mtume wake muhammad na msahafu unasemaje siyo mnajua kwenda misikitini kubinua jijambio tu
Sasa hao pichani ndio Allah na mtume wake? Hujui unachokiandika/kukieleza Gwajima

Uislamu ni mpana sana, kuuelewa inakuhutaji Dahar kujifunza...ndio maana hata masheikh zetu hawapendwi kusifiwa kwa sheikh, hujipa dar'ja ya uanafunzi kwa sababu wanajifunza.

Hao uliowaweka kama evidence sio masheikh wa kutoa fat'wa, ni wanafunzi wanaojifunza maarifa ya dini na katika hilo wamekosea kutokana na uchache wao wa maarifa kuhusu jambo hilo.
 
So muslims uwa wanabinua kijambio wakiwa msikitini?
SIKUIZI DUNIANI HAKUNA WAKRISTO WALA WAISLAMU KUNA WAHUNI TU WANAO JIHITA WAISLAMU NA WAKRISTO...NI JAMII ZA MAKAFIRI YA KIISLAMU NA MAKAFIRI YA KIKRISTO ...USHAHIDI UPO WAZI ..... WAKRISTO NA WAISLAMU WA SASA WAPO KINYUME NA NENO HAKI ....UKITAKA KUJUA KUWA NI WAHUNI USIWATAZAME MBWEMBWE ZAO ZA KIDINI WEWE WATAZAME JE WANAI ISHI HAKI ...
 
Mkuu ndio unajua leo,shida ni dini hapo 😀
Mimi nilidhani ni uzalendo ndio unaowasukuma wakina Gwajiboy, Polepole, Mpina na TEC kuibua changamoto kumbe ni udini!!

Kwa nini nisiamini kuwa hata kutekwa kwa kitima ni mpango wao wenyewe kumchafua Samia na kumchonganisha na wakristo?

Kwa nini nisiamini kuwa waliokuwa wanamhujumu na kumkwamisha Samia na serikali yake ndio hawa akina Gwajima, polepole, Mpina na TEC na sababu yao kuu ni chuki za kidini dhidi yake?
 
Sasa hao pichani ndio Allah na mtume wake? Hujui unachokiandika/kukieleza Gwajima

Uislamu ni mpana sana, kuuelewa inakuhutaji Dahar kujifunza...ndio maana hata masheikh zetu hawapendwi kusifiwa kwa sheikh, hujipa dar'ja ya uanafunzi kwa sababu wanajifunza.

Hao uliowaweka kama evidence sio masheikh wa kutoa fat'wa, ni wanafunzi wanaojifunza maarifa ya dini na katika hilo wamekosea kutokana na uchache wao wa maarifa kuhusu jambo hilo.
Wewe ni shekh ? Hakuna mtu anaye ujua ukristo na uislamu kunizidi mimi nakuakikishia kwa asilimia 100% kama wewe unaujua uislamu niambie upo daraja gani ya kuhufahamu ili nikuulize maswali ambayo waislamu wote wa JF awajaweza kunijibu ?
 
Gwajima anachokitafuta kwa waislamu soon atakipata. Maana kila akiongea, haachi kusema kama Wakristo.... na sisi waislamu tukianza kuzungumza kwa lugha kama hiyo nini kitatokea?
Kumuelewa jasusi la mbinguni kunahitaji akili kubwa. Huwa ninashangaa sana watu wanashindwa kumuelewa the guy is so good in presenting his cases.
 
Jamani, huu mchezo wa kutupatia "breaking news" kila mara kana kwamba tomorrow morning nchi inawaka umegeuka kuwa kama Bollywood movie, dakika tano full action kisha dakika ishirini ni love songs na watu kukimbizana kwenye bustani.

Leo unamsikiliza Mpina, maneno yake yanakupa picha ya fire in the hole kumbe ni hot air tu.

Kesho yake anatokea Gwajima akitumia kauli zenye ufasaha wa kuficha agenda lakini akipandikiza kwa ustadi mbegu za religious division.

Anaonekana kana kwamba analinda faith yake lakini ndani anapenyesha maneno ya kuwasha moto wa chuki miongoni mwa Wakristo wenzake dhidi ya wengine.

Wavaa kobaz hawasalimiki kwenye mdomo wake kiasi kwamba unaweza kudhani chaos iko mlangoni kumbe nothing happens.

Mwisho wa yote kinachobaki ni matangazo ya usiku wa maombi na timetable ya siku za kufunga.

Baada ya hapo "speed inashuka taratibu," anajitokeza kama blazing hot online akifika ground anageuka life coach wa sekondari akihubiri kufanyike aliyoshindwa kuyafanya yeye mwenyewe kipindi akiwa msemaji.

Humu JF tumebaki kujifariji na endless hopes kwamba big thing is coming. Miezi inaendelea kusonga situation unchanged.

Hata yule mliyedhani hawezi kugombea yupo tena na surprisingly ana support kubwa kutoka kwa wananchi kuliko hawa social media noisemakers.

Kama kuna mpango wa kufanya kitu just do it. Acheni hizi empty teasers kama movie trailers ambazo haijawahi kuachiwa.
Kwanini kanisa lake limefungwa??

Kwanini Padre Kitima alipigwa Nondo??

Kwanini Masheikh wote sasa hivi ni samia, Samia, na wengine wakaenda kwa Mwamposa kisema anyongwe??

Lissu anakosa gani??

Mdude yuko wapi??
 
Mimi nilidhani ni uzalendo ndio unaowasukuma wakina Gwajiboy, Polepole, Mpina na TEC kuibua changamoto kumbe ni udini!!

Kwa nini nisiamini kuwa hata kutekwa kwa kitima ni mpango wao wenyewe kumchafua Samia na kumchonganisha na wakristo?

Kwa nini nisiamini kuwa waliokuwa wanamhujumu na kumkwamisha Samia na serikali yake ndio hawa akina Gwajima, polepole, Mpina na TEC na sababu yao kuu ni chuki za kidini dhidi yake?
Wale walionyamaza wakati lisu anapigwa risasi leo ndio wana uchungu na lissu aliyepo mahabusu 😀
 
SIKUIZI DUNIANI HAKUNA WAKRISTO WALA WAISLAMU KUNA WAHUNI TU WANAO JIHITA WAISLAMU NA WAKRISTO...NI JAMII ZA MAKAFIRI YA KIISLAMU NA MAKAFIRI YA KIKRISTO ...USHAHIDI UPO WADI ..... WAKRISTO NA WAISLAMU WA SASA WAPO KINYUME NA NENO HAKI ....UKITAKA KUJUA KUWA NI WAHUNI USIWATAZAME MWEMBE ZAO ZA KIDINI WEWE WATAZAME JE WANAI HI ISHI HAKI ...
Kama ni kweli waafrika tungekua na fikra kama zako tungepiga hatua sana,ni afrika tu ndio bado kuna watu wanaamini sana kwenye hizi dini
 
Sasa hao pichani ndio Allah na mtume wake? Hujui unachokiandika/kukieleza Gwajima

Uislamu ni mpana sana, kuuelewa inakuhutaji Dahar kujifunza...ndio maana hata masheikh zetu hawapendwi kusifiwa kwa sheikh, hujipa dar'ja ya uanafunzi kwa sababu wanajifunza.

Hao uliowaweka kama evidence sio masheikh wa kutoa fat'wa, ni wanafunzi wanaojifunza maarifa ya dini na katika hilo wamekosea kutokana na uchache wao wa maarifa kuhusu jambo hilo.
adriz FaizaFoxy Malaria 2 Jagina mkuje huku mumsikie shekh wa bakwata 😁😁😁😁
 
Jamani, huu mchezo wa kutupatia "breaking news" kila mara kana kwamba tomorrow morning nchi inawaka umegeuka kuwa kama Bollywood movie, dakika tano full action kisha dakika ishirini ni love songs na watu kukimbizana kwenye bustani.

Leo unamsikiliza Mpina, maneno yake yanakupa picha ya fire in the hole kumbe ni hot air tu.

Kesho yake anatokea Gwajima akitumia kauli zenye ufasaha wa kuficha agenda lakini akipandikiza kwa ustadi mbegu za religious division.

Anaonekana kana kwamba analinda faith yake lakini ndani anapenyesha maneno ya kuwasha moto wa chuki miongoni mwa Wakristo wenzake dhidi ya wengine.

Wavaa kobaz hawasalimiki kwenye mdomo wake kiasi kwamba unaweza kudhani chaos iko mlangoni kumbe nothing happens.

Mwisho wa yote kinachobaki ni matangazo ya usiku wa maombi na timetable ya siku za kufunga.

Baada ya hapo "speed inashuka taratibu," anajitokeza kama blazing hot online akifika ground anageuka life coach wa sekondari akihubiri kufanyike aliyoshindwa kuyafanya yeye mwenyewe kipindi akiwa msemaji.

Humu JF tumebaki kujifariji na endless hopes kwamba big thing is coming. Miezi inaendelea kusonga situation unchanged.

Hata yule mliyedhani hawezi kugombea yupo tena na surprisingly ana support kubwa kutoka kwa wananchi kuliko hawa social media noisemakers.

Kama kuna mpango wa kufanya kitu just do it. Acheni hizi empty teasers kama movie trailers ambazo haijawahi kuachiwa.
Kwamba act alipo Mpina ni chama Cha Nani vile? Si Cha Kikwete

Lipumba anayempinga Samia ni mkiristo?

Sema tu watu wengine wameamua kuwa opportunity za wengine

Na wengine wamekuwa watetezi wa watu!!

Kwenye watetezi na matapeli wapo na watu walionyooka wapo ni kazi yako kuchambua tu

Kwangu Mimi mpinzani wa kweli ni yule ambaye anumuliwi kwa vipande vya pesa Kama ilivyo kwa Lissu hata uje na makontena ya pesa atakulipua tu!!
Nyerere,Warioba nk

Magufuli naye alikuwa na chembechembe hizo ingawa ni naweza mpa 85%
 
Wewe ni shekh ? Hakuna mtu anaye ujua ukristo na uislamu kunizidi mimi nakuakikishia kwa asilimia 100% kama wewe unaujua uislamu niambie upo daraja gani ya kuhufahamu ili nikuulize maswali ambayo waislamu wote wa JF awajaweza kunijibu ?
Tatizo la ujuaji kwa wahaya halitaisha mpaka kiama

Wewe umekuwa nani kwa mfano?😄
 
Kuweni na aibu hata kidogo basi, jasusi wa mbinguni anafir*na na kurusha mitandaoni? Gwajiboy ni mshenzi kama walivyo washenzi wenzake wengine...hana jipya zaidi ya kuhamasisha chuki za udini nchini.
Kumuelewa jasusi la mbinguni kunahitaji akili kubwa. Huwa ninashangaa sana watu wanashindwa kumuelewa the guy is so good in presenting his cases.
 
Gwajima anachokitafuta kwa waislamu soon atakipata. Maana kila akiongea, haachi kusema kama Wakristo.... na sisi waislamu tukianza kuzungumza kwa lugha kama hiyo nini kitatokea?
Waislam akili amna haswa mnaokwenda kwenda misikitini ndiyo ovyo kabisa ushuzi wa bata
 
Back
Top Bottom