GE2025 Gwajima anaweka chumvi za Udini kwenye hotuba zake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nawakumbusha ndugu watanzania tatizo la nchi hii ni katiba acheni kusingizia dini huko mnapotea tz wakiristo na waislam tunaishi kwa amani kabisa, tunaoleana na kuzaa acheni kuhamisha agenda
Tatizo ni uwajibikaji wa viongozi, hata tuwe na katiba nzuri kama viongozi si wawajibikaji ni kazi bure
 
Mi nadhani waliofungia kanisa ndio wanaongeza chumvi na udini kwenye suala Gwajima.kwa sababu Gwajima hakuongelea masuala ya utekaji kwenye mahubiri yake.
 
Sijaelewa udini huo umetoka wapi , kwani ni 2025 hii Lumumba mmejua Gwajima licha ya kuwa mbunge wenu alikua askofu wa kanisa lake?

Kwani kanisa lake halijafungiwa nchi nzima kwa amri ya Bi Mwenda?

Kwani yote hayo hamkuyajua kabla ya kutoa amri batili chini ya vidampa wa Bi Mwenda?

Hivi Gwajima kusema hapendi kuona watu wanatekwa na kuuwawa ni udini?

Nimekuwekea hapo video vidampa wa division IV wa Bi Mwenda walipoenda kuwapiga watu waliokuwa wanasali tu hawana silaha hata moja.

Ndio alichouliza Gwajima kwa mtindo huo hata wewe ungewapigia kura?

Angalia hii video huyo jamaa anayevuja damu kosa lake ni nini

Na unafikiri yeye na wenzake wanataka hata kumsikia Bi Mwenda achilia mbali kusema suala la kumpigia kura?

View: https://youtu.be/Ds-TsxdUPrs?si=JFqQRlXF0Tdb7SAT
 
Nikujibu wewe kwani hii nchi ni ya kiislamu hata asiongoze mwanamke?
Kama nchi siyo ya kiislamu basi ni halali waislamu kula nguruwe 😁😁😁 nimekuuliza utamchagua Samia kuwa Rais wako ?
 
Muislamu anaweza kula nguruwe na wapo wanaofanya hivyo pia, mfano Salim kikeke😀😀

Muumini hawezi fanya hayo kutoka na ukubwa wa daraja lake katika imani.

Yote tisa, Kumi ni kwamba mfano wako hauhusiana na Samia kuwa kuendelea kuongoza nchi.

Samia anakubalika na makundi ya aina zote nchini kasoro wachache wenye machuki ya udini, uzanzibari na mifumo dume.
 
🖕
 
Kwani amri hizo ni za nchi au za kidini ??
 
Kama nchi siyo ya kiislamu basi ni halali waislamu kula nguruwe 😁😁😁 nimekuuliza utamchagua Samia kuwa Rais wako ?

Kwani wewe huyo si Raisi wako hivi sasa , ulimchaguwa lini ?? inayotoa sheria kwani ni nchi ??
 
Jibu swali ? Wewe utakwenda kumchagua mwanamke kuwa Rais wako ? Mimi siwezi kuchagua upuuzi hata siku moja ...sembuse mwanamke tena asiye na Akili....big no ...mwanamke wowote awezi kuwa na akili ya uongozi
 
Muislamu anaweza kula nguruwe na wapo wanaofanya hivyo pia, mfano Salim kikeke😀😀

Muumini hawezi fanya hayo kutoka na ukubwa wa daraja lake katika imani.

Yote tisa, Kumi ni kwamba mfano wako hauhusiana na Samia kuwa kuendelea kuongoza nchi.

Samia anakubalika na makundi ya aina zote nchini kasoro wachache wenye machuki ya udini, uzanzibari na mifumo dume.
KAFIRI UNAPINGANA HADI MA MTUME WAKO MUD BOY NA ALLAH WAKE ...wewe kweli unaendaga masjid kubinua kijambio tu na kujambishwa na shetani ibilisi.
 
Attachments

  • AQNL9KwvgNwOGe3X7iWw35pDYtTgm3PmnnSAtZlH282vFEEJ_TPg63tAkGfJAtwjxiJiImeK_MRsNkKaZyISS6Q3J_m1zj...mp4
    1.1 MB
Back
Top Bottom