hotuba ya nchimbi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mimi haya mambo ya CCM yananichanganya. Ona picha hii na linganisha na hotuba ya Nchimbi. Unàfanya deduction ipi

    Wako pamoja wameapisha wateule. Kwa hotuba ya Nchimbi inavyotafsiliwa na wengi kuwa hawaivi, si kweli. Hapa kuna mchezo mchafu wanacheza Samia na Nchimbi na CCM in general. Hii ni jana tarehe 27 Chadema kuweni macho na udanganyifu wa CCM
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Heche juu ya hotuba ya Nchimbi juu ya Katiba mpya

    Msikilize HECHE akidadavua moja wapo ya kauli ya Nchimbi kuhusu Katiba mpya
  3. JamiiForums Tanzania Kuna Vyombo Vya Habari vimefuta hotuba ya Nchimbi kwenye mitandao ya kijamii?

    Mmegundua kua Vyombo vya HABARI vimefuta hotuba ya NCHIMBI katika mitandao ya Kijamii? Sasa huyo ndio NCHIMBI aliyepinga Utekaji pamoja na Mauaji. Cha Kumfanya hawana Akili yake ni Kubwa kuliko wao!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…