Hapa mnatakiwa mjiulize kwa kutumia akili sana. Kwamba sasa mnaekea wapi watanzania?
Tozo kibao kila kukicha. Matumizi ya ajabu ajabu tu. Kwanu Uhuru Kenyatta hana wajomba huko Usa?
Vipi kuhusu mikataba ya kijanja wizara ya nishati na madini. Mahindra tech, Lindi Lng.
Huu ndio mwanzo tu...
Kati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali
Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina matumizi ya hovyo ambayo hata huyo Magufuli aliendelea nayo hadi sasa Samia ndio anakuja kuyapunguza...
1. Kutembea na toothpick baada ya kutoka kula na kuchokoa meno hadharani.
2. Kuruka foleni (jumping queue)
3. Kuficha nyaraka ili uonekane mjuaji
Uzi tayari
Uhuni huu enzi ya Hayati Magufuli haukuwepo ila naona umerudi kwa kasi baada ya Mama Samiah Suluhu kutwaa madaraka.
Kwa ufupi ni kwamba mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais ikulu imejaa na inanuka rushwa, hili limedhilika kwa baadhi ya wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali ikiwemo DC...
Kawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya...
Chukulia mfano wa bar, guest and chakula. Ukiingia sehemu hizo ukalipia huduma ya msingi basi huduma ya choo unaipata bure. Maana yake huwezi kulipia chumba gest halafu ukitaka kunya unalipia tena choo.
Hali ni tofauti katika stendi za Magufuli, Nanenane na Msamvu. Bila shaka ile 200 nayolipa...
Watanzania wengi tunamatatizo ya Ushamba hasa katika ujenzi wa nyumba, kiukweli sisi ambao tumekulia sana nchi za nje tunaona mambo ni tofauti sana.
Katika ujenzi wa nyumba hapa nchini, nyumba nyingi ni nzuri sana kwa nje na zimejengwa kwa gharama kubwa nje kuliko ndani, utadhani huko nje ya...
Hiki chuo cha excellent kwanza hata usipo-apply unashangaa umetumiwa meseji kwamba umechaguliwa hapo wakati hata ku-apply huku apply.
Hiki chuo ukiingia kusoma hakuna kuhama ukiomba uhamisho kwanza wanakukatalia kisha wanakufutia usajili kwamba hawakutambui hivyo unaanza upya kabisa...
Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
Hawa ni wale watoto ambao hawana competition na watoto wenzao, ukiona mtoto wako analia kila mara au kulilia vitu vya watu kila wakati, jitahidi utafute mtoto mwenzake wa rika lake uishi nao pamoja utaona atavyo badilika na kuwa mtoto mzuri.
Njia nyingine nzuri ya kumkanya huyu mtoto, siku...
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba
Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.
Namnukuu
Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza...
Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk.
Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa...
Hata kama wamepata balozi mzuri wa kuwatangazia matangazo yao tatizo sio matangazo bali ni huduma.
Airtel money changamoto,kama una haraka huwezi kutoa pesa fasta ukaondoka.
Kupiga simu,wanatoa dk nyingi sana za kuwasiliana lakini unaweza kutumia dk mpaka 5 hamuelewani mnabaki kuulizana...
Mbona mnakuwa kama watoto wadogo?
Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa.
Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua...
Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi.
Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara...
Wengi tunajua mahusiano ni gharama, hasa kwa upande wa wanaume. Kutumia maelfu, milioni n.k ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano.
Mbaya zaidi, ufujaji wa hizo fedha hauendani na uingiaji wa hizo fedha katika akaunti yako. Utokaji unakuwa ni mkubwa sana kuliko uingiaji.
Tunajua ni hisia pamoja...
Kwa gharama za vifurushi vyao kuacha kuonesha mechi kali kama
za leo(kutoka Afrika) za kufuzu world cup ni kutothamini wateja.
Congo vs Morroco
Cameroon vs Algeria
Ghana vs Nigeria
Mechi kama hizi hamuoneshi mnabaki kuonesha mi mbio ya baiskeli, jirekebisheni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.