Nimefuatilia mahojiano (interview) nyingi za waandishi wa habari Tanzania!
Wengi wao wanamaswali ya hovyo na kipuuzi kuliko mahitaji ya jamii inachohitaji kujulishwa!
Maswali yao mengi yapo kwenye mlengo wa taharuki kwamba Flani kasema vile na vile almradi tu jambo lionekane la kuishangaza...
Habari JF member,
Nisiwe mwingi wa maandishi niingie moja kwa moja katika mada lengwa kwaajili ya kuwekana sawa au kujuzana baadhi ya mambo.
Siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuanzisha mada mbalimbazi za kuhamasishana au kupinga kuoa, hizi mada ukizisoma kwa undani unabaini...
Yaani katika fikra zake anaona wananchi wanachokosa kwa polisi ni utani tu? Kuwa ndo issue kubwa? Kuwa sasa wafurahi maana maisha yao yatakuwa ok kwa kuwa wanataniana na polisi? Hasemi msiogope KUWASHTAKI POLISI WANAPOKOSEA AU WANYANYASA. Yeye anaona deal ni kuwatania?
SIKU ZOTE NITALIA NA...
Kusema ukweli!
Nimefuatilia nimegundua tuko nyuma sana kiakili pamoja na teknolojia! Kwa karne hii sikutegemea uhakiki wa vyeti vya masomo kwa watu (Vetting) uwe kizamani namna hii! Popote ukiomba ajira au panapohitaji uhakiki wa vyeti Tanzania bado tunatumia mbinu ya kizamani sana!
Mfano...
Hivi ni ujinga [kwa maana halisi ya neno ‘ujinga’]?
Uoga?
Kuwa na ajenda ya siri?
Kuwekewa masharti ya mahojiano?
Kutokujiandaa kikamilifu?
Au ni nini hasa?
Nimeyaangalia mazungumzo ya Tundu Lissu na Clouds Media 360.
Moja ya maswali ambayo nilitegemea wangemuuliza, hawakumuuliza.
Ni...
Ukipita mitaa mingi ya mijini utakuta watoto wengi wenye uniform wakizagaa zagaa mitaani muda wa vipindi vya masomo hata saa tatu au saa nne wakiwa kwenye vituo vya daladala, sasa kama mimi ni muongo kama upo Dar utalithibitisha hili
Nimeandika Uzi huu muda muafaka ukiwa maeneo kama Mbagala au...
Haya leo Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda kaachiwa Timu je, Simba SC licha ya Kushinda na Kuhemewa na Coastal Union FC kila Saa huku katikati ( Midfield ) ikiwa imezidiwa vilivyo imecheza ule Mpira mkubwa mliokuwa mnamsifia nao Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda?
Mkiambiwa hamjui...
Moja kwa moja,
Barabarani na kwenye nimekutana na Jezi tofauti za Taifa stars Og zaidi ya ishirini na kitu ndani ya msimu mmoja za aina tofauti tofauti kinyume na zile rasmi zilizotambulishwa na Tff kwa matumizi ya wachezaji na mashabiki wa Taifa stars.
Jezi zenyewe ni hizo hapo chini...
Karibuni wakuu, tushirikishane juu ya jambo lolote la hovyo ,ambalo umewahi kulifanya maishani mwako ,hasa kipindi Cha ujana/ utoto na badae ulijutia. Nianze Mimi,; wakati nipo darasa la 2 nikiwahi kufungulia radio ya mzee , nikaweka Kanda ya lackdube nikasililiza mwanzo mwisho. Lakini bahati...
Watu wanasinzia tu sasa hovyohovyo kwenye daladala; ile mtu amekalia tu siti na gari kujitikisa kidogo tayari usingizi na mara kadhaa udenda pia.
Panda daladala za routes zote sasa hapa Dar hali ni hiyo. Mtu anapanda buguruni sheli anashuka sokota lakini hafiki bila kusinzia. Nenda nje ya Dar...
Ninalazimika kuwasilisha hili kama Uzi. Pongezi kwenu wazaliwa wa miaka ya 90 wa pande za za huko dar.
Kwa hakika wiki 2 hizi shutuma dhidi yenu sasa nimezielewa.
Inawezekana vipi pande za mikoani huku kwamba kumbe umeme unaweza kurejeshwa baada ya kutokuwepo masaa 36 mfululizo bila umeme...
1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine yanataka akili siyo ujanja ujanja.
2. UMUGHAKA jamaa alikuja na story flan mademu wakaipenda sana basi...
Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile
Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka.
Amos Makalla aliazisha...
Ni miaka ya 2000/2001 huko wilayani kwetu jamaa mmoja aliyeitwa Ibu aliibua taharuki mtaani baada ya kubuni style ya kuwavutia wadada.
Alikuwa akivaa shanga na kukatika viuno vya kiwango cha SGR.
Sasa kila dada akipitiwa anaweza kusimulia kuwa Ibu ni moto wa kuotea mbali. Basi wakawa wao ndio...
Zaidi ya kusema niko Juu Ya mawe sijui msemo mwingine unaomaanisha nimeishiwa Hela.
Hebu nipeni msemo mkali zaidi ili nizidi kukwepa Vizinga wazee😅😅😂😂😂
Sikukuu ndio hizo zinakuja kwa kasi sana😎
Kwa ufupi sana
Wazazi wa sasa tujitathimini!
Ukisasa umekuwa mwingi, tumejisahau!
Jukumu la malezi bora kwa watoto wetu tumeweka kando.
Vijana wa kiume wanafanya mambo ya ajabuajabu sana, nafikiri unaelewa nachokizungumza: mabinti wadogo wanafanya ya kustaajabisha!
Tusiwalaumu wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.