hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lamisele

    Baada ya miaka 20 na kuendelea tutakua na jamii ya hovyo sana na baadhi ya KOO hazitakuwepo.

    Habari za leo ndugu wana jukwaa,nimekaa hapa natafakari haya maisha ya Karne yetu sijui tunaenda wapi,kuna baadhi ya mambo yanatafakarisha sana hasa nikiwaangalia hawa wanangu na ulimwengu unavyo kwenda kasi. Moja; mtu tajiri duniani Bwana Musk yeye ana...
  2. jingalao

    Wasomi waliopo bungeni toeni hoja tuondokane na hoja za wahuni na wasema ovyo

    Inasikitisha kuona wasomi waliopo bungeni kukaa kimya na badala yake wanao-trend ni walioishia darasa la saba. Tukikubali kuzoea na kuaminishwa na huu utaratibu wa wanaojiita darasa la saba kujionesha kuwa ndio wenye points za kutetea jamii basi ni wazi taifa letu litapoteza muelekeo. Wabunge...
  3. Balqior

    Chris Brown naona kama amekuwa mwanamuziki wa ovyo siku hizi

    Sio yule Chris Brown wa kipindi ile na zile hit songs zake, kama kiss kiss, turn up the music, transform ya, international love aloshirikishwa na pitbull, She ain't you, no air, loyal, na hit song yake national ya mwisho aloshirikishwa Na lil dicky inaitwa freaky Friday.. Sasa hivi ana...
  4. GENTAMYCINE

    Kama Mshauri wako Mkuu alikuwa Mtu wa hovyo enzi zake unategemea Wewe ndiyo uwe Bora?

    Yaani kabisa Dr Matola PhD awe Boss wangu Himayani na amesfaafu ( na najua aliharibu mno kuanzia mfano mwaka 2005, kisha Mimi GENTAMYCINE nimekalia Kiti changu ( alichokikalia Yeye ) kisha niwe namsikiliza Yeye kwa kila Kitu hata kama ni Pumba na mambo yasiyofaa Himayani. Nitakachokitoa a ni...
  5. Wakili wa shetani

    Kumbe Hasidic Jews (Wayahudi wenye msimamo mkali) ni watu wa ovyo sana

    Hivi neno la Kiswahili hasidi lilitokana na hawa jamaa nini? Kuna hawa Wayahudi wenye misimamo mikali sana ya kidini. Wanaamini wao ndiyo wateule na kila mtu duniani yupo kwa ajili ya kuwatumikia wao. Kwa namna fulani naelewa kwa nini Wayahudi walikuwa Persecuted huko Ulaya. Huwezi kuwa...
  6. Kamanda Asiyechoka

    Wenye uchungu na nchi hii hatutahama CHADEMA. Mamluki walionunuliwa na Mbowe kwa maridhiano uchwara na CCM watahama ovyo

    Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale mwembe Yanga. Leo hii mtu anaenda kununua mamluki toka Cuf kisa tu kuna maridhiano uchwara huku yeye...
  7. Ndenji five

    Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

    Nakumbuka nilipotea hapa jukwaani kama miezi tisa hivi,basi nikiwa huko nilikokuwa nikawa nasoma tu nyuzi za wanajamiiforums, kupitia simu ya mwana,kila nyuzi ninazosoma kwa muda wote huo,hakuna coment Wala tag, ya kukumbukwa Hata kwa mabaya yangu. Asee niliumia Sana Kumbe hata ningekufa...
  8. R

    Mwakyembe na ripoti ya Law shool: Mwakyembe ni msomi wa hovyo kuwahi kutokea

    Ukisoma excerpts nilizoziona unaona kuwa huyu Mwakyembe ni mtu hovyo kuwahi kutokea. Hovyo kabisa! Mwenye PhD thesis yalke atuwekee hapa tuone alisomea/research yake ilikuwa how much deep learning was in his topic of choice
  9. B

    Twitter imekuwa ya ovyo sana siku hizi

    Serikali imefungia kurasa za mitandao ya Fabebook 361, Instagram 198, Twitter 12 na vikoa 2,456 ambazo zilikuwa zinajihusisha na matangazo ya ukiukwaji wa maadili ikiwemo mapenzi ya jinsia moja. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Jumatatu Aprili 17, 2023 na Waziri wa Habari Nape Nauye wakati...
  10. Z

    Be smart all the time, Siasa za Nchi hii ni ujinga

    Wadau habari za easter, Leo naandika kiufupi kabisa kuna siku nitaleta mzigo mzima humu. Naomba niongee na vijana umri wa miaka 18-30, kundi hili halijachelewa kuamua ni wakati mzuri wa kuwa na tahadhari na lazima mjue siasa za Nchi hii ni gamble mfano wewe kijana uliyehitimu procurement pale...
  11. Mwizukulu mgikuru

    Siri ya mkoa wa Geita kuwa na matukio ya ovyo na ya ajabu hii hapa

    Habari zenu wana JamiiForums Wenzangu Waislamu poleni na mfungo wa Ramadhani na wakiristo hongereni na Ijumaa kuu nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu zaidi matukio mbalimbali ya ajabu na ovyo yanayotokea mkoani Geita baada ya uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nikiwa naishi mkoani Geita maeneo ya...
  12. sinza pazuri

    Tuzo za TMA chini ya Mwana FA zimezidi kuwa za hovyo

    Wengine walitegemea baada ya kupata waziri anaetokea kwenye muziki basi kuna mambo walau tutaanza kupiga hatua. Kinyume chake tunazidi kudidimia, Mwana FA kashindwa kusimamia tuzo. Ni vurugu hazieleweki. Ni heri muwape agency wazisimamie wapeni hata benchmark. FA na timu yako mnatia aibu.
  13. comte

    Kimbelembele cha wanasheria ndiyo chazo cha katiba na sheria za hovyo

  14. mugah di matheo

    Startimes kampuni ya hovyo kabisa, kwa hili wajibikeni

    Achana na bei za vifurushi,achana na kuondoa local Chanel kwenye fta. Leo kupitia Chanel yao ya Tv3 walikua wakionesha mpira Kati ya Simba na raja,,wakati kipindi Cha pili kinaanza hawakurudi uwanjani mapema walidelay for 19 minutes,,,na bado hawajatolea ufafanuzi Wala kutuomba msamaha wateja...
  15. TheForgotten Genious

    Walimu acheni tamaa za ovyo

    Siku hizi shule nyingi za Serikali msingi na sekondari hasa za kutwa walimu wanawafanyisha wanafunzi mitihani kila baada ya siku 3 na wanalipa 1200 au zaidi. Hivi kila baada ya siku tatu kipi kipya wanakuwa wamefundisha watoto mpaka wawafanyishe mitihani? Hivi kufanya mitihani kila mara ni...
  16. Tajiri wa kusini

    Usioe hawa wajinga wanaojiita feminist ni hovyo kabisa

    Hivi kuna Mwanamume mwenye akili timamu yaani kichwa cha Familia ana mke wa aina hii? Ok mtakumbuka wiki kadhaa nilieleza mambo yanayochangia ndoa nyingi kuvunjika... Mfano halisi ni aina ya wanawake kama huyu katika video. Vijana msikurupuke kuoa mwanamke kwakuangalia makalio na mwisho wa...
  17. Chaliifrancisco

    Wake Up Call. Tanzania tunakwama wapi? Tumekubali kubuzurwa na watawala wa ovyo?

    Mods msije kufuta uzi mtakua mmenikosea (mmetukosea) haki ya kikatiba na tutafika mahakamani ikibidi. Ujerumami wanadai kuongezewa mishahara Germany 'mega strike': Public transport network halted over pay Ufaransa wanaandamana kukataa kubadilishwa sheria ya mafao...
  18. M

    Marefa wa bongo hovyo sana

    Refa amekataa goli halali kabisa la singida big stars dhidi ya coastal union. TFF fungieni hawa marefa wanaharibu sana ligi.
  19. D

    Nawatonya! Upinzani wataongea mambo ya ovyo kimkakati wa maridhiano na CCM kwa ahadi ya kurejeshewa majimbo yao 2025

    Hakika upinzani upo kimaslahi binafsi! Hakuna chama cha upinzani chenye nia ya kushika dola! Hata rais mbele ya bawacha alilisisitiza hilo, siyo kwamba alitania, ukweli ndiyo huo! Kelele za upinzani huwa ni za kutafta shibe hakuna chama hata kimoja chenye nia ya kushika dola kwa sasa! Katika...
  20. JanguKamaJangu

    Serikali yapiga marufuku nyimbo za ovyo kwenye magari ya shule

    Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi. Kauli...
Back
Top Bottom