Rais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere
Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023?
Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na...
VIJANA WANAOENDA MIJINI NA KUDANDIA MTUMBWI WA VIBWENGO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwenye Wadada 10 basi 8 wanaovaa uchi, wauza nyapu, na wanaofanya mambo ya hovyo basi ni Watu wakuja. Yaani wamekuja mjini wakiwa tayari ni Watu wazima. Wadada 2 ndio wamezaliwa mjini
Halikadhalika na...
Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku.
Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki.
Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi...
Nimekata tiketi boat ya saa 3 kamili lakini huwezi amini boat imeondoka saa 3 na dakika 37. Dakika zote hizi zinatosha kabisa kukufelisha deal zako ukabaki masikini wakati waonwashaingiza pesa.
SO SAD AFRIKA BADO TIME KEEPING NI TATIZO NA NDIO CHANZO CHA UMASIKINI.
Nsekela kama kazi imekushinda acha. Crdb wamekua hovyo sana jamani. Customer service unapiga unasubiri dakika 10 kuongea na mhudumu. Hela zinatolewa kwenye account hazirudi ukipiga simu kureport hamna majibu wala msaada aise. Leo rasmi nimehama benki.
Naomba kwa usalama wako msiweke pesa crdb...
Naona leo umeg'aka sana eti kuna watu wanasema wewe ni msaliti. Hii ni kweli kabisa wewe ni msaliti na unapenda sana ndululu.
Mwaka 2015 tulikubalika kiasa cha almanusura tuchukue dola . Maana CCM ilikuwa imechafuka kwa ufisadi.
Lakini ukauza chama chetu kwa Lowasa aliyekuwa amaechafuka.
Leo...
Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na...
Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta nini chanzo cha kukatika umeme maana wananchi tunateseka sana mboga zetu zinachacha kwenye mafriji sisi wafanya biashara wa vinywaji tunapata shida sana skuizi
Tunajuana na ndiyo maana nimeamua kutoa tahadhari mapema nikiamini wanaoenda Ndola Zambia ni Wastaarabu mno.
Kuukweka ni Kujisaidia Haja Kubwa. Ni Lugha ya Wazaramo hiyo na Mimi GENTAMYCINE ni Mzaramo Mzanaki Mmakuwa.
"Ni kweli tuna Mechi ngumu na muhimu dhidi ya Algeria ila tumeamua kutotangaza Maandalizi yake ili kutowapa Presha Wachezaji kutoka kwa Mashabiki na Wanamichezo. Pia nichukue nafasi hii kuwataka Watanzania wenye kujua waliko Waganga wa Kienyeji wazuri wakawaambie watusaidie ili Taifa Stars...
GENTAMYCINE najua kuwa Usiku Kucha mlikuwa na Vikao huku mkipigiwa Simu na anayetaka mumsaidie baada ya kuona Zigo la Msubi Aliyeondoka linaenda Kumuangukia ila nawaonyeni kuweni makini sana msije Mkamponza.
Na najua sasa mnataka Kuhamisha Mjadala kutoka Maji, Mizigo na Samaki Perege na Kuibua...
Hello JF,
Natuma salamu na onyo kali na tahadhari kali na ya uhakika kwa RC wa DSM Chalamila chunga mdomo ni kawaida baada ya haya majigambo December hutafika, ukiwa kwenye nafasi hio hapo ulipo maisha ni zaidi ya hayo.
Hata nyegere huchokoza kibwege ndio aweze kupata mlo, nyuki wakali...
Nimekaa hosptali kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi saa sita hapa. Dar Group. NHIF mtandao hausomi.
Nimesikitika sana. Naumwa jino nina maumivu makali.
Nimeshindwa kupatiwa huduma.
Inaathiri muda wa kazi maana nimeomba ruhusa.
Tafadhalini fanyeni maboresho hali hii sii njema
Naambiwa...
Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.
Ipo hivi;
Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake.
Akakataa akasema anataka aanze na...
Kampuni ya LIVIDA inayojishughulisha na masuala ya Sheria za michezoni na ushauri (Sports law & consultancy) ambayo wanasheria wake wanamsimamia mshambuliaji mpya wa PYRAMIDS FC FISTON KALALA
MAYELE imesema usajili wa Star huyo kutoka Congo DR ulihusisha mamlaka mbalimbali (mult jurisdictional...
Nimepita leo kariakoo inasikitisha kweli hata pa kupita hamna kila sehemu chinga wamepanga vitu vyao.
Hivi hata kuwapanga chinga hatuwezi. Dar ni hub zaidi ya nchi 8 zinategemea pale hivi tumeshindwa kweli kutengeneza sehemu ya kuvutia iwe soko la kuwavutia wafanya biashara wa nchi zaidi ya...
1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
2. Kufanya kiswahili kuwa...
Hallo,
Moja kwa moja kwenye uzi, katika kumzungumzia J.K.Nyerere upande wake wa mazuri ndio unaotukuzwa sana kwa sifa kedekede hali hii imefanya upande wake mbovu kutokuzungumzwa.
Katika makosa makubwa aliyofanya huyu mzee ni kutengeneza taifa la kijinga, sio upande wa Tanganyika wala sio huu...
Nimewaza sana maneno ya Nape leo ya kumshambulia Lissu kuwa amemtukana Rais Samia.
Yes , ni kweli ametumia maneno mabaya sana kwa Rais , lakini of all people Nape huwezi kusimama kukemea tabia za kutukana watu.
Wewe ulimtukana Edward Lowassa kuwa ni Oil Chafu, mara mgonjwa, wewe huyu huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.