hujuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama kuna hujuma zilifanyika kuondoa tambi za Santa Lucia, wametukosea sana

    Haya matambi yalioko mtaani sijui wanatengenzea kina nani, hayaelewiki hayapikiki. Soko huru liheshimiwe, watu washindane kwa ubora na si ukora. Halafu wafanya biashara kama wamekaririshwa, utasikia " Baada ya zile ndo wametoa hizi", Hizi mbona si kama zile sasa?
  2. A

    KERO Hujuma ya Huduma ya Maji Kinyerezi - Kifuru kutoka Dawasa Kinyerezi

    Salaam wakuu Ni takribani mwezi na siku kadhaa tokea wakazi wa maneno ya Kinyerezi mpaka Kifuru na viunga vyake waone maji yakitoka katika mabomba yao ya maji ya Dawasa huku pakiwa hakuna taarifa yoyote kutoka Dawasa Kinyerezi ya kwanini huduma hiyo haipatikani Tatizo la Maji maeneo haya...
  3. D

    Kama sio hujuma za kina Gamondi, Yanga ingekuwa top two kwenye kundi lake

    Yanga iliyumba kwa hujuma tu. Hii ndio ndio Yanga na walipaswa kuwa vinara wa kundi. Tunawaombea wazidi kufanya maajabu, kazi iliyombele Yao sio ya kitoto.
  4. Vurugu mechi ya Simba ni hujuma ya kukwamisha AFCON Tanzania

    Maoni haya ni alert kwa vyombo vyetu vya usalama na diplomasia. Hakuna cha maana kinachoweza kuelezea vurugu hizi bali ni hujuma ya kimkakati ili kuonesha kuwa Tanzania na mashabiki wake wa soka ni wakorofi ili tu AFCON isifanyikie kwetu. Provocation ya mashabiki wa Yanga kule kongo ni tukio...
  5. DOKEZO Wakulima wa korosho wa chama cha msingi Kweli kilichopo kijiji cha Msilili wilaya ya Newala mkoani Mtwara chawafanyia hujuma

    Wakulima wa korosho wa chama cha msingi kweli kilichopo kijiji cha msilili wilaya ya Newala mkoani Mtwara chawafanyia hujuma. Wakulima wa korosho kwani wakulima wamepima mazao yao mwezi wa kumi na moja lakin hadi leo hayajasafirishwa kupelekwa kwenye mnada kwa makusudi kwani wanamaslai yao...
  6. LGE2024 Hujuma Uchaguzi: Mwakajoka atuhumu kuenguliwa kwa Wagombea wa CHADEMA Mikoani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa Frank George Mwakajoka, amesema wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wamekiuka kanuni za uchaguzi kwa kuwaondoa wagombea wa chama hicho bila sababu za msingi. Mwakajoka amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa...
  7. TRC: Kulitokea hujuma katika Treni ya Mchongoko, baadhi ya waliohusika wamekamatwa

    TAARIFA KWA UMMA UZUSHI KUHUSU TRENI MCHONGOKO Dar es Salaam, Tarehe 06 Novemba 2024. Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kupuuza taarifa potofu zinazosambazwa na watu mbalimbali kuhusu kusimama kwa Treni za EMU - Electric Multiple Unit, (Mchongoko) na changamoto za umeme. Ukweli...
  8. LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa waandaaji wanafanya hujuma

    Siku ya jana niliamua kwenda kuangalia jina langu kwenye ofisi husika kama tulivyoshauriwa, nilifika kwenye ofisi na kuzikuta karatasi zenye majina zikiwa zimebandikwa ukutani. Karatasi hizo zimeandikwa kwa kalamu yenye wino hafifu kwenye karatasi ya rangi hafifu ya njano hivyo kuyafanya majina...
  9. TTCL hawana uwezo au ni hujuma kwa taifa na wananchi wa Tanzania?

    Tupo kwenye ulimwengu wa kasi kwa kila kitu ila TTCL kwenye huduma ya Internet wamelala au kukosa ubunifu. Mimi nimzaliwa wa Kilimanjaro na mtanzania ila jambo la mtando limekuwa kero sana kwenye baadhi ya vijiji vilipo chini ya mlima Kilimanjaro. Ukiangalia kwa sasa juu ya mlima huo...
  10. CCM chama changu mawakala wa chama hadi sasa hawajalipwa chochote tangu uandikishaji uanze hii ni hujuma kwa chama kikubwa kama hiki.

    Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa. Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute...
  11. DOKEZO Hujuma Kubwa SGR: Inagoma kukata tiketi

    Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket. Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa ajili ya malipo, mfumo unazunguka tu. Ukisema uanze upya unakuta ile seat uliyokuwa umeichagua...
  12. B

    Kuzuia maandamano ni hujuma kwa serikali ya Mama Samia. CCM idhibiti wanaoihujumu

    Nikicheki kwa jicho la mwewe ni kuwa kitendo cha kutumia nguvu kubwa sana kudhibiti haya maandamano ya CHADEMA ni kuihujumu serikali ya Mama Samia na kuipaka uchafu. Wanaomshauri Rais wapigwe tu chini. Ingawa CHADEMA nao walizingua kuja na kauli ya "Samia must go" , serikali ingetumia busara...
  13. Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

    Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema, Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu Kuweni makini sana
  14. Vipindi bora vya habari kwenye media za Tanzania

    Media za Tanzania zimepitia mabadiliko kadhaa yanayotokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Hivi ni vipindi vya habari ambavyo vinanivutia kwenye media za Tanzania. 1. TBC 1 Aridhio 2. TBC 1 Aridhio 3. TBC 1 Aridhio 4. KAIFA ya TBC Taifa 5. Mirindimo ya asubuhi TBC Taifa 6. Dira ya mchana...
  15. Kama Mifumo ya Miundombinu ya Treni katika nchi Kubwa na Tajiri 'imehujumiwa' sijui ya kule kwa wale Masikini wamejiandaa vipi kwa 'hujuma' za mbeleni

    Hata hivyo yawezekana kule wa Mataifa Masikini kabla ya Safari zao kuanza kulifanyika Matambiko makubwa sana tu.
  16. Sijui tumejiandaaje na hizi Hujuma ambazo zilitugharimu sana Misimu Miwili iliyopita japo tulionya mapema ila tukapuuzwa na Wapuuzi

    1. Kwa Makusudi Wachezaji wetu Mahiri hasa wa Kigeni Kuchezewa Rafu mbaya katika Mechi Tatu za mwanzo za Ligi 2. Maadui kwenda Bunju huku wakiwa wamevaa Jezi zetu na baada ya Mazoezi wanakusanya Nyasi na Mchanga wa Uwanja kisha kwenda Kuwafunga Kiushirikina Wachezaji wetu 3. Mtu Mmoja katika...
  17. T

    SSC: Je, ni wakati wa Kutafakari Hujuma kambini?

    Moja Kwa moja kwenye mada, naungana na wazo la Huja, The Jf Expert member kwamba ni wakati wa Kutafakari kwamba inawezekana kambi ya Simba si salama Kwa Hujuma toka Jangwani. Hii hoja naona ina mshiko na imethibitika toka awali tulipofungwa round ya kwanza zilionekana ni Hujuma lakini viongozi...
  18. KERO ATCL imulikwe huenda kuna hujuma, ratiba za safari zao hazieleweki

    Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo. Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa"...
  19. DOKEZO TRA yalalamikiwa kwa Uzembe na Hujuma Bandarini, Wafanyabiashara wa Mafuta wakimbilia Mombasa

    Salaam Wakuu, Wafanyabiasha wa Mafuta wa nje ya Nchi kutoka Congo, Malawi, Rwanda na Burundi wanalalamikia TRA kwa kuchelewesha Document kitu ambacho kinawatia hasara. Tatizo hilo limeanza hivi karibuni. Ukipakia mzigo unaambiwa "System ipo down". Hali hii inafanya mfanyabiashara kusubiri...
  20. R

    Ushauri kwa Chadema: Fanyeni uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu wake baada ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Msiwape fursa machawa wa CCM nafasi ya hujuma

    Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki. Mtakumbuka machawa walivyoshangilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…