hujuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Askofu Gwajima: Mama Samia ni mtu mzuri sana, alinifungulia ofisi ya CCM niliyojenga Mbweni. Nitawashughulikia mbweha wanaomuhujumu!

    Askofu Gwajima amesema alipojenga ofisi ya CCM kata ya Mbweni ambayo kimsingi ni jengo kubwa kuliko lile la CCM wilaya ya Kinondoni, mama Samia akiwa makamu wa Rais ndiye alikuja kumfungulia rasmi jengo hilo. Askofu Gwajima amesema mama Samia ni mtu mzuri sana na ameapa kuwashughulikia mbwea...
  2. Lord denning

    Nini sababu ya miradi mikubwa ya maendeleo Tanzania kuchelewa au kukwama? Je, ni hujuma za majirani?

    Amani iwe nanyi wadau! Leo naomba niandike mada ngumu kwa wengi Ila nyepesi kwa wachache wenye akili na jicho la tatu!! Mada hii imetokana na Jarida la African Report kuandika Makala inayoelezea kwa Jinsi gani Rais Samia anaweza pata ugumu katika kushawishi Kujengwa kwa Mradi wa Bandari ya...
  3. Autodidacts

    Rais Samia Kiwanda cha Chibuku/ Darbrew LTD kilifungwa tangu mwaka 2018. Muwekezaji yupo lakini Watendaji wa Jiji la Ilala wanakwamisha

    DARBREW LTD ni kiwanda cha kutengeneza pombe aina ya chibuku,kilianzishwa tangu mwaka 1967 na kampuni binafsi LONRHO corporation. Serikali ilikitaifisha kiwanda hicho mwaka 1978 na kukiendesha kwa mafanikio.Kilianza kuwa na ubia mwaka 1997 ambapo serikali ilikuwa na hisa ya 40% na sekta binafsi...
  4. Kididimo

    Maafisa Utumishi wagoma kuruhusu Mabenki kutoa mikopo ya watumishi. Yawezekana ni hujuma?

    Wiki jana nimeingia benki moja Mikoa Fulani nikakuta watumishi wamejikusanya kwa majonzi. Baadhi yao niliwafahamu Na nilipowadodosa wakadai mikopo yao kukwamishwa na maafisa utumishi. Walidai kupewa majibu hayo na maafisa wa benki. Kuwa maafisa utumishi wamegoma kuingiza makato kwenye mfumo...
  5. C

    Waziri Ummy Mwalimu kuna Hujuma huku Tamisemi, Tusaidie

    Mh Waziri Ummy Mwalimu Yapata mwezi na nusu sasa mfumo wa makato ya mishahara ya watumishi wa manispaa ya Ilala na Temeke haifanyi kazi, kiasi kwamba watumishi walio katika hizo manispaa wanaotaka kuchukua mikopo wamekwama yapata mwezi na nusu sasa, tunaambiwa system ya RASSON imeharibika, hivi...
  6. jitombashisho

    Hujuma? Mwezi sasa wafanyakazi hawapewi mikopo yao kisa mfumo haufanyi kazi

    Ni takribani mwezi sasa wafanyakazi walioomba mkopo benki hawapewi pesa kwa kile kinachodaiwa ni mfumo wa mawasiliano kati ya benki na mwajiri kuwa na hitilafu. Hoja hapa ni je, huo mfumo pia umechezewa ili kumchonganisha mama na wafanyakazi? Na kwanini mamlaka inayohusika na mfumo huo haitoi...
  7. N

    Mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) bandarini Dar Es Salaam yatumbukia baharini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini. Mashine...
  8. A

    Kuhujumiwa kwa Rais Samia Suluhu

    Ni kawaida nchini kwa kila kiongozi mpya anapoingia madarakani, kuwepo kwa genge la wanufaika wa uongozi uliopita kulinda na kusukuma maslai yao. Mwinyi – kama alivyoandika kwenye kitabu chake – alisumbuliwa sana na ‘watu’ wa Nyerere, ikiwemo Nyerere mwenyewe. Mkapa hakusumbuliwa sana na hili...
  9. K

    Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Wanabodi nawasalimu. Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi umetetereka. Lakini hunitaji elimu ya chuo kikuu kujua ni athari gani kiuchumi ilitokea. Serikali...
  10. M

    Huu ni wakati wa Rais Samia kuisuka upya Serikali yake, hujuma zimeanza kuwa za waziwazi

    Leo nimeenda kununua umeme kituo kimoja cha TANESCO. Nikiwa kituoni pale kulikuwa na msururu mrefu sana wa wananchi wakiwa kwenye foleni, akaja mtu ambaye haiba yake inaonyesha ni mtu mwenye uwezo hivi kifedha. Yule bwana akajinadi kuwa ni Muinjilisti, akaanza kuchanganya maneno ya dini na...
  11. Analogia Malenga

    TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  12. Francis12

    Hujuma za kutisha uchaguzi mkuu wa BAWACHA - Mwanza

    Anaandika Mdau kutoka Mwanza HUJUMA ZA KUTISHA UCHAGUZI MKUU WA BAWACHA - MWANZA Leo 18 May 2021 ni siku ya Uchaguzi Mkuu wa Bawacha Taifa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na akina Halima Mdee na wenzie, Kwa tulio wengi tunategemea Chadema kama Chama cha Demokrasia na waumini wakubwa wa uhuru...
  13. Ndebile

    Vodacom acheni hii hujuma kwa Watanzania!

    Kwanini kutuma pesa kutoka Voda kwenda Voda inakuwa rahisi na huduma inakuwepo muda wote ila kutuma mtandao tofuti mnasuasua! Leo kuanzaia saa kumi na mbili asubuhi hadi sasa hivi saa nne huduma ya kutuma pesa kwenda mtandao mwingine hakuna! Tatizo hili sio leo tu bali limekuwa likijirudia mara...
  14. Zitto

    Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

    Nasubiri Bandari Kubwa ya Lamu izuie Bandari Ndogo za Dar na Mombasa: Namna Maarifa Madogo Yanavyoiua Bandari ya Bagamoyo na Kuifaidisha Kenya Kumekuwa na mijadala mikali kuhusu Mradi wa Eneo la Kiuchumi la Bagamoyo. Mjadala huo wenye malumbano ya kurushiana shutuma umekuwa mjadala mbovu sana...
Back
Top Bottom