hujuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. broken ages

    Ushauri kwa TANESCO Arusha; Hii siyo hujuma?

    Nimeona kitu kinachofanyika ama sijui ni tanesco ama ni jiji ila kwa namna nilivyoona ni uharibifu ni kweli inawezekana kwamba miti hii inazuia ama inaleta madhara kwenye nyaya na njia za umeme na hivyo inapaswa kukatwa ili kupisha nyaya za umeme Hili siwezi kupingana nalo ila ambacho mimi...
  2. M

    Leo siku ya 3, system ya evaluation ya TRA hakuna

    Kipindi cha Mwendazake, mambo kama haya yalikuwa hayafanyiki. Leo siku ya 3, hii system ya evaluation ya TRA hakuna. Je, kuna nini inaendelea nyuma ya pazia?
  3. K

    Soda zimeisha mtaani!

    Wanajamvi Heri ya mwaka mpya. Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
  4. M

    David Kafulila na Hujuma Kwa Serikali Ya Awamu ya Tano

    David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa...
  5. A

    Mh. Rais unahujumiwa na Ummy Mwalimu kupitia TAMISEMI. Sio mtenda haki

    Kupitia ukurasa wa ofisi ya Rais TAMISEMI,imeripotiwa kwamba waziri wa TAMISEMI amatoa maelekezo kwa katibu tawala mkoa wa Tabora kumshusha cheo mwalimu mkuu wa shule ya Makazi iliyopo wilaya ya Uyui mkoani Tabora. Ummy amedai kwamba mwalimu huyo ana hana maadili na sio muadilifu. Ninaviarifu...
  6. Nyankurungu2020

    Waliomfanyia hujuma Polepole wamedharaulika na kupuuzwa na watanzania. Polepole sasa ni shujaa mzalendo anayetetea maslahi ya Tanzania.

    Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu? Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani na wahuni wa Ccm waliozoea kupiga madili. Mkipotosha juu ya Ky Jelly. Upuuzi mkubwa. Leo hii kila...
  7. M

    Popote mlipo Viongozi wa Simba SC haraka sana epukeni 'Hujuma' hii Kubwa iliyopangwa na Yanga SC

    Kocha wa Geita Gold FC ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia (kindakindaki) Fred Felex Kataraiya 'Majeshi' Minziro amepewa Maagizo maalum ya kuhakikisha Wachezaji wake ama wanawaumiza vibaya au wanawatafutia Kadi Nyekundu Wachezaji Bernard Morrison, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Larry Bwalya na...
  8. C

    TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  9. kimsboy

    Meneja Masoko wa TTCL atimuliwe kazi, anaihujumu TTCL

    Huyu meneja wa masoko wa TTCL afukuzwe kazi Serikali popote mlipo, maboss wa TTCL, na wizara ya mawasiliano huyu afisa masoko wa TTCL ni hatari kwa usalama wa uchumi wa taifa hili Anatoa wapi ujasiri wa kutumika kuhujumu shirika namna hii? TTCL ndo kwanza wamefufuka, wanahitaji kuwafikia...
  10. Mshana Jr

    CHADEMA, Jeshi la Polisi na Nipashe; taarifa hizi zilizosambaa mitandaoni zinawahujumu

    Kuna taarifa zilizosambaa mitandaoni leo kuwa zaidi ya Askari 10 wakiwa na silaha za moto walikuwa wamezingira Ofisi za CHADEMA Mbeya ambako kulikuwa na Kikao cha Ndani cha BAWACHA! Taarifa hizi ziliripotiwa na NIPASHE na kusambaa katika mitandao ya kijamii. Ni kawaida yetu kutaka kujiridhisha...
  11. N

    Je, hizi ni OFFSIDE au ni hujuma?

    naomba kuuliza wataalam kwenye hayo magoli yaliyokataliwa, hizo ni offside kweli?
  12. M

    Kilichopangwa kutokana na Hujuma ya N-CARD dhidi ya Simba SC katika Simba Day ni hiki... Viongozi wa Simba SC muwe makini

    1. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wakate Tamaa na wasiende Uwanjani Klabu ikose Mapato makubwa. 2. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine...
  13. msovero

    CONFIRMED: Manara alikuwa anaihujumu Simba SC

    Leo kwenye kipindi cha sports HQ kinachorushwa na E-fm aliyewahi kuwa msemaji wa club ya simba 'simba sports club' Ndg. Haji Manara ameweka bayana kuwa hajawahi kuipenda club hiyo na hajawahi kuwa miongoni mwao. Kwa kinywa chake haji manara amesema "sijawahi kuwa simba" Itakumbukwa kuwa ni wiki...
  14. 2019

    Hujuma Rasmi: sina hakika kama kufika Desemba Deluxe Dar-Arusha itakuepo tena

    Huu utakuwa uzi wangu wa pili kuzungumzia mradi huu ambao Hayati aliacha kama Legacy. Kwa wanaosafiri mara kwa mara wanaweza kuja na maelezo ya kutosha sababu nilichoshuhudia jumamosi ni hatari kwa Tanzania Railways Corp . Tumetoka Arusha usiku wa Jumamosi tumeingia Dar saa 10 jioni Jumapili...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Aibu: Yanga yakopi jezi za Plateau Utd kama zilivyo

  16. Erythrocyte

    Pamoja na hujuma wanazofanyiwa, Chadema wanaendelea na ujenzi wa ofisi za majimbo

    Hiki chama kwa sasa ni kama kimeshindikana, hawawezi tena kukitoa kwenye reli , pamoja na unyama wote wanaotendewa lakini hawaachi mikakati yao ipotee. Hebu jionee mwenyewe
  17. E

    Je, ni kweli kuwa Rais Samia anahujumiwa?

    Kuna jambo linaendelea nchini ambalo nafikiri wengi wetu hatufahamu lakini ukitazama kwa jicho la tatu la kisiasa utakubaliana na mimi kwamba pengine ni hujuma dhidi ya Rais Samia kwa sababu ili jambo lolote litokee lazima liwe na sababu. Matukio haya machache yanatoa taswira ni kwa jinsi gani...
  18. Lord denning

    Naanza kuamini kuna hujuma dhidi ya Rais Samia

    Kuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni 1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya...
  19. Mantombazane

    Kuna hujuma kubwa kwenye ujenzi wa Uwanja wa Ndege Iringa

    Kwanza niipongeze kwa kuupanua uwanja wa ndege wa Nduli Iringa kuwa wa kiwango cha kimataifa. Kwakweli mwanzaoni hata mimi sikuona haja lakini huu mradi ni muhimu sana kwa utalii nyanda za juu kusini. Mkandalasi anajitahidi kuujenga uwanja huu kwa kasi kubwa ambapo kazi inafanyika usiku na...
  20. sindano butu

    Tumechoka na urasimu wa Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Leo nimeenda ofisi ya loan board ya chuo kikuu kwenda kudai statement. Nimekuta wanufaika kibao wanalalamika huduma mbovu loan board. Mtu unaenda kudai statement unaambiwa subiri ndani ya siku 7. Sasa nimekuta watu wanalalamika wamekuja kila wiki hawapewi statement na huduma hawapati. Na...
Back
Top Bottom